Igunga wagombea kadi na bendera za CUF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Igunga wagombea kadi na bendera za CUF

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by woyowoyo, Aug 2, 2011.

 1. w

  woyowoyo Senior Member

  #1
  Aug 2, 2011
  Joined: Jul 24, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanainchi na wakazi wa igunga wamenunua kadi za cuf kwa wingi toka ujumbe ulipoondoka mkoani Dar es salaam kwenda jimboni humo kwa shughuli za kichama huku wakizunguka katika kata zote na vijiji wanainchi wamechukua bendera na kuzindua matawi mapya pamoja na kuongeza wanachama wapya, hii imepelekea kuagizwa kwa bendera na kadi zingine kutoka ofisi kuu Dar es salaam, hii kwajili ya kujiandaa na mtanange wa uchaguzi mdogo utakaofanyika ndani ya miezi 3 kuanzia sasa.
   
 2. M

  Molemo JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Naona CCM B wamekutuma kuja kupima upepo hapa JF ili kukatisha tamaa wapiganaji na hatimaye jimbo lirudi mikonono mwa CCM.Mbona hujiulizi kama CUF ni maarufu Igunga mbona haina hata diwani ilihali walikuwa na mgombea ubunge mwaka jana? Chadema haikuwa na mgombea ubunge lakini ilivuna madiwani.A smallest calculation.
   
 3. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #3
  Aug 2, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Hii kweli pima upepo ya magamba B.
   
 4. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #4
  Aug 2, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,016
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kadi?
  Hata Ubungo almost wote tulikuwa na tuna kadi za CCM
   
 5. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #5
  Aug 2, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Kadi na bendela tu?wanajiandaa kuzirudisha siku kampeni zikianza.
   
 6. by default

  by default JF-Expert Member

  #6
  Aug 2, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  jamani kama unadata za kutosha embu tupatie waliogombea ubunge igunga na vyama vyao inatia moyo kusikia cdm ilipata diwan japo awakuwa na mgombea ubunge
   
 7. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #7
  Aug 2, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  kilichompata Mtatiro Ubungo ndicho kitakachowapata Nzega.
   
 8. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #8
  Aug 2, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Hii sasa ni papara
   
 9. M

  Mwera JF-Expert Member

  #9
  Aug 2, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Igunga tunavyosikia cuf ina wafuasi wengi mno,ngoja mtanange uanze itajulikana mbivu na mbichi,tusiandikie mate.........
   
 10. j

  janja pwani Senior Member

  #10
  Aug 2, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  ubungo sio igunga, mazingira ya ubungo na igunga ni tofauti mh.
   
 11. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #11
  Aug 2, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Source???
   
 12. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #12
  Aug 2, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,016
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Tomato au Chili?
   
 13. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #13
  Aug 2, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Duh! kumbe unasikia na mimi ninavyosikia TADEA ina wafuasi wengi mno mno tena sana.
   
 14. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #14
  Aug 2, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Unapo edit post za wenzako unaona ume win kumbe tunakuona chizi fulani.....kwa leo nakusamehe ni makosa ku edit post ya member mwingine nyambaf.

  Kwanza huwa haiitwi tomato souce ni tomato sauce
   
 15. JOB SEEKER

  JOB SEEKER Senior Member

  #15
  Aug 2, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  cdm ipo juu na operesheni sangara huko ili kuondoa mafisadi na ccm B
   
 16. JOB SEEKER

  JOB SEEKER Senior Member

  #16
  Aug 2, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tunahitaji ukombozi igunga na cyo bendera ? ila cdm ni moto wa ukombozi
   
 17. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #17
  Aug 2, 2011
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  chadema mna wivu kumbeeee!!!
   
 18. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #18
  Aug 2, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Du! na kata ya bulumbela wamefika?
   
 19. JOB SEEKER

  JOB SEEKER Senior Member

  #19
  Aug 2, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna wivu 2nahitaji watu wenye ukombozi wa ukweli na cyo kudanganywa na madaraka
  cuf walikuwa ni watu wazuri kweli lakini ndoto yao imeyeyuka kutokana na ccm ideology
   
 20. PPM

  PPM JF-Expert Member

  #20
  Aug 2, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 839
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wamelogwa hao,si juzi tu walikuwa wanamlilia RA
   
Loading...