Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jamani kuna hili swala la uwakilishi wa wabunge kutoka nchi ya zanzibar kwenye huu muungano wetu. Wale waheshimiwa wanawakilisha zanzibar na wanaitumikia serikali ya jamuhur ya muungano. Sasa huwa...
0 Reactions
0 Replies
956 Views
MONDAY, 29 AUGUST 2011 19:27 NEWSROOM NA WAANDISHI WETU GAZETI LA UHURU BAADHI ya wafanyabiashara wamekaidi agizo la Mamlaka ya Udhibiti Huduma za Nishati na Maji (EWURA), kwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu heshima mbele. Ninaleta habari kutoka katika uwanja wa mapambano kule Igunga ambako CCM, CHADEMA na CUF wamekwishaanza mchakato wa kulitwaa jimbo kila mmoja kwa nmna yake. Taarifa...
6 Reactions
66 Replies
7K Views
Wana jamvi habarini. Swala la Ridhi kuwafikisha mahakamani Dk Slaa na Mchungaji Mtikila kuhusu uhalali wa mali anazomiliki liliishia wapi? Walimuomba radhi? Kama hapana, alienda mahakamani? Au...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nikikumbuka maelezo mengi yaliyotolewa siku za nyuma kutetea umuhimu wa radar ile ya mabilioni kwa Tanzania nashangaa sana. Makuadi hawa walijitahidi sana kueleza kuwa radar hii ni critical kwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wana JF mmemsikia waziri mchovu wa fedha Tz anasema eti pesa yetu inaposhuka thamani eti serikali yao haina la kufanya kwa sababu ya uchumi huria,kweli ni timamu huyu? Wachumi wenzangu tusaidiane...
2 Reactions
38 Replies
4K Views
WanaJF nimeona nianza kufanya Tracking ya EWURA katika ukokotoaji wa bei za mafuta maana nimeona wanatudanganya leo tarehe 29.08.2011 wamashusha bei za petrol kwa % kadhaa lakini after two...
0 Reactions
2 Replies
936 Views
Tendwa amewaandikia barua viongozi wa vyama hivyo kuwaagiza kuwa wateue wajumbe watakaounda kamati maalumu itakayoshughulikia suala hilo. Vyama hivyo vimejulishwa juu ya utekelezaji wa maelekezo...
0 Reactions
158 Replies
13K Views
Dar es Salaam. About Sh90 billion is needed to re-establish the National Service training scheduled to start in 2013, Defence and National Services minister Hussein Mwinyi said yesterday. Dr...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana JF, jamani mwenye taarifa yeyote juu ya yale maandamano yaliyokuwa yanaandaliwa DC Weshington anihabalishe yalifikia wapi?. Asante.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni mheshimiwa Abel Gegecha alichakachuliwa kwenye uchaguzi wa mwenyekiti wa kijiji cha Kaseke kigoma vijiji ,ameshinda rufaa yake baada ya hakimu kugundua taratibu zilikiukwa mpaka kumtangaza...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
katibu mkuu wa cuf na makamu wa kwanza wa Rais wa zanzibar ndie anayetarajiwa kufungua kampeni za chama hicho katika uchaguzi mdogo wa jimbo hilo mjini igunga. taarifa kwa wanajf.
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Rais Barrack Obama wa Marekani amekatisha likizo yake mara moja na kwenda kujumuika na kituo cha kuchunguza mwenendo wa kimbunga Irene na kuratibu mambo mbalimbali ikiwepo kuokoa maisha ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Salaam! Bunge la msimu huu lilikuwa active. Asilimia kubwa ya wabunge wakiongozwa na wa upinzan walijahidi sana kutetea masilahi ya Mtanzania. Waliibua hoja nzito, walionyesha msimamo ktk yale...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakati umefika Mosi Wakati umefika kwawananchi kushinikiza serikali kubadili sheria ya malipo kwa marais wastaafu na mawaziri wakuu waliostaafu. Imefika wakati wa kufunga mkanda kwa hawa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WanaJF Mbona Rais J.K ana kigugumizi cha kuwateua wakuu wa Mikoa na Wilaya? Je, pengine amekubali kuwa wakuu hawa ni mzigo kwa taifa? Au ni nani awemo na asiwemo nalo ni tatizo? Au ni tatizo la...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Sunday, 28 August 2011 20:38 Raymond Kaminyoge MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imeshusha bei ya mafuta kuanzia leo.Kwa hatua hiyo, bei ya ukomo ya petroli kwa Mkoa wa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Bunge la Tanzania linahusisha wabunge wa bara na wa visiwani wakati zaidi ya theluthi mbili ya yanayojadiliwa ni ya wabara. Hali kadhalika wa visiwani wanapotunga au kubadilisha vifungu vya katiba...
2 Reactions
57 Replies
6K Views
The Standard | Online Edition :: Wako: The day I escaped in Kikwete's car Amos Wako said:- "Kikwete and Annan wanted my legal advice on whether an Act of Parliament was enough to underpin the...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
The government has failed to declare 46.5bn/- it received in royalties and taxes from mining and gas companies during the financial year 2008/09. According to investigations by Extractive...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…