Miaka 50 ya uhuru na ma-first ladies wanne! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miaka 50 ya uhuru na ma-first ladies wanne!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by GAGAGIGIKOKO, Sep 6, 2011.

 1. G

  GAGAGIGIKOKO Senior Member

  #1
  Sep 6, 2011
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umuofia kwenu wana jf popote pale mlipo!! Najua miaka hamsini ya uhuru si mda haba,kwa maisha ya kuunga unga kama ya kwetu ya kitanzania bila shaka ni umri wa kuitwa kikongwe!!?Yapo mengi ya kutafakari lakini tunapokuwa tunayajadili yote yaliyofanywa na wakuu wetu wa kaya ktk awamu zote nne si dhambi tukijuzana pia wasifu na michango ya wake za maraisi wetu ktk ujenzi wa taifa letu kama njia ya kuwaenzi.Maana inasemekana kuwa kwa kila mafanikio ya mwanaume na mwanamke yuko nyuma yake!!?Naomba kuwasilisha
   
 2. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kwa vile sijaona mafanikio ya hao wanaume katika taifa letu na hata hapa sina uhakika wa kupata dinner sioni cha kujadili.
   
 3. G

  GAGAGIGIKOKO Senior Member

  #3
  Sep 6, 2011
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Labda tujuzane kwanza wasifu wa hawa mapacha wanne kwanza(ma-first ladies ) wapi walikotoka,michango yao ktk jamii ya kitanzania na jinsi walivyozitumia nafasi zao kama wake wa wakuu wa kaya.
   
 4. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #4
  Sep 6, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,797
  Likes Received: 36,826
  Trophy Points: 280
  mkuu umekosea, mkwereee ana wake zaidi ya mmoja so kwa hawamu hii tuna mafirst lady zaidi ya mmoja.
   
 5. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #5
  Sep 6, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  weka account yako hapa jukwaani umwagiwe mafaranga ule dinner mpaka uvimbiwe.!
   
 6. G

  GAGAGIGIKOKO Senior Member

  #6
  Sep 6, 2011
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa mtazamo wangu nadhani first lady wa tatu na wa nne wamejitahidi sana wanastahili pongezi
   
 7. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #7
  Sep 6, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  ndugu yangu wewe kweli hujui hesabu au huna taarifa.! Hao wanne Jk peke yake anatimiza..
   
 8. G

  GAGAGIGIKOKO Senior Member

  #8
  Sep 6, 2011
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tujadili mmoja anaejulikana kitaifa. Yule anaeshinda anapiga nae misele.
   
Loading...