CHADEMA wasaliti - CUF

Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,534
13,225
Mratibu wa kampeni wa cuf Julius Mtatiro ameishtumu vikali chadema kwamba kiimeenda Igunga kwa lengo la kugawa kura za Cuf.Mtatiro amesema chadema wanajua wazi hawana nguvu yoyote Igunga lakini wameamua kwenda huko ili ccm ishinde.Mtatiro amemueleza mwandishi wa habari hizi kwamba chadema wasijidanganye kuambulia hata nafasi ya pili bali watakuwa namba 3 nyuma ya ccm na cuf.Mtatiro amesema cuf wamejipanga kuwaeleza wananchi wa igunga ukweli wote kuhusu chadema ili waamue wenyewe.

mbona yeye alijua hashindi lakini alienda UBUNGO badala ya kwenda MUSOMA VIJIJINI
mbona TARIME CUF waliharibia CHADEMA kwa kugawa kura zaidi ya 7000
mbona hazungumzii KIGAMBONI jinsi wapinzani walivyogawana kura
au MTATIRO naye ameanza kutumia akili za kwwnye MASABURI

CUF wameenda igunga kuisaidia CCM ishinde siyo yenyewe kushinda,wao CUF wanamuafaka na CCM huko Zanzibar sasa ndoa yao si bado haijavunjika wananchi tusiwaskilize hao ni ccm ya pili.

Kwenye demokrasia kuna kitu kinaitwa 'political torelance & competence' ambacho kilaza huyu hakijuhi..sasa kama mazingira yanaruhusu competition usaliti unatoka wapi tena?..na kama anajua atashinda sasa anatapatapa nini?...si asubiri alarm ya mwisho tuone kama mke aweza kuachiwa awe baba angali mme yupo..ama tayari ccm imekufa (mme wake)

CDM haina shida ya kushindana na wanawali (cuf wachumba) ila ipo kushindana na mwanaume kibogoyo (ccm) ambayo leo haina meno tena mdomoni

Ameshaanza kutumika vibaya huyu bwana!Kauli yake yakuwa watawaeleza wana Igunga yote yaihusuyo CDM ni wazi kuwa wameamua kuisaidia CCM ishinde(wana ndoa hawa).....rejea jina la operesheni yao huko!

Siasa za kibongo hizo. Cuf ni ccm-B, sitegemei cuf wasifie chadema. Kila chama kina haki ya kupeleka mgombea Igunga. Ameshaanza kuogopa.

Bora tuwe wakweli Vyama vya siasa havitafika mbali kama havitokuwa na tabia ya kuachiana majimbo. Kama kweli CUF ina nguvu zaidi ya CDM basi CDM waiachie CUF Igunga vinginevyo ni kuwapa CCM ubwete wa kushinda.

Masaburi bana Mtatiro ni mwalimu ana BA in Education, udsm. Anashindwa kufahamu maana ya neno "usaliti" ok why asiwaambie CCM ndio wanawasaliti? Cdm na ccm nani ana ndoa na cuf.

Mratibu wa kampeni wa cuf Julius Mtatiro ameishtumu vikali chadema kwamba kiimeenda Igunga kwa lengo la kugawa kura za Cuf.Mtatiro amesema chadema wanajua wazi hawana nguvu yoyote Igunga lakini wameamua kwenda huko ili ccm ishinde...
Kama hawana nguvu yoyote, haiwezekani wagawe kura. Kama wanaweza kugawa kura, basi wana nguvu. Something is missing katika kauli ya Mtatiro!

Kweli Raisi wangu mstaafu wa udsm ameisha kabisa na ccm B yake jamani ckuzote kama una tawi sehemu na kuna viongozi watawi basi ni ruksa kuweka mgombea sasa vp MTATIRO PAKAVU ANATEREZA.

Mratibu wa kampeni wa cuf Julius Mtatiro ameishtumu vikali chadema kwamba kiimeenda Igunga kwa lengo la kugawa kura za Cuf.Mtatiro amesema chadema wanajua wazi hawana nguvu yoyote Igunga lakini wameamua kwenda huko ili ccm ishinde.Mtatiro amemueleza mwandishi wa habari hizi kwamba chadema wasijidanganye kuambulia hata nafasi ya pili bali watakuwa namba 3 nyuma ya ccm na cuf.Mtatiro amesema cuf wamejipanga kuwaeleza wananchi wa igunga ukweli wote kuhusu chadema ili waamue wenyewe.

Nahisi chanzo cha habari hii ni wewe mwenyewe! Na haina ukweli ila we nimfasi wa ccm!!

hivi cuf ni chama cha wapinzani? awa jamaa vipi, zanzbr wameungana na sisyemu, igunga wanataka waungane na cdm. yaelekea wanashindwa
kujiamini, wamekaa kisaccos saccos. hapo kwenye red, je hii ndo sera yao? mwanaume anayejua kutongoza ni yule anayejitetea kivyake,
si anayetoa kasoro ya wanaume wenzake, je wasipokuwepo utatoa kasoro za nani?

Kama hawana nguvu yoyote, haiwezekani wagawe kura. Kama wanaweza kugawa kura, basi wana nguvu. Something is missing katika kauli ya Mtatiro!
mkuu, huyu kijana naona anataka kuchanganyikiwa sasa!

Nahisi chanzo cha habari hii ni wewe mwenyewe! Na haina ukweli ila we nimfasi wa ccm!!

ndugu yangu huamini nini? Kwani ni lipi la ajabu alilosema Mtatiro? Hujui sera ya Cuf dhidi ya chadema? Umesahau tamko lao bungeni kwamba wamejitoa upinzani kwa vile unaongozwa na chadema? Umesahau wanavyodai chadema inataka kuvuruga amani? Umesahau mswada wao bungeni wa kuiondoleaj chadema haki ya kuunda kambi ya upinzani bungeni? Umesahau wanavyolaani maandamano ya chadema? Hayo ni machache niliyoorodhesha.Anachosema Mtatiro hapa ni mwendelezo wa sera mpya ya Cuf dhidi ya chadema.

Inamanisha CUF hawana uhakika na wapiga kura wao ndo maana wanawaza mambo ya kugawana kura, Chadema tuna kura zetu za wananchi wenye uchungu wa kupata maendeleo, hatuna wa kugawana nae hizi kura kwa kuwa mtazamo na utendaji wa chama chetu ni wa kipekee

Mtatiro nakumbuka ulikuwa kiongoz shupavu kipindi upo Udsm,ulichochea ari yangu ya kupenda siasa hasa kusimama kidete kupitia maandamano tangu nikiwa mwaka wa kwanza ila sasa naona umeishiwa au umefilisika kifikra. Katika uchaguzi wa igunga Cuf na Ccm wanapeleka viongoz wao wakuu mkapa na seif sharif nani msaliti hapo?wapinzani ni chadema tu.

Bora tuwe wakweli Vyama vya siasa havitafika mbali kama havitokuwa na tabia ya kuachiana majimbo. Kama kweli CUF ina nguvu zaidi ya CDM basi CDM waiachie CUF Igunga vinginevyo ni kuwapa CCM ubwete wa kushinda.

demokrasia ifuatwe. Kila mtu au chama kina haki ya kuweka mgombea na si kuachiana. Kila mtu au chama kina sera tofauti.

Back
Top Bottom