Wajibu wa kiongozi yoyote wa TANGANYIKA/ ZANZIBAR kukagua au kushiriki ktk miradi ya Tanzania !(Tus) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wajibu wa kiongozi yoyote wa TANGANYIKA/ ZANZIBAR kukagua au kushiriki ktk miradi ya Tanzania !(Tus)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chipoku, Sep 6, 2011.

 1. C

  Chipoku Member

  #1
  Sep 6, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  HONGERA MAALIM SEIF KWA KUGUNDUA KUWA TANZANIA NI ENEO LAKO LA UTAWALA /LINAKUHUSU
  HAPA NDIPO UTAKAPOJUA KUWA KUWA ULAZIMA NA UMUHIMU WA KUWA NA SERIKALI YA TANGANYIKA KIUTENDAJI SIO KAMA ITAMKWAVYO KISHERIA TU ! MAALIM YUKO SAHIHI SANA SANA SANA KUKAGUA , KUCHANGIA NA KUHOJI MIRADI , KAMPUNI , SHIRIKA NK LILILO CHINI YA MWAMVULI WA MUUNGANO KIKATIBA NA ANACHOFANYA INAKUBALIKA KIKATIBA SABABU ANACHOKAGUA NI MIRADI YA TANZANIA NA SIO TANGANYIKA !
  TATIZO LIPO KWETU SISI , KWANINI SERIKALI YA TANGANYIKA ISIWEPO ?
  ZILIUNGANA JAMHURI YA ZANZIBAR + JAMHURI YA TANGANYIKA = JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIATANZANIA , KWA MAANA HII BASI ., VIONGOZI WA ZNZ WANA FULL MANDATE KWA YOTE YANAYOTENDEKA TANZANIA(SIO TANGANYIKA) NA tanganyika PIA VIONGOZI WETU WANA FULL MANDATE KWQA YOTE YANAYOTENDEKA TANZANIA (SIO ZANZIBAR) !

  HAPA NDIO UTAONA KUWA SISI WA TANGANYIKA TUMEPOTOKA MAHALI KUHUSU MUUNGANO KWANINI TANGANYIKA IFE BAADA YA TANZANIA ? INA MAANA ZNZ WALIUNGANA NA NANI ? TUKATAE , TUKUBALI HAPA WAMETUZIDI MAARIFA WALA UROJO , SISI NI MADEBE MATUPU , MBONA WAO WAMEBAKI NA IDENTITY YAO ?

  WAKATI SISI TUNAJIITA WATANZANIA BARA WAO WANAJIITA WAZANZIBARI SABABU HAZIKUUNGANA TANZANIA BARA + TANZANIA VISIWANI KUPATA TANZANIA ! SO MWENYE AKILI HAWEZI KULALAMIKA MAALIM SEIF KUKAGUA MIRADI YA TANZANIA ! AU MAALIM SEIF KULIPIWA GHARAMA ZA ZIARA NA SERIKALI YA TANZANIA SABABU NAYE NI KIONGOZI WA SERIKALI !

  SIO MAALIM SEIF TU HATA WAZIRI WA ZANZIBAR ANA HAKI HIYO KATIKA TANZANIA NA BADO HAJAVUNJA KATIBA , ILA WAZIRI WA ZNZ HANA HAKI YA TANGANYIKA !
  BILA TANGANYIKA SIKU ZOTE TUTAONEKANA NI MACHIZI, HATUNA HOJA NA WAPINGA KATIBA NA HATUJUI MAANA YA MUUNGANO !
  NDIO MAANA UTASIKIA WENGINE WAKIDAI ETI HATUJASHIRIKISHWA KTK MABADILIKO YA KATIBA YA ZANZIBAR,! LOL ! USHIRIKISHWE WE MZANZIBARI ? MWISHO BADALA YA KURUDISHA BUNGE LA JAMHURI YA TANGANYIKA TUTALALAMIKA MBONA HATUSHIRIKI VIKAO VYA BARAZA LA WAWAKILISHI ?
  TUFUNGUKE , SERIKALI TATU NDIO SOLN AU KURUDISHA TANGANYIKA !nb hii ni kwa wenye vichwa vyenye ubongo sio tope (maana hawa vichwa tope aka 22+22=2222 , wanajua kuwa wanapandwa kichwani na kuwafadhili waznz)!
   
 2. mpalu

  mpalu JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 2,490
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  asante mtanganyika mwenzangu
   
Loading...