Lessons from WikiLeaks presidential bribery claims
Tuhuma za WikiLeaks zimetufundisha mambo mengi sana kuhusu masuala ya maadili, mwenendo wa Ikulu na wafanyakazi wa serikali. Baadhi ya mafunzo...
Umuofia kwenu wana jf popote pale mlipo!! Najua miaka hamsini ya uhuru si mda haba,kwa maisha ya kuunga unga kama ya kwetu ya kitanzania bila shaka ni umri wa kuitwa kikongwe!!?Yapo mengi ya...
HONGERA MAALIM SEIF KWA KUGUNDUA KUWA TANZANIA NI ENEO LAKO LA UTAWALA /LINAKUHUSU
HAPA NDIPO UTAKAPOJUA KUWA KUWA ULAZIMA NA UMUHIMU WA KUWA NA SERIKALI YA TANGANYIKA KIUTENDAJI SIO KAMA...
Namsikiliza Mh Waziri wa Sheria na Katiba akijenga hoja kuwa kuna mwekezaji anajitolea kujenga mahakama ya rufaa kama atapewa hilo jengo la Mahakama ya Rufaa - iliyokuwa Forodhani Hotel.
Mimi...
Ikiwa tume ya uchaguzi ni yao,mtu wa kutangaza matokeo ni wao,polisi ni yao,jeshi ni lao na
uchafu wa mbinu zote za wizi wa kura ni wao. Je ikatokea chama cha upinzani kimeshinda ucha
guzi huu wa...
Natamani kuwa mzalendo lakini sijui, kwa zama na nyakati hizi za sasa tulipofika ili uwe mzalendo ni sifa zipi zinakufanya kuwa mzalendo?
Napata shida sana naomba mnijuze wanajf hivi ni kweli...
Majibu ya Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Bw. Salva Rweyemamu, dhidi ya tuhuma zilizotolewa na WikiLeaks iliyoandika mambo ya kashfa dhidi ya Mh. Rais wetu yameniacha nikijiuliza maswali mengine...
Mratibu wa kampeni wa cuf Julius Mtatiro ameishtumu vikali chadema kwamba kiimeenda Igunga kwa lengo la kugawa kura za Cuf.Mtatiro amesema chadema wanajua wazi hawana nguvu yoyote Igunga lakini...
Katika hali ya kusikitisha bidhaa kama vile sukari na nyinginezo zimepanda bei na kufanya maisha kuwa magumu kupindukia.
Jambo la kusikitisha ni kwamba serikali haichukui hatua yoyote na hivyo...
Hvi majuzi nilikuwa navinjari maeneo fulan town.mara majaama wa chadema wakakatiza kombat zao wamachinga kuona vile waakaanza kutimua mbio wakijua ni mgambo.hlo vazi linatisha kama vile vita bwana!?
VYAMA vya siasa vinavyowania kiti cha ubunge katika Jimbo la Igunga, vimelishukia Jeshi la Polisi na kulitaka lieleze sababu za kupitisha jimboni humo gari la washawasha juzi huku likipiga...
Vodacom Tanzania yapata Mkurugenzi Mtendaji mpya
5 September 2011
KAMPUNI ya simu za mkononi ya Vodacom leo imemtangaza Rene Meza kuwa Mkurugenzi Mtendaji mpya wa kampuni hiyo hapa nchini...
"Sina namna ya kugeuka kuwa wingu la mvua nikaenda kugeuka wingu kubwa la mvua pale Mtera." Alisema Rais Kikwete alipoulizwa maswali na Waandishi wa Habari wakati anatembelea maonesho ya Sabasaba...
Wakati mjadala ukiendelea juu ya kuitambua au kutoitambua NTC, sasa imedhihirika kwamba utawala huo mpya wa waasi utalazimika ku-service deni linalokadiriwa kufikia dola la Kimarekani Trilioni 3...
Pamoja na mambo mengi yaliyowahi kuahidiwa hili la melikubwa zaidi ya mv bukoba ziwa victoria lilinifanya nitake kujua zaidi. Itawezekanaje wakati hata zile boti zilizopigiwa kerere enzi za...
Kuna taarifa kwamba mawaziri watatu wa JK wakiwamo wawili vijana wanakalia kuti kavu kutokana na maamuzi na utendaji wao kuyumba na JK ameshauriwa kuwawahi kabla hawajamuabisha kama ilivyotokea...
Katibu mkuu kiongozi bwana F. Luhanjo ambaye yuko katika muda wa ziada wa miezi mitatu aliyoongezewa analaumiwa vikali na wafanyakazi wa wizara ya ujenzi kwa harakati zake zake za kuhakikisha...
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Patrick Rutabanzibwa, yuko matatani baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania Kitengo cha Ardhi, kumhukumu ama kulipa faini au kwenda jela...
...Akiandika katika mtandao wa Facebook kwenye profile yake katibu mwenezi wa CCM ndugu Nape Nnauye amedai katua Igunga leo asubuhi na kujihakikishia ushindi kwa asilimia 100...Na akatoa kejeli...
Send to a friend
Sunday, 04 September 2011 21:49
0digg
NAPE AVAMIWA NA BAUNSA WA CHADEMA, GARI LA 'UPUPU' la POLISI LAZUNGUKA MJI MZIMA LIKIPIGA VING'ORA
Boniface Meena na Joseph Zablon...