Kelele za wabunge ni sifa, utashi binafsi, maslahi binafsi au ni upepo mkal wa siasa zama hiz? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kelele za wabunge ni sifa, utashi binafsi, maslahi binafsi au ni upepo mkal wa siasa zama hiz?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee, Aug 29, 2011.

 1. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #1
  Aug 29, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  Salaam!

  Bunge la msimu huu lilikuwa active. Asilimia kubwa ya wabunge wakiongozwa na wa upinzan walijahidi sana kutetea masilahi ya Mtanzania. Waliibua hoja nzito, walionyesha msimamo ktk yale wanayoyaamini.

  Najiulza kuwa wameyafanya haya kwa kutafuta sifa, utashi binafsi, sera za vyama vyao, kutetea masilahi binafsi au upepo mkali wa siasa unaovuma zama hiz?
  Nawakilisha kwenu.

  Wasalaam.
   
 2. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #2
  Aug 29, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  Mkuu kwa wabunge wa upinzani ni haki na wajibu wao kupiga kelele na kuikosoa serikali iliyopo madarakani ili ikiwezekana hiyo serikali ianguke na wao watwae madaraka ya kuongoza serikali. Mimi kwangu kilichonishangaza ni wabunge wa CCM ambao tumezoea kwamba wao ni yes men (women inclusive) lakini nao wamejitutumua kuikemea serikali yao iliyoko madarakani!! Hapa sasa ndipo linapokuja suala la upepo wa kisiasa. Wabunge wa CCM wameona meli yao inapigwa na mawimbi kwa hiyo wengine wameona ni vyema wakawa mguu nje mguu ndani na matokeo yake ni kujionyesha kwa wananchi kwamba nao ni watetezi wao tofauti na ambavyo wamekuwa wakiwa siku za nyuma. Kuna wabunge ukiwasikiliza kwa makini utagundua kuwa tayari wako kwenye upinzani ila wanasubiri tu 2014 ama 2015 wajiengue na kupokelewa upinzani kama mashujaa!! Siasa Mkuu.
   
 3. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  umesema kuhusu upepo mkal tu. Nahisi kwa upande wa ccm walikuwa wanabanwa na sera kandamiz za chama, Waliogopa kuiponda serikal kwa kuhofia kuitwa wasalt wa chama.
   
 4. o

  oldonyo JF-Expert Member

  #4
  Aug 29, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Minavofikili si kuzinduka bali ni utandawazi tuliona katika ulimwengu huu wa sasa ambapo watanzania asilimia kubwa wameelimika,mfumo wa upashanaji habari nao ni mkubwa hivyo kuchangia watu wengi kuzinduka na kujua haki zao ndomaana katika zama hizi kila mbunge anajitaidi kuongea ili nae haweze kuonekana tofauti na kipindi cha nyuma ambapo habari za bunge ziliripotiwa na redio tanzania pekee hasa katika taarifa ya habari.
   
 5. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #5
  Aug 29, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  MUNGU amechoka kuona watanzania wanateseka kwa ajili ya mafisadi na amewateua wabunge wachache walikomboe taifa la TANZANIA.
   
Loading...