Mgombea wa CHADEMA Kigoma kusini ashinda rufaa yake uchaguzi kurudiwa 29/09/11 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgombea wa CHADEMA Kigoma kusini ashinda rufaa yake uchaguzi kurudiwa 29/09/11

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by NDOFU, Aug 29, 2011.

1. N

NDOFU JF-Expert Member

#1
Aug 29, 2011
Joined: Feb 23, 2009
Messages: 656
Likes Received: 1
Trophy Points: 35
Ni mheshimiwa Abel Gegecha alichakachuliwa kwenye uchaguzi wa mwenyekiti wa kijiji cha Kaseke kigoma vijiji ,ameshinda rufaa yake baada ya hakimu kugundua taratibu zilikiukwa mpaka kumtangaza mgombea wa ccm kuwa mwemyekiti wa kijiji.Kila la kheri mh Abeli Gegecha hatimaye wananchi watampata kiongozi wamtakaye! VIVA CHADEMA!

2. Smartboy

Smartboy JF-Expert Member

#2
Aug 29, 2011
Joined: Nov 12, 2010
Messages: 1,110
Likes Received: 4
Trophy Points: 135
Aa acha utani bwana mi nilidhani mbunge.

3. Mtanzania haswa

Mtanzania haswa JF-Expert Member

#3
Aug 29, 2011
Joined: Oct 31, 2010
Messages: 665
Likes Received: 7
Trophy Points: 35

utani upi sasa, wakati ametupa habari ya kweli ndugu?

4. P

Parachichi JF-Expert Member

#4
Aug 29, 2011
Joined: Jul 22, 2008
Messages: 517
Likes Received: 9
Trophy Points: 0
hata mm nilidhani ni mbunge!kumbe mwenyekt wa kjj!

5. mchemsho

mchemsho JF-Expert Member

#5
Aug 29, 2011
Joined: Jun 8, 2011
Messages: 3,158
Likes Received: 143
Trophy Points: 160
Mmh.! Kiroho kimenilipuka paaa.!

6. Angel Msoffe

Angel Msoffe JF-Expert Member

#6
Aug 29, 2011
Joined: Jun 21, 2011
Messages: 6,797
Likes Received: 74
Trophy Points: 145
Safi sana MUNGU AMZIDISHIE HEKIMA HUYO HAKIMU, MBONA KESI ZA WABUNGE WALIOCHAKACHULIWA HAZIISHI?? AU HADI 2015??

7. mfarisayo

mfarisayo JF-Expert Member

#7
Aug 29, 2011
Joined: Nov 23, 2010
Messages: 5,035
Likes Received: 307
Trophy Points: 180
Gud news, Chama kinajengwa kuanzia ngazi ya chini sio juu

8. N

Nikupateje JF-Expert Member

#8
Aug 29, 2011
Joined: Dec 22, 2009
Messages: 1,314
Likes Received: 106
Trophy Points: 160
Kabla sijafungua nilishangaa kwa nini thread iwe na wasomaji wachache!

9. Mshume Kiyate

Mshume Kiyate JF-Expert Member

#9
Aug 29, 2011
Joined: Feb 27, 2011
Messages: 6,774
Likes Received: 22
Trophy Points: 135
Nilivyosoma heading nimefungua kwa kasi hii thread kumbe mwenyekiti wa kijiji

10. Njowepo

Njowepo JF-Expert Member

#10
Aug 29, 2011
Joined: Feb 26, 2008
Messages: 9,296
Likes Received: 381
Trophy Points: 180
Kijana nkazani ni ubunge kama headline umamake!

11. u

uporoto01 JF-Expert Member

#11
Aug 29, 2011
Joined: May 23, 2008
Messages: 4,741
Likes Received: 22
Trophy Points: 135
Sasa kama hata wenyeviti wa vijiji watafunguliwa thread zao si itakuwa kazi ?

12. mmbangifingi

mmbangifingi JF-Expert Member

#12
Aug 29, 2011
Joined: Mar 9, 2011
Messages: 2,855
Likes Received: 23
Trophy Points: 135
Mkuu watu hao ndo muhimu sana maana ndo waanajenga/kuimarisha chama toka kwenye grassroots!

13. N

NDOFU JF-Expert Member

#13
Aug 29, 2011
Joined: Feb 23, 2009
Messages: 656
Likes Received: 1
Trophy Points: 35
Kila kitu kinaanzia chini' msilete dharau kwa wenyeviti wa vijiji hawa ndio wanaosababisha kura za wabunge na raisi ziwe nyingi,hawa ndio wapo karibu na wananchi kila siku na wamekuwa mtaji wa ccm miaka nenda rudi,tukianza kudharau hivi ina maana 2014 hatutashiriki? Kwangu mimi nimeapa kuineza Chadema vijinini kwani tukianzia huku ndiyo mambo yatanoga zaidi 2015.

14. figganigga

figganigga JF-Expert Member

#14
Aug 29, 2011
Joined: Oct 17, 2010
Messages: 14,980
Likes Received: 6,630
Trophy Points: 280
heading kama ya magazeti ya dar leo na alasiri.mia

15. Daffi

Daffi JF-Expert Member

#15
Aug 29, 2011
Joined: Jun 25, 2011
Messages: 3,803
Likes Received: 178
Trophy Points: 160

Hahahahaha!mwenyewe nilifikia hivyo!duh!siyo mbaya pia

16. Amani Nyekele

Amani Nyekele Senior Member

#16
Aug 29, 2011
Joined: Jul 8, 2011
Messages: 159
Likes Received: 2
Trophy Points: 35
Hii kali, hata mie nilidhani ni kwa nafasi ya ubunge mkuu!!! wengine utawasababishia pressure buree!!! anyway ni matokeo ya UTAWALA WA SHERIA UNAOSIMAMIWA na KULINDWA na serikali ya CCM

17. Aggrey86

Aggrey86 JF-Expert Member

#17
Aug 29, 2011
Joined: Jun 26, 2011
Messages: 856
Likes Received: 2
Trophy Points: 35
Mkuu nilifungua kwa fujo zote hapa dah! Ila fresh 2anze kuwashika kuanzia hapo! Kila la kheri ndugu mwenyekiti.

18. nachid

nachid JF-Expert Member

#18
Aug 29, 2011
Joined: Apr 14, 2011
Messages: 898
Likes Received: 50
Trophy Points: 45
viva la vida

19. k

kingtuma Member

#19
Aug 29, 2011
Joined: Jan 15, 2011
Messages: 88
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

Haki haipotei huchelewa tu na mbado

20. kapotolo

kapotolo JF-Expert Member

#20
Aug 29, 2011
Joined: Sep 19, 2010
Messages: 3,727
Likes Received: 87
Trophy Points: 145
hizi title za kuuzia magazeti zisiruhusiwe

Loading...