Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hayo yameelezwa na makamu wa pili wa raisi Zanzibar Balozi seif Idd akitoa taarifa kuhusiana na Riport ya uchunguzi wa ajari hiyo.Maiti zilizopatikana ni 200 huku waliokolewa hai ni zaidi ya 600...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Ndugu wanaJF, huwa nawaheshimu sana watu wanaopata muda wa kukaa chini na kusoma/kutunga/kuandika vitabu. Kati ya marais wa Tanzania, ni Mwalimu Julius Nyerere tu ndiye aliyekuwa na muda wa kukaa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Waziri Mkuu Mh. Mizingo Pinda akihudhuria kongamano la Ufunguzi wa World Food International kwenye Hoteli ya Mariott De Moies, Ohio October 12th and Oct 14th 2011; Wengine katika picha kushoto...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Stage set for final face-off Saturday, 15 October 2011 21:53 By Bernard James The Citizen Reporter Dar es Salaam. Daggers are drawn and the stage is apparently set for a major...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
The Namanga border between Kenya and Tanzania. DThe Mo Ibrahim Foundation released a study that showed that Tanzania scored highly in both national and citizen's personal security, an indication...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu zangu habarini za asubuhi!, mie nimekuwa nikifuatilia mwenendo mzima wa chama cha mapinduzi, nikaja gundua kuwa chama hiki sasa kinasimama kama kampuni ambalo lina wakurugenzi, na mameneja...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu wana JF, Ndugu wana CHADEMA, Ndugu Viongozi Waandamizi wa CHADEMA, Mabibi na Mabwana, Kwanza hebu tusimame kimya kwa dk.1 kuwakumbuka marehemu wote waliouwawa kikatili kwa maelekezo ya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
A new "scramble for Africa" is taking place among the world's big powers, who are tapping into the continent for its oil and diamonds. Tony Blair is pushing hard for African debt relief...
0 Reactions
64 Replies
10K Views
Kumekuwa na migogoro mingi sana katika vyama vyetu vya siasa nchini hasa chama tawala hii ina mana gani, au hatima yake ni nini, wana JF naomba mwelekeo wa hii migogoro na hatima yake.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu zangu wana jf, kila mmoja wetu nadhani atakuwa ameguswa vya kutosha kuhusiana na matukio mengi yaliyotokea ktk uchaguzi mdogo Igunga! Ktk mengi hayo yaliyotokea, KUBWA zaidi ya yote ni...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
USA kwenda Uganda ni ukombozi kwa wa e afrika na pia inategemea unataka mabaliko gani? USA na UK wametumi ujanja kuweza kubalisha fikra za wa Afrika ya juu na kukubalisha utawala wao. Wameshindwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Magazeti mengi leo yametoka na habari kuwa mwenyekiti wa taifa ccm anaundiwa mpango wa kumung'oa ili wakinusuru chama chao ina maanisha hawana imani nae tena je na sisi watanzania ambae hatuna...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ninaandika hapa jamvini nikiwa na mawazo lukuki juu ya mustakabali wa cdm endapo kamanda Mbowe ataamua kutogombea tena Nafasi ya uenyekiti wa chama taifa.Hakuna mwana jamvi asiyeelewa ni kwa jinsi...
0 Reactions
101 Replies
9K Views
Hapo hakuna Udini, Ukabila, Urafiki wala Ushikina; kutoka kushoto ni Marehemu Habib Halala, Mzee Paul Soizgwa, JK Nyerere, Brig. Hashim Mbita, Mzee Mkapa, siku kumi kabla ya JK kustaafu uraisi...
3 Reactions
33 Replies
39K Views
When President Kikwete was given an audience with President Obama.. it was made a huge deal although in fact it was not.. compared to what transpired between Nyerere and his friend Kennedy. Before...
38 Reactions
311 Replies
30K Views
Jana tumeadhimisha miaka 12 tangu kifo cha baba wa Taifa Mwl. JK Nyerere. Kumefanyika sherehe kubwa pale Butiama zilizoambatana na kuwashwa kwa mwenge, pia kukawa na midahalo mbalimbali yote ikiwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu wanaJF, nionavyo mimi tatizo la ardhi litatuletea mfarakano hapa nchini hapo baadaye. Ingawa viongozi wetu wanasema “hakuna nchi iliyoendea bila wawekezaji” lakini nchi zilizoendelea zina...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Maiti za wanawake wawili zimeokotwa jana katika msitu wa kijiji cha Ulaya, Kata ya Nkinga wilayani Igunga zikiwa zimeharibika vibaya. Wakati uchunguzi unaendelea, taarifa za awali zinaeleza...
27 Reactions
174 Replies
17K Views
Ansbert Ngurumo ameandika kwenye column yake ya 'maswali magumu" gazeti la tz daima.......READ ON ================================================================================...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kitendo cha mwenyekiti wa CCM kuwateua Mwantumu Mahiza na Joel Bendera kuwa wakuu wa mikoa wakati walioangushwa katika kura za maoni za ubunge katika majimbo ya mkinga na Korogwe Tanga ni...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…