Hivi wale wabunge wa Zanzibar wanalipwa mara ngapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi wale wabunge wa Zanzibar wanalipwa mara ngapi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tanganyika1, Aug 30, 2011.

 1. Tanganyika1

  Tanganyika1 JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 396
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Jamani kuna hili swala la uwakilishi wa wabunge kutoka nchi ya zanzibar kwenye huu muungano wetu. Wale waheshimiwa wanawakilisha zanzibar na wanaitumikia serikali ya jamuhur ya muungano. Sasa huwa sielewi kama hawa watu wanalipwa mara mbili au mara 1. Naomba mwenye ufahamu anisaidie jamani.
   
Loading...