Matumizi mabaya ya gari la serikali........!!

Matumizi mabaya ya gari la serikali........!!

Masaki

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
3,463
Reaction score
755
stk.jpg

Mwenye macho haambiwi tazama. Picha inajieleza yenyewe! Je tutafika huko tuendako?
 
mkuu mbona naona number plate mbili imekuwaje hapo
 
imwekaaje hapo hebu fafanua....................................
 
mkuu mbona naona number plate mbili imekuwaje hapo

Ndio uelewe sasa kwamba walibandika namba feki juu ya ile orijino ya serikali ili litumike kwa matumizi binafsi!
 
Dah kweli bongo ni zaidi ya uijuavyo
 
serikalini kila mtu anafanya anavyojisikia. Hivi ni gari ya ofisi gani hiyo?
 
Mnashangaa hiyo, mbona wakati wa uchaguzi waliweka namba za binafsi wakasahau za vioo !! ha ha bongo bwana! usanii kwenda mbele
 
Kama m k w e r e alitumia gari za Ikulu kwenye kampeni za uchaguzi 2010,mnatarajia nini kwa watumishi aliowachagua?
 
Waacheni tu wazitumie kibinafsi, kiukweli serikali sijui hakuna hela maana hawa madreva wanakula msoto sana wanakaa chini ya miti tu kucheza bao na drafti, safari wahuna, mafuta ya ngama familia zao sijui wanazilisha nini zaidi ya mshahara.
 
Unataka kubariki posho?
 
sema unachotaka kusema sasa!!
 
sio ajabu ni kawaida yao wakati wa uchaguzi hufanya hivyo hata mimi nimeshaona mara nyingi
 
si afadhali huyo aliamua kujimilikisha kwa plate number fake...wengine wanakesha nayo bar na maplate namba ya Jamhuri kama yalivyo
 
Magari ya vyombo vya dola wakati mwingine uwa yanatumia namba za private ili yasijulikane kama yapo kwenye special operation.
 
Back
Top Bottom