Wanakijiji wa kijiji cha matuku warudisha kadi za ccm.

Angel Msoffe

JF-Expert Member
Jun 21, 2011
6,786
1,633
Hali hii imetokea pale nyumba zao zilipowekwa x na pr. MAGUFULI na kuwapa siku 3 wabomoe nyumba zao, wanakijiji hao wamelalamika kwa kusema kw haiwezekani serikali hyhy iwauzie viwanja hivyo na sasa serikali hyhy iwalazmishe wabomoe nyumba zao bila malipo yyt. Wamesema hawatabomoa nyumba zao wakotayari kusagasagwa, wamesema ccm ndo inawaletea matatizo na umasikini na wamerudisha kadi na kusema ccm bas. source: habari tbc sa 2 usiku
 

Lupweko

JF-Expert Member
Mar 26, 2009
16,422
14,028
attachment.php
 

Kimbunga

Platinum Member
Oct 4, 2007
14,869
9,820
Sina hakika kama hao wanahama. Wamezirudisha kwa nani au wanatishia nyau?
 

Felixonfellix

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
1,672
180
hivi wanatunza kadi za nini?
Kama ni ukijani si ni bora wangekuwa wanachuma majani ya miti na kuyahifadhi ndani kila baada ya muda
 

Makamuzi

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
1,155
263
Sidhani kama hawa wanarudisha kadi wakiwa na moyo wa kimapinduzi,ila walitakiwa toka mwanzo wajue kuwa CCM ni chama kisichokuwa na dira wala mwelekeo na ndiyo maana viongozi wanafikiri kwa masaburi.
 

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,130
918
wameonekana katika kipindi cha STAR TV wengine na jezi za CCM habari kwa kina wakilalamika. Lakini waache waaumizwe manaka watanzania kama hao ambao bado walikuwa wakifagilia magamba wanapaswa kupata funzo kwanza ndio wakate shauri!!
 

Dopas

JF-Expert Member
Aug 14, 2010
1,151
392
Je, wakilipwa fidia watachukua hizo kadi za ccm tena. Je, wameona dhuluma ya ccm ktk hilo tu?
 

kichomiz

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
18,519
11,266
Hali hii imetokea pale nyumba zao zilipowekwa x na pr. MAGUFULI na kuwapa siku 3 wabomoe nyumba zao, wanakijiji hao wamelalamika kwa kusema kw haiwezekani serikali hyhy iwauzie viwanja hivyo na sasa serikali hyhy iwalazmishe wabomoe nyumba zao bila malipo yyt. Wamesema hawatabomoa nyumba zao wakotayari kusagasagwa, wamesema ccm ndo inawaletea matatizo na umasikini na wamerudisha kadi na kusema ccm bas. source: habari tbc sa 2 usiku

CCM INA WENYEWE BANA NA SI WENYE VILAKA KWENYE MAKALIO,kwa taarifa yenu nyie ni wadandiaji tu CCM haiwahusu,CCM ni ya mafisadi kazi yao kuu ni unyonyaji,nyie na vilaka vyenu mnaimbishwa nyimbo wakati hamjui nini hatma za maisha yenu,ndio madhara yake hayo.
 

Gracious

JF-Expert Member
Jul 12, 2011
1,891
1,080
Nchi ina wenyewe bana,alisema Nape.Na wenyewe ni CCM.Naongezea ni ya CCM Viongozi na watoto wao kama kina Makamba,Mwinyi,Riz1,Nape na Mafisadi wenye Vijisenti.Jamani watanzania wa mlo mmoja kwa siku,Viraka kwenye suruali,hao sio wenye CCM na kwa hiyo sio wenye nchi according to Nape
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom