Habari jamani,mie ni mgeni humu kwa usajili,lkn ni mfuatiliaji mkubwa wa mada za humu,nimejiunga ili na mimi kuchangia kile ninachokijua juu ya mijadala ya humu! nimeshuhudia wenzangu wageni...
Kama wabunge wa chadema wangezama vijijini kama chiku abwao mbunge wa Iringa akiwa na
gari yake ndogo aina ya suzuki kwenye roof ikiwa imezungukwa na maspika na bendera za chadema.
mama huyu kazi...
Home Habari za Kitaifa Personal Tech Waziri atoboa alivyobanwa na Nyerere
TUESDAY, 11 OCTOBER 2011 11:49 NEWSROOM
MWANASIASA mkongwe, Paul Kimiti, amesema kuporomoka kwa uadilifu wa...
Wandugu nimeona news muda huu na nimemsikia Msechu anasema kwa kusisitiza anasema ayafanyao yeye huko NHC anatekeleza ilani ya CCM.
Kindly guys help me to understand, hii imekaaje?
Nimekuwa ni kijiuliza sheria/kanuni au taratibu za kuwapata wabunge wa viti maalumu kwa kuwa idadi yao inategemea wingi wa wabunge wa kuchagulia kutoka chama fulani ndio idadi kamili...
Waziri Samwel Sitta atakuwa live Mlimani TV muda mfupi kutoka sasa. Hebu wanaJF tumuulize yale maswali magumu ambayo tumekuwa tunaulizana hapa huenda atatujibu live leo
namsikiliza mwalimu muda huu kupitia itv. Ni press conf ila sijui ilifanyika wapi. Huyu mzee ni nabii. Baadhi ya anayoyasema yananigusa.
-anaisapoti ccm kwa kuwa hakuna chama kilichoimarika...
Hali hii imetokea pale nyumba zao zilipowekwa x na pr. MAGUFULI na kuwapa siku 3 wabomoe nyumba zao, wanakijiji hao wamelalamika kwa kusema kw haiwezekani serikali hyhy iwauzie viwanja hivyo na...
Watanzania wengi wanasubiri nani atafuatia baada ya RA kujiuzulu wakimsubiri kwa hamu kubwa Edward Lowassa kuliko hata Andrew Chenge maana hawa mapacha watatu wamepamba sana vyombo vya habari siku...
Haya ni ya Zambia, Hapa je au ndo ule mtindo wa wachina kuwapiga hata polisi? Au mpaka Ridhwani apigwe ndo tuchukuwe hatua?
LUSAKA Zambia's newly-elected President Michael Sata on Monday...
Tanzania ni kati ya nchi zinazokuwa kidemokrasia na kiuchumi, pamoja na kwamba makuzi haya hayaendani na kasi halisi pamoja na hitaji la ongezeko la watu. Idadi ya watu inaongezeka kwa kasi...
Last week Hon. Zitto Z. Kabwe attended four meetings in Kigoma in my capacity (and as part of his job) as MP of Kigoma Kaskazini, at the Constituency Development Fund Committee, District...
leo nilikuwa ninapita pita jamiiforum nikaona post mmoja iliyokutanisha maoni ya wabwia unga wawili "samahani kwa maneno makali" lakini sina jinsi nyingine kuyaweka maana ni vijana, wenye madaraka...
Hivi baada ya utawala wa Libya chini ya Khadaffi kuondolewa, walio muondao ambao ni NTC watalazimika kuridhi madeni ya mikata feki ya utawala ulioangushwa na kulipa au inakuaje katika mazingira...
Habari zinazotangazwa na Katibu wa CHADEMA mkoani Tabora Athumani Mohamed Athumani kupitia WAPO redio anasema mwili wake umeonekana katika hali ya kutatanisha kwa kuwa unaonekana umekaushwa na una...
Kipindi cha Mwalimu Julius K. Nyerere, sheikh Yahya Hussein alitimuliwa nchini na akawa akiishi maisha ya kutangatanga nchi za Arabuni kama chokoraa.
Je ni sababu zipi zilizopelekea Mwalimu...
Kulikuwahi kuvuma tetesi kuwa kuna mpango wa kumng'oa Mbatia katika nafasi ya uenyekiti NCCR-Mageuzi. Katika mpango huo baadhi ya mbunge/ wabunge kutoka KIGOMA ana/wanahusika. Wana JF mpango...