Nimekuja na bendera ya jukwaa

ZALEOLEO

Senior Member
Oct 11, 2011
116
18
Habari jamani,mie ni mgeni humu kwa usajili,lkn ni mfuatiliaji mkubwa wa mada za humu,nimejiunga ili na mimi kuchangia kile ninachokijua juu ya mijadala ya humu! nimeshuhudia wenzangu wageni wakiitwa kikosi nape,lkn mimi nimekuja na bendera ya jukwaa,itapepea kwa wadau wasoweza kujua yanayoendelea humu. ahsanteni
 
ngoja kwanza nikuvutie pumzi
 
hizi habari zako za bendera hapa si jukwaa lake , mtafute jamaa anaitwa pwa au visinible watakusaidia sana
 
jamani ndo utaratibu wenu huu wa kukaribisha wageni? mbona mnanichimba mkwara?
 
Back
Top Bottom