Mbunge huyu wa CHADEMA azidi kuimaliza CCM huko Iringa vijijini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge huyu wa CHADEMA azidi kuimaliza CCM huko Iringa vijijini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by politiki, Oct 11, 2011.

 1. p

  politiki JF-Expert Member

  #1
  Oct 11, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Kama wabunge wa chadema wangezama vijijini kama chiku abwao mbunge wa Iringa akiwa na
  gari yake ndogo aina ya suzuki kwenye roof ikiwa imezungukwa na maspika na bendera za chadema.
  mama huyu kazi yake ni moja tu nayo ni kuibomoa CCM Iringa vijijini na hasa eneo la Kalenga.
  ningependa wabunge wa chadema wafuate nyayo za huyu mama waache siasa za maofisini na kuzama vijijini.

  JEMBE LA CHADEMA HUKO KALENGA.
  [​IMG] mbunge Chiku Abwao baada ya kazi nzito ya kujenga chadema vijijini leo


  [​IMG] Wafuasi wa Chadema kata ya Luhota wakisukuma gari alilopanda mbunge wao Chiku Abwao leo


  [​IMG] Matembezi ya kwenda kufungua ofisi ya kata ya Chadema kata ya Luhota jimbo la Kalenga leo  [​IMG] Mbunge Chiku Abwao akimwaga noti na bendera za Chadema kwa ajili ya kuchangia ufunguzi wa ofisi kata ya Luhota leo


  [​IMG] Wananchi wakiandamana kwenda kufungua ofisi ya Chadema vijijini kwenye kata ya Luhota jimbo la kalenga wilaya ya Iringa vijijini leo  [​IMG] Gari la mbunge Chiku likisukumwa leo  [​IMG] Katibu wa chadema wilaya ya Iringa vijijini Felix Nyondo akimkaribisha mbunge Chiku Abwao leo
  CHADEMA cha demokrasia na maendeleo (chadema) wilaya ya Iringa vijijini kimeanza kukibomoa chama cha mapinduzi (CCM ) baada ya aliyekuwa mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi kata ya Luhota na mjumbe wa kamati ya utekelezaji CCM wilaya ya Iringa vijijini Sihuna Kapalampya kuhamia Chadema na kuwa mwenyekiti mpya wa Chadema kata ya Luhota .

  picha hizi kwa hisani ya www.francisgodwin.blogspot.com mwandishi nguli huko Nyanda za juu kusini.
   
 2. Mbogela

  Mbogela JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2011
  Joined: Jan 28, 2008
  Messages: 1,369
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  CHADEMA itoe maelekezo na kuwapangia malengo makatibu, viongozi wa ngazi za wilaya kufungua matawi vijijini, watu wanakosa hata sehemu ya kuchukulia kadi.
   
 3. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Vema sanaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!! Kwa kweli wabunge wetu wengine CDM, njia sahihi ndio hii hapa ya Kamanda Chiku huko Iringa.


  [​IMG]
   
 4. M

  Molemo JF-Expert Member

  #4
  Oct 11, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Wabeja sana
   
 5. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #5
  Oct 11, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wasongela muyaaa
   
 6. N

  NDOFU JF-Expert Member

  #6
  Oct 11, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 656
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hakika hii ni nzuri sana' naomba wabunge wengine waige mfano huu ili Chadema iwe na mtaji vijijini'
   
 7. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #7
  Oct 11, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Sheishei!!
   
 8. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #8
  Oct 11, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ni wazo zuri sana. Mtaji wa kushika dola uko vijijini kunakolagaiwa wananchi kila mwaka kwenye chaguzi zetu nchini. Ni jukumu la chama chochote cha siasa kutembelea wananchi mahala popote pale na kuwaelimisha juu ya haki zao za uraia na uhuru wa kuchagua.

   
 9. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #9
  Oct 11, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Ongera mama kaza buti ndo siasa.
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  Oct 11, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  picha hazimpambi huyu mama, kwanza zinaonyeshwa anasukumwa kwenye gari (mrema, jairo), anagawa pesa (JK na wenzake), very minimal audience (nape), mkorogu umedunda (Anne Kilango malecela)

  Lets share her success na sio picha ambazo ziko kama amepiga John Guninita
   
 11. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #11
  Oct 11, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  kazi nzuri
   
 12. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #12
  Oct 11, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  ..............ipi
   
 13. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #13
  Oct 11, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  mbona roho inaniambia kuwa pilitiki ndo huyo mbunge!!!!
   
 14. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #14
  Oct 11, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  aisee... hivi wewe mbona unagundua kuliko eureka??
   
 15. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #15
  Oct 11, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  nadhani ni suala la kiungwana MTM kuchangia CDM hasa kwa huko vijijini ili kuipa uhai ofisi iliyofunguliwa. kumbuka hawakuwahi kuwa na ofisi huko, hivyo pamoja na kuwapa vifaa kama bendera, siyo vibaya kutoa na pesa kibao kununulia vitu kama viti, meza, benchi na mengine ya msingi.

  Nzuri zaidi, pesa haijatolewa kwa kificho, bali imetolewa hadharani na inawezekana ilitangazwa inatolewa kwa lengo gani ili iwapo viongozi hao wataitumia vibaya, basi wawajibishwe kwa kufuja mali za chama

  Ktk hili, sioni ubaya brother MTM
   
 16. Atubela

  Atubela JF-Expert Member

  #16
  Oct 11, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 637
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 180
  Good work mamaa!
   
 17. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #17
  Oct 11, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Thanks!!!!

   
 18. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #18
  Oct 11, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  ya kujenga chama vijijini, kwani kama unafuatilia, CDM hufanya vizuri mijini huku vijijini wakiangukia pua. sasa yeye ameenda kutangaza sera za chama vijijini, wanazengo waielewe. nasisitiza kazi nzuri ameifanya
   
 19. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #19
  Oct 11, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  ..Kwenye kumwaga Mijihela hapo ndio pananipa utata..na hata hao wapokeaji walivyokaa mkao wa kusubiri!!..Anyway..Siasa si hasa!!
   
 20. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #20
  Oct 11, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  mtamaholo

  wewe ni muungwana na nimekusoma... iwapo sisi wanaJF tungekua kama wewe, basi tungekua mbali sana

  Nimeheshimu sana ushauri wako na kuukubali kabisa, pamoja na hayo nadhani sisi tusioishi iringa ni vyema tukaona madawati, matrekta, vocha za mbolea hazijaibiwa, mipango ya maendeleo iko wilayani na pia mihutasari ya vijiji inafanyiwa kazi vyema

  You have earned my reputation and i pray that you live long to realise our dream
   
Loading...