Wabunge wa NCCR-Mageuzi wajipanga kumng'oa Mbatia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wa NCCR-Mageuzi wajipanga kumng'oa Mbatia

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jiwe la Ukara, Jul 16, 2011.

 1. J

  Jiwe la Ukara Member

  #1
  Jul 16, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kulikuwahi kuvuma tetesi kuwa kuna mpango wa kumng'oa Mbatia katika nafasi ya uenyekiti NCCR-Mageuzi. Katika mpango huo baadhi ya mbunge/ wabunge kutoka KIGOMA ana/wanahusika. Wana JF mpango ulifikia wapi?
   
 2. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Simtetei mbatia, ila wenzetu wa kgm is too much yani wakiwa wengi tu ndani ya jumuia fulani wao lazima waanze kufikiria kupindua! Si kwenye vyama vya siasa hata makanisani pia wanawasumbua sana.

  Kwa mtazamo huu hawwezi kufikia malengo ya juu. Ni lazima wajifunze kuongozwa na watu wengine pia na pale inapowezekana kuongoza basi waongoze lakini si kwa kulazimisha.
   
 3. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,636
  Likes Received: 4,746
  Trophy Points: 280
  Tukuulize wewe
   
 4. F

  FJM JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Mbatia deserves anything he gets! Amekuwa anasimamia hewa!

  On the other hand Kigoma is slowly acquiring a very bad reputation. Wamekuwa na mlolongo wa u-mamluki na kigeugeu. Dr Kaborou, Kafulila, Zitto, na hata Kakobe! Na kama Mbatia atapinduliwa nadhani Kikwete atakuwa anajua mpango mzima kama sio kushiriki. Siku chache tulisoma comments za Zitto kuhusu 'friendly talks' kati yake na Kikwete wakati anazindua ujenzi wa daraja/barabara huko Kigoma, na alisema kuwa Kikwete alisema anataka arithiwe na mtu kijana! Then ikaja trip ya South Sudan Zitto akawa kwenye msafara na nilihoji kwa nini sio 'Shadow Minister wa Foreign Affairs kama nia ilikuwa kujumuisha upinzani?

  Sio vizuri ku-sterio type eneo au watu lakini kama ambavyo Nigeria imejikuta na reputation ya 'utapeli' wabunge wa Kigoma nao wanatoa taswira mbaya sana kuhusu 'uaminifu'- hawaminiki. There is nothing bad kama kupoteza trust!
   
 5. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #5
  Jul 16, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu hilo wala si jambo la kushangaa. Si unawaona wajomba zao wa kule Rwanda na Burundi?
   
 6. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #6
  Jul 16, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,957
  Likes Received: 1,283
  Trophy Points: 280
  Hivi Kafulila yumo humu? Au hata hajui kuhusu JF?
   
 7. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #7
  Jul 16, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Is Mbatia so threat to His Excellence Jakaya Mrisho Kikwete to that extent? You must be kidding if not day dreaming
   
 8. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #8
  Jul 16, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Mbatia atapinduliwa mapema september mwaka huu kama sehemu ya kujivua gamba.
  Mbatia amekuwa katika makundi ya rostam na alipewa 200m uchaguzi 2010 lakini akashindwa na mwanamke.

  Mbatia ameshindwa kwa kura 10,000 lakini kafungua kesi kupinga ushindi huo.

  Mbaitia amekuwa anatoa kauli za kuunga mkono malipo ya dowans na kuwatetea akina lowasa.
  Alipewa peasa na lowasa afungue kesi dhidi ya samweli sitta

  nccr wanasema ni bora mbatia ajivue gamba sambamba na rostam
   
 9. F

  FJM JF-Expert Member

  #9
  Jul 16, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  No. Mbatia is not threat but his removal is part of the reconstruction of NCCR-Mageuzi & create space for a few 'desciples' from CHADEMA. You need to think NCCR- Mageuzi & CHADEMA with Kigoma in the middle as a weapon of mass destruction!
   
 10. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #10
  Jul 16, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0

  We umejiunga February, 2011 unaona ndio wa mwanzo?!
   
 11. G

  Given Member

  #11
  Jul 16, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 81
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 15
  Loh! Ujumbe mzito huu! I hope umesomwa na wadau husika!
   
 12. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #12
  Jul 16, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkuu hapa nimeanza kuzinduka usingizini sasa. Kwa wanaojua kuunganisha the dots unaweza ukaelewa hii point ya huyu mkuu. Reconstruction of NCCR to fight cdm! Yaah this is a point. Kwa hiyo mkuu wanataka iwe ccm-B ya mwaka 2015 nini? Je cdm wameshalijua hili tayari? CCM wanapambana kukiua chadema kwa mbinu yoyote ile hata kama itakuwa ni ya tukose wote. Nadhani zitto huenda akawa anajua huu mpango au hajui japo analengeshwa kunaswa kwenye huu mtego. Kwa jinsi mambo yanavyowakalia vibaya ccm wanaweza hata kuungana na chama hiki kipya cha kgm kupata Raisi ambaye ni kijana kama alivyosema JK. Lakini wasiwasi wangu ni mmoja tu kwamba hiki chama labda kitabaki kuwa cha wana kgm tu maana kwa njinsi tunavyowafahamu huwa hawakubali kuongozwa na mtu wa tofauti na wao. Na sitarajii kitaweza kuwa na faida kwa watanzania zaidi ya kutumiwa tu na ccm kama toilet pepa.CDM must work on this matter bila kulichukulia kama mzaha maana ni dalili zimeonyesha. Please cdm work on this warning signal. CDM lazima wajuwe kuwa zipo mbinu nyingi sana za kuwamaliza hivyo wasipuuzie warning information kama hizi.
   
 13. Jiwejeusi

  Jiwejeusi JF-Expert Member

  #13
  Jul 16, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ni kweli, kwa watu wenye kufikri kama mimi na wewe, kamwe hawawez kuwaamin politician kutoka kgm, ni wanafiki, mamluk na wepes kurubuniwa. Mifano uliyotoa wewe ni ya ngaz ya kitaifa, lakn hata madiwan wenye asili ya kgm wako namna hiyo. Kuna mmoja huku kwetu wa cdm lakn aliattend mkutano wa hadhala ulioandaliwa na wanaccm. Kwel wana mvuto ktk siasa lakn hawaaminik. Mbatia aangalie maana sasa wanasema ni chama cha kgm, watampindua kweli. Si unaona zzk alivyokomaa kutaka cdm chairposition.
   
 14. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #14
  Jul 16, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Mambo ya udini na ukabila siyapendi kweli,dhana nzima ya kukijenga upya chama cha nccr mageuzi ni nzuri kwani kama chama cha upinzani inabidi kirudie enzi zake,kijenge imani kwa wananchi na kioneshe upinzani wa kweli lakini mbona mnahusisha ujenzi huu wa nccr na kigoma?kama kafulila anataka kuwa mwenyekiti na anauwezo basi apewe.mbona zito alijalibu cdm?hoja si ukigoma bali ni uwezo jamani wa kuongoza na ushawishi wa kupata wanachama wengi.
   
 15. p

  plawala JF-Expert Member

  #15
  Jul 16, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 627
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwamba NCCR kama chama cha upinzani kinahitaji re-construction hilo halina mjadala,sina uhakika na usafi na malengo ya wanaoandaa mpango huo

  Mbatia nimemfuatilia kwa angalau miaka ya karibuni,ha- deserve(fai) kuwa mwenyekiti wa chama makini cha upinzani sawa na A L Mrema.
   
 16. W

  Willegamba Member

  #16
  Jul 16, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu nae kangangana kama kupe siawaachie wengine! Mvuto kushneh gaining?
   
 17. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #17
  Jul 16, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Hata Mimi nitawasaidia kumng'oa, kiongozi gani hana maadili ya jinsi yake? Mwanaume gani amelegea vile Kama binti eti naye anataka dhamana ya kuwaongoza Watanzania. Yaani mimi nawasikitikia hata wafuasi wake kuona kuwa wanaongozwa na Bwabwa
   
 18. REBEL

  REBEL Senior Member

  #18
  Jul 16, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 164
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  wabunge wa nccr ni vijana na wanajua kujenga hòja.Na kama sikosei ndio chama chenye wabunge wenye wastani wa umri mdogo bungeni.Tuache ushabiki,pia ni wasomi wana hoja nzuri sana bungeni.
  Mimi naona sasa ni muda muafaka wa mbatia kuachia ngazi.Kiongozi gani ambaye hana mvuto na msimamo nadhani hata mrema anampita.
   
 19. dazu

  dazu JF-Expert Member

  #19
  Jul 16, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 365
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Acha ang'olewe. Mbatia, Mrema ni magamba ya upinzani Tz
   
 20. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #20
  Jul 16, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,582
  Likes Received: 1,675
  Trophy Points: 280
  Na hasa RWANDA
   
Loading...