VodaCom Tanzania yapata Mkurugenzi Mtendaji mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

VodaCom Tanzania yapata Mkurugenzi Mtendaji mpya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by LINCOLINMTZA, Sep 5, 2011.

 1. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Vodacom Tanzania yapata Mkurugenzi Mtendaji mpya
  5 September 2011
  KAMPUNI ya simu za mkononi ya Vodacom leo imemtangaza Rene Meza kuwa Mkurugenzi Mtendaji mpya wa kampuni hiyo hapa nchini.​
  Rene ambae kwa sasa ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Bharti Airtel Kenya ana uzoefu mpana wa kimataifa katika sekta ya mawasiliano ya simu wa zaidi ya miaka kumi na miwili akiwa ameshafanya kazi barani Afrika, Asia na Larin-Amerika.​
  Akizungumzia uteuzi huo, Afisa Mtendaji Mkuu wa Vodacom Johan Dennelind amesema:​
  "Tunayo furaha kubwa kwa Rene kujiunga nasi. Rene analeta uzoefu mpana kutoka nchi alizowahi kufanyia kazi ikiwemo Paraguay, Pakistan na Kenya na amewahi pia kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Millicom's (Tigo) nchini Tanzania hivyo basi ni wazi majukumu yake mapya katika Vodacom hayatokuwa na ugumu na atayamudu ndani ya muda mfupi."​
  Rene anachukua nafasi ya Dietlof Mare ambae ameomba kupangiwa kazi nyengine baada ya kuwa katika nafasi hiyo kwa kipindi cha miaka minne na nusu na hilo linafanyika kama sehemu ya programu ya Vodacom ya maendeleo ya uongozi. Taarifa ya kazi mpya atakayopangiwa itatolewa baadae. ​
  "Napenda kumshukuru Dietlof,chini ya uongozi wake Vodacom Tanzania imepiga hatua kubwa, kwa sasa ni kampuni ya pili kwa ukubwa Afrika ikiwa na wateja zaidi ya milioni tisa ukiacha Vodacom Afrika Kusini. Amekuwa ni kiongozi wa kuhusudiwa na wengine, uendeshwaji wa huduma ya M-Pesa na nyengine zilizobuniwa na kusimamiwa nae zinaiweka Vodacom mahala pazuri kibiashara katika siku za usoni."Alisema Dennelind.
  Dennilend amesema Vodacom itautumia ujuzi wa Dietlof popote katika kundi la makampuni ya Vodacom.​

  Mwisho
  Imetolewa na:
  Mwamvita Makamba​
  Ofisa Mkuu wa Masoko na Mahusiano​
  Vodacom Tanzania  Kwenye red: Hatua kubwa waliyopiga mbona haiendani na ulipaji wa kodi?
   
 2. RasJah

  RasJah JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2011
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 697
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hakuna kimpya hapo huuo jamaa kavurunda sana airtel kenya ndo maaba kaamua kubwaga airtel kenya aje kuimaliza vodacom..save this msg
   
 3. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,277
  Likes Received: 3,008
  Trophy Points: 280
  Daah Dietlof alikuwa kiongozi mzuri jmn,mtu wa watu.huyo mwingne cjui itakuwaje....
   
 4. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,293
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  aje na akumbuke kulipa kodi.!
   
 5. S

  Silas A.K JF-Expert Member

  #5
  Sep 5, 2011
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 807
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  <br />
  <br />
  Nani kakwambia hawalipi kodi???
   
 6. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #6
  Sep 5, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Kinyamana wewe mdau wa vodacom nini.

  Wakati wanajisifia "Napenda kumshukuru Dietlof,chini ya uongozi wake Vodacom Tanzania imepiga hatua kubwa, kwa sasa ni kampuni ya pili kwa ukubwa Afrika ikiwa na wateja zaidi ya milioni tisa ukiacha Vodacom Afrika Kusini".

  Mbona hawamo kwenye top 15 ya walipa kodi Tanzania?


  Tanzania Breweries Ltd. (Shilingi Bilioni 165.4);

  ii. National Microfinance Bank (Shilingi Bilioni 108.6);

  iii. Tanzania Cigarette Company (Shilingi Bilioni 92.1);

  iv. National Bank of Commerce (Shilingi Bilioni 89.9);

  v. CRDB Bank Ltd. (Shilingi Bilioni 79.2);

  vi. Tanzania Ports Authority (Shilingi Bilioni 76.8);

  vii. Tanzania Portland Cement (Shilingi Bilioni 73.4);

  viii. Airtel (T) Ltd. (Shilingi Bilioni 63.6);

  ix. Tanga Cement Company Ltd. (Shilingi Bilioni 43.6);

  x. Standard Chartered Bank Ltd. (Shilingi Bilioni 40.0);

  xi. Citibank (T) Ltd. (Shilingi Bilioni 35.7);

  xii. Resolute (T) Ltd. (Shilingi Bilioni 32.1);

  xiii. Tanzania International Container Terminal Services (Shilingi Bilioni 25.9);

  xiv. Tanzania Distillers Ltd. (Shilingi Bilioni 13.4); na

  xv. Group Five International (PTY) Ltd. (Shilingi Bilioni 9.5).
   
 7. W

  We know next JF-Expert Member

  #7
  Sep 5, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 664
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mzee Mustapha Sabodo, hembu tunaomba utuwekee hapa ile barua uliyomwandikia nadhani Waziri wa fedha mwaka jana au mwaka juzi na ukamcopy mkulu na Commisioner General TRA, jinsi haya makampuni ya simu yanavyokusanya pesa na jinsi yanavyolipa kodi zao. Nakumbuka ilikuwa OPEN LETTER na iliwekwa full page ktk Daily News na Guardian. Watu wa News kama mnaikumbuka hiyo, tuwekeeni hapa.
   
 8. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #8
  Sep 5, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,653
  Trophy Points: 280
  Ila mimi sio wa Nyuziiii!!!!!

  Hii hapa https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/17519-big-scandals-by-mr-r-j-sabodo.html

  BIG SCANDALS – STOP (AND PONDER)

  Source: The Gurdian!

  Mr R. J. Sabodo


  I am shocked by the amount of money Cell phone companies rob from us daily with full official endorsement and clean payments.

  Mobile phone subscribers are now more than 15 million. We a number three in consumption of this service in Africa. Mobile phone service in India is 11% - 15% times cheaper than here. Likewise, the United States is 9% - 11% times less, while Kenya and Uganda is 10% - 15% lower than here.

  We all know that mobile is vital for survival in the modern age. I advice our government to abolish VAT on mobile phone calls and instead increase income tax for mobile phone companies to between 65% to 85%. This is because if the VAT is not claimed where the buyer is not VAT registered, who will know?

  Can these mobile phone investor give us the figure for that they have earned for all the years they have been operating in this country? How much have they taken back to their mother country and how much is remaining?

  Assume one mobile customer pays Tsh. 50/= per day that is a whooping 75m/= per day revenue for these companies. Multiplied by 365 days that equal 273.75bn/= which is a very hypothetical minimum that phone companies earn per year. The poor man is being robbed of the little he has.

  Scandals like BOT, EPA, Gold which is sold like iron ore, Richmond etc, are nothing compares to this because there is official endorsement of the government. I advice strongly that if the Government goes with this kind of polices, then the majority poor will suffer.

  I urge the Government to become a partner for these companies. Government should acquire 65 percent share of these and list in the stock market so that it can be sold at not more than T sh. 50000/= per share so as to benefit majority of Tanzanias.

  Please give response if I am right or wrong to:

  Mr R. J. Sabodo


  N.B. 50/= shillings is the most minimum. But if you workout at 100/= you will be amazed how we are looted! And if we pay 500/= shs. Daily, nothing shall be left, Tanzania will be a desert.
   
 9. m

  mwanakazi Member

  #9
  Sep 5, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mobile phone subscribers are now more than 15 million. We a number three in consumption of this service in Africa. Mobile phone service in India is 11% - 15% times cheaper than here. Likewise, the United States is 9% - 11% times less, while Kenya and Uganda is 10% - 15% lower than here.

  hapo penye red.....naomba mtu a'search atuambie ni kwa kiwango gani makampuni ya simu ya kenya na uganda yanachangia katika ulipaji wa kodi ktk nchi zao i.e.ni mangapi yapo katika top 15 ya walipaji kodi na yanachangia kiasi gani (kwa amount na %).
  tukipata hayo majibu, tukijua how the situation is katika nchi jirani zetu itakua imesaidia sana katika huu mjadala.

  Actually binafsi cipendi kabisa huduma zetu za cm, zimekaa hovyo sana, af kuna "wizi" wa kitoto mno.............
  [​IMG]
   
 10. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #10
  Sep 5, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0

  Nimejaribu ku-click hiyo avatar yako niione vizuri nimeshindwa, samahani sana nini hiyo Mkuu?!
   
 11. m

  mwanakazi Member

  #11
  Sep 5, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Nimejaribu kupata list ya kenya, nimepata ya 2008 click link hapa:
  http://www.marsgroupkenya.org/Reports/LawsandConventions/KRA_Distinguished_Taxpayers_List_2008.pdf, Safaricom LTD ndo iliongoza kwa kulipa kodi! then ndo inakuja Kenya Breweries Ltd (KBL).
  The same in Uganda! MTN Group ndo inaongoza kwa kulipa kodi, cheki hapa:MTN is again Uganda's top taxpayer, hii ni kwa financial year 2006/07, and it has been the leading taxpayer for 3 consecutive years, na trend ilivyo wataalamu wa uganda wametabiri kuwa MTN inaweza kuongoza katika 3 coming years i.e.nanukuu: "The statistics prove that Ugandans are spending more on mobile phone airtime, fuel, beer and phones. The trend of consumption is likely to remain the same in the next three years". . na hali ya Uganda ni kama ya bongo tu, makampuni ya cm yapo more than 3, na competition ni kubwa.
  nanukuu kwa uganda: "The top 10 of the best 1000 taxpayers paid out about Ugshs753 billion which was 28.6 per cent of the total revenue. The 10 include, MTN, Shell, Uganda Breweries, Nile Breweries, Total Uganda, Tororo cement, Century Bottling Company (Coke), and energy producers Aggreko International."

  TZ mbona hali ni tofauti sana? makampuni yenye wateja wengi, Vodacom na tigo, hayapo hata kwenye top 15!! me' sio mchumi but with such "situational and comparative analysis" nashawishika kuamini kuwa kuna walakini na ukwepaji wa kodi... naomba wataalamu wa haya mambo na wanajamvi tuyajadili haya.
   
 12. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #12
  Sep 6, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Explain...

  [​IMG]
   
 13. D

  Derimto JF-Expert Member

  #13
  Sep 6, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Tanzania Nakupenda kwa moyo wote voda na wenzako go go go! Vuneni msichopanda
   
 14. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #14
  Sep 6, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,653
  Trophy Points: 280
  Tanesco, IPTL na wengine vipi hapo?
   
Loading...