Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,269
- 675
WanaJF nimeona nianza kufanya Tracking ya EWURA katika ukokotoaji wa bei za mafuta maana nimeona wanatudanganya leo tarehe 29.08.2011 wamashusha bei za petrol kwa % kadhaa lakini after two watakuja na kusema bei zimepanda kwa sababu ya vigezo vyao.
Vigezo vya UKOKOTOAJI
1. Kupanda na kushuka kwa thamani ya shilling vs Dollar
2. Kupanda na kushuka kwa pipa la mafuta katika soko la dunia
Post hii nafanya Tracking ya fluaction ya mafuta katika soko la dunia na exchange rate, nimeamua kutumia hii njia maana EWURA wanatumia fomula ambayo mimi kama Raia wa kawaida siwezi kuelewa. Hii ni manual Tracking ambayo inaweza kumsadia layman kuelewa wezi unaofanywa na EWURA. Kwahiyo kila siku nitakuwa napost changes katika vigezo hapo juu
Ewura Price Dar es salaam 29.08.2011 :Petrol Tshs 2070 Diesel: 1999
Leo 29.08.2011
Exchange Rate as per BOT
Unit Buying Selling
USD 1588.98 1621.41
Crude oil Soko la Dunia

Crude Oil | 85.39 | + 0.02% |