Kamati kuu CCM yawazuia Nape na Chiligati kwenda Igunga

Facts1

JF-Expert Member
Dec 23, 2009
307
28
Rais Kikwete amewatahadharisha makada wa CCM kuachana na hatua za namna yoyote za kumpuuza au kumshambulia Rostam katika majukwaa ya siasa.

Mbali ya hilo, ili kuhakikisha jimbo hilo linaendelea kubakia mikononi mwa chama hicho, Kamati Kuu iliwazuia makada wake wawili, Nape na John Chiligati, kwenda katika kampeni za chama hicho za kusaka mrithi wa Rostam huko Igunga.

Source: Gazeti la Tanzania Daima la leo.
 
Wanavizia kura za MY WIFE wao CUF, ile ndoa waliofunga kwa kutengua kanuni za Bunge kuhusu kambi rasmi ya upinzani Bungeni sasa ndoa yao inamimba ya miezi 9. CUF wanasubiri wajifungue katoto huko IGUNGA.
 
Rais Kikwete amewatahadharisha makada wa CCM kuachana na hatua za namna yoyote za kumpuuza au kumshambulia Rostam katika majukwaa ya siasa.

Mbali ya hilo, ili kuhakikisha jimbo hilo linaendelea kubakia mikononi mwa chama hicho, Kamati Kuu iliwazuia makada wake wawili, Nape na John Chiligati, kwenda katika kampeni za chama hicho za kusaka mrithi wa Rostam huko Igunga.

Source: Gazeti la Tanzania Daima la leo.
Hii inatisha kama mafisadi CCM na boss wao wanawagwaya namna hii basi hatuna sarikali, tumebaki na kijiwe cha siasa!!!!!!!!!!
 
Rais Kikwete amewatahadharisha makada wa CCM kuachana na hatua za namna yoyote za kumpuuza au kumshambulia Rostam katika majukwaa ya siasa.

Mbali ya hilo, ili kuhakikisha jimbo hilo linaendelea kubakia mikononi mwa chama hicho, Kamati Kuu iliwazuia makada wake wawili, Nape na John Chiligati, kwenda katika kampeni za chama hicho za kusaka mrithi wa Rostam huko Igunga.

Source: Gazeti la Tanzania Daima la leo.

Kwakuwa wakati RA anatangaza kujivua gamba aliwataja Nape na Chiligati kama wabaya wake, basi ilikuwa ni lazima wazuiwe kwenda huko kwa kuhofia hasira ya RA isijekuwatafuna wao wenyewe.
 
Hii ajabu ni nadra sana kutokea kwa chama kuzuia viongozi wa kitaifa kwenda kufanya kampeni sehemu fulani.
 
Kwakuwa wakati RA anatangaza kujivua gamba aliwataja Nape na Chiligati kama wabaya wake, basi ilikuwa ni lazima wazuiwe kwenda huko kwa kuhofia hasira ya RA isijekuwatafuna wao wenyewe.
CCM wamegundua hilo si wajinga kiasi hicho.
 
CCM haijazuia viongozi wake kwenda wa kitaifa kwenda huko iSipokuwa watakwenda kwa awamu. Chama kikubwa kama hicho viongozi wote wahamie huko inaingia akilini kweli. Kwanza nape tu ni sawa na viongozi wote wa chadema ndio maana wanafuatana kama nyumbu. Uliona wapi nchi ikapeleka jeshi lote kwa wakati moja. Labda mandamano
 
Mi siamini source ya habari, Tanzania Daima si CDM hao!
<br />
<br />
Leta sorce yako basi unayoiamini na lazima ukubali mkuu hiyo ndio hali halisi ya wana Magamba kwa sasa na Mungu jalia mkanyagano huu uendelee hivi hivi mpoaka wajute
 
CCM haijazuia viongozi wake kwenda wa kitaifa kwenda huko iSipokuwa watakwenda kwa awamu. Chama kikubwa kama hicho viongozi wote wahamie huko inaingia akilini kweli. Kwanza nape tu ni sawa na viongozi wote wa chadema ndio maana wanafuatana kama nyumbu. Uliona wapi nchi ikapeleka jeshi lote kwa wakati moja. Labda mandamano
Kama kweli wewe unakumbukumbu vizuri niambie kwenye jimbo la Marehemu Chacha Wangwe mlipeleka viongozi wenu wakuu wa kitaifa wangapi? Acha siasa uchwara za nape wewe..
 
Duuu!
Kama kweli wewe unakumbukumbu vizuri niambie kwenye jimbo la Marehemu Chacha Wangwe mlipeleka viongozi wenu wakuu wa kitaifa wangapi? Acha siasa uchwara za nape wewe.. huko iSipokuwa watakwenda kwa awamu. Chama kikubwa kama hicho viongozi wote wahamie huko inaingia akilini kweli. Kwanza nape tu ni sawa na viongozi wote wa chadema ndio maana wanafuatana kama nyumbu. Uliona wapi nchi ikapeleka jeshi lote kwa wakati moja. Labda mandamano
Kama kweli wewe unakumbukumbu vizuri niambie kwenye jimbo la Marehemu Chacha Wangwe mlipeleka viongozi wenu wakuu wa kitaifa wangapi? Acha siasa uchwara za nape wewe..[/QUOTE]
 
Kikwete ametumia hekima ya halli ya juu sana,unajua Nape anakimaliza chama kwa kudhani anatetea uadilifu,haiwezekani eti ccm wanaoichafua ni watu watatu,haiingii akilini kwa mtu anayejua kuchambua mambo.waache uongo,Mwigulu ni kijana shupavu sana,mtulivu ,msomi na sio kilaza.
 
Kwi kwi kwi teh teh teh te ha ha haaa,aaah kamati kuuu' kwahiyo wanamwogopa RA? Nape na Chiligati si mabingwa wa kuonge waacheni waende.HV NDIO HII KAMATI KUU ILIYOPO CHINI YA J K INAYOISHAURI SERIKALI KUPUNGUZA BEI YA MAFUTA YA TAA? Hv Pinda hayupo kamati kuu? Hv Kikwete akifika ikulu ataanza kumshauri rais wa nchi(KIKWETE) KWAMBA KAMATI KUU INAKUSHAURI WEWE MKUU WA SERIKALI(KIKWETE) UPUNGUZE BEI YA MAFUTA YA TAA! Halafu pinda ndiyo atapewa taarifa kumpatia mkulo na Ngereja? Au itakuwaje?
 
Kikwete ametumia hekima ya halli ya juu sana,unajua Nape anakimaliza chama kwa kudhani anatetea uadilifu,haiwezekani eti ccm wanaoichafua ni watu watatu,haiingii akilini kwa mtu anayejua kuchambua mambo.waache uongo,Mwigulu ni kijana shupavu sana,mtulivu ,msomi na sio kilaza.
<br />
<br />
nina mashaka na uadilifu wa mwigulu madelu nchemba! majina yake yanaonyesha ni msukuma, lakini yeye ni mnyiramba, tukianzia hapo tutampata na matatizo kibao! usitupotoshe, mwigulu twamjua.
 
Kwakuwa wakati RA anatangaza kujivua gamba aliwataja Nape na Chiligati kama wabaya wake, basi ilikuwa ni lazima wazuiwe kwenda huko kwa kuhofia hasira ya RA isijekuwatafuna wao wenyewe.
ni yaleyale tu kama chadema walivyomficha mbowe kwa chacha wangwe-tarime.
 
CCM haijazuia viongozi wake kwenda wa kitaifa kwenda huko iSipokuwa watakwenda kwa awamu. Chama kikubwa kama hicho viongozi wote wahamie huko inaingia akilini kweli. Kwanza nape tu ni sawa na viongozi wote wa chadema ndio maana wanafuatana kama nyumbu. Uliona wapi nchi ikapeleka jeshi lote kwa wakati moja. Labda mandamano
Umesahau Busanda na Tarime hadi mkakodi tingatinga
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom