Wamethubutu na wameweza

tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,124
523
USA kwenda Uganda ni ukombozi kwa wa e afrika na pia inategemea unataka mabaliko gani?
USA na UK wametumi ujanja kuweza kubalisha fikra za wa Afrika ya juu na kukubalisha utawala wao.
Wameshindwa Somalia,na wamefanikiwa Sudani ya kusini na Afrika ya juu.
Sasa wapo Uganda na njiani kwenda Kongo,
Inamaana gani ?
Si muda mrefu Afrika ya mashariki na kati tutakuwa na maandamano ya kupinga serikali. USA na Uk wata
saidia chini chini kama walivyo fanya Afrika ya juu na itakuwa kwa nchi zote kwa pamoja za mashariki na kati
na hapo itakuwa mwisho wa serikali zetu.
Baada ya hapo ni wataenda kusini ya Afrika wa kwannza ni Jogoo la Afrika Muheshimiwa R mugabe.
Baada ya hapo tunarudi kwenye utumwa bila kupenda maana Viongozi wetu ni Vilazi.
Afrika ilikuwa na Nyerere na hatunaye tena,Muheshimiwa Gadafi na Mugabe ndo waliobaki na wakitolewa
na USA na Uk tunarudi utumwani,
VIongozi wetu wa Afrika MPO Wapi?
Mtakuja kuaibika kama Ggabo.
 

tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,124
523
Njaa mbaya unaweza kumweka mpenzi wako rehani.
 

Maarko

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
1,178
572
Afrika hatuna viongozi waadilifu,hivyo wazungu wanatufanya watakavyo,kama Hosea (mkregenzi wa TAKUKURU) alisema anashindwa kushughulikia rushwa kubwa kwa kua anakatazwa na jk unategemea jk anajeuri ya kuwazua wazungu? anajenga barabara ya lami kupita kwenye hifadhi kwa ajili ya kuwafurahisha wa Marekeni wenye Hotel ya kitalii Serengeti!
Nchi imeuzwa!
Tanzania Bila CCM inawezekana.
 

tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,124
523
Viongozi mafisadi wa E Afrika watajutia hii move.
 

Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,957
4,620
Waje tu na huku kwetu waichukue nchi na waiendeshe kama wanavyotaka pengine unafuu utapatikana.
 

tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,124
523
Waje tu na huku kwetu waichukue nchi na waiendeshe kama wanavyotaka pengine unafuu utapatikana.
Unafuu utapatikana,uzuri zaidi utaharakisha mabadiliko ya uongozi wa nchi.
 

umkhonto

Member
Jan 29, 2011
17
7
activities za museveni na hiyo move zinaashiria effort za ku stabilize south sudan,na kuipa altenative route ya bandari,for oli and other supplies,
nadhani Museveni amejitwika mzigo wote,hivyo the south sudan relief effort dhidi ya north sudan,zinakuwa coodinated na museveni
 

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,711
7,150
Pale Uganda si kumepatikana mafuta?

sasa huu ndo muda muafaka wa kuchotwa na wamarekani,watajifanya wanalinda usalama kumbe wanakamua wese likiisha haijarishi vita na LRA imeisha ama haijaisha wao watasepa zao na kuiacha Ug kama DRC na Museveni asipokuwa makini ataweza kupelekwa ICC kama Charlz Taylor na wengine wengi...hakika wazungu ni zaidi ya AIDS kwa waafrika
 
  • Thanks
Reactions: tz1

tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,124
523
Pale Uganda si kumepatikana mafuta?

sasa huu ndo muda muafaka wa kuchotwa na wamarekani,watajifanya wanalinda usalama kumbe wanakamua wese likiisha haijarishi vita na LRA imeisha ama haijaisha wao watasepa zao na kuiacha Ug kama DRC na Museveni asipokuwa makini ataweza kupelekwa ICC kama Charlz Taylor na wengine wengi...hakika wazungu ni zaidi ya AIDS kwa waafrika
Sidhani kama wamesepa DRC,bado DRC ina utajiri sana.
Hao wanaopinga serikali wanapata hela wapi ya kununua silaha?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom