Ya Ridhiwani Vs Dk Slaa & Mtikila

Kada

Senior Member
May 3, 2009
164
27
Wana jamvi habarini.
Swala la Ridhi kuwafikisha mahakamani Dk Slaa na Mchungaji Mtikila kuhusu uhalali wa mali anazomiliki
liliishia wapi?
Walimuomba radhi? Kama hapana, alienda mahakamani? Au alitaka safishwa kwa mbwembwe tu???
Mwenye habari yoyote kuhusu hilo NAOMBA ANIJUZE.



Post yangu ya kwanza- Nipo tayari kukosolewa/kurekebishwa.
 
Back
Top Bottom