hivi ile meli kubwa mlithi wa mv bukoba tuliyoahidiwa ziwa victoria vipi?

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2011
Messages
3,738
Points
2,000

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Joined Jul 22, 2011
3,738 2,000
Pamoja na mambo mengi yaliyowahi kuahidiwa hili la melikubwa zaidi ya mv bukoba ziwa victoria lilinifanya nitake kujua zaidi. Itawezekanaje wakati hata zile boti zilizopigiwa kerere enzi za magufuri hazija zaa matunda yoyote ktk safari za mz to bk.

Jamani hata katika biblia nabii yeremia anasema, " kama umeshindana na hao waendao kwa miguu nao wamekushinda wawezaje kushinda katika mbio za farasi?"

kama hawa jamaa meli ndogo tu ziliwashida ni kweli hii meli kubwa itawezekana kama mheshimiwa alivyo ahidi?
Jamani hebu tupanuane mawazo katika hili
 

Forum statistics

Threads 1,379,553
Members 525,452
Posts 33,748,843
Top