Chama na serikali, serikali ya chama au chama ni serikali na serikali ni chama

FarLeftist

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
363
20
Inawazekana vipi chama kutua maamuzi ambayo yanareflect moja kwa moja shughuli za serikali?
je kuna umbwe wa uongozi mpaka kupelekea chama kutoa maamuzi badala ya serikali, mfano mzuri swala la mafuta
chama kinapata wapi nguvu ya kikatiba kupunguza bei za mafuta?(japokuwa si jambo baya kujirekebisha baada ya kufanya madudu)
Haya ndio mambo ambayo wananchi hatutaki kusikia wala kuona, zama za chama kushika hatamu zilikwisha siku nyingi.
 
Back
Top Bottom