Cabinet CHADEMA

STIDE

JF-Expert Member
Sep 1, 2011
997
349
Ndugu zangu wana jf, kila mmoja wetu nadhani atakuwa ameguswa vya kutosha kuhusiana na matukio mengi yaliyotokea ktk uchaguzi mdogo Igunga!
Ktk mengi hayo yaliyotokea, KUBWA zaidi ya yote ni MAUAJI YA KUTISHA ambayo yametukosesha ndg zetu tuliowategemea ktk familia zetu na Taifa kwa ujumla!!
Ktk mauaji hayo kila mmoja wetu anajua kuwa mtuhumia mkuu ni CCM, ambao mpaka sasa wamekaa kimya kana kwamba hawajui kilichotokea! "Hapa sisiti kusema UKIONA KIMYA UJUE NDIO!!"
Cdm, tafadhari narudia Cdm!! Tunahitaji kusikia msimamo wenu ktk hili!! Ndg zetu wanauawa na magamba kwa sababu ya ukombozi tena wanauliwa kwa dharau wakijua hatuna la kuwafanya!! Huu ni ukatiri ulotukuka!!
Cdm ninyi ndo viongozi wa ukombozi jamani nawaombeni tafteni njia mbadala ya kuwatia kitanzi wahusika maana hata huo upelelezi wanafanya wao Magamba usitegemee lolote!!
Bora watu tuingie hata msituni tulipize visasi tu! Hawa magamba wameshajua hawana lao tena sasa wameanza kutuua!! (NANOA PANGA SIKUBALI NDG YANGU AFE HIVIHIVI!! SAHAU!!)
Nasistiza jamani kiongozi yeyote cdm atujuze huo upelelezi umefikia wapi!!
 
Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
46,427
62,519
Mpwa unachoongea ni sahihi kabisa nakubaliana na wewe ILA punguza jazba kidogo twende nao taratibu! Hatutaisha wote kabla ya saa ya ukombozi kufika! Wakati sasa u-karibu kuliko wengi wetu wanavyodhani ila nimeshangaa kuona ghafla CDM imepoa kidogo ninachotaka kuamini ni kua watakua wanajipanga! I will be there for the memory of those FIGHTERS, will you be there too? si kwa panga bali kwa hoja!
 
  • Thanks
Reactions: Ame

Omr

JF-Expert Member
Nov 18, 2008
1,160
99

1. misitu imekuwa adimu sana siku hizi, hii inatokana na biashara ya mkaa.
2. je wewe unaushahidi gani kuwa ilikuwa CCM na sio CDM
3.Humu JF kuna watu wengi sana na wengine ndio hao unaotaka kuwaua sasa vipi unawaomba wajiunge na wewe.
4. CDM wanafanya uchunguzi wakati wao wenyewe ni washakiwa.
 
Ng`wanakidiku

JF-Expert Member
Apr 18, 2009
1,195
232
....namkumbuka mtaalamu mmoja kutoka UDSM Dr Ng'wanza Kamata aliwahi kusema, wakala wa viongozi ni wabaya zaidi ya viongozi wenyewe. Sasa kwa hili la CCM, wanaofanya mauaji si JK, wala si Mukama, bali ni hao vijana wenye ndoto za kulambishwa ukuu wa wilaya na wanaopewa vi elfu kumi kumi, na wao hujisahau kuwa wanaowaua ni ndugu zao na ni binadamu wanaotegemewa na familia zao. Inasikitihsha sana, najua JK atakuwa na wakati mgumu sana ktk hili la Igunga, na atakuwa anashangaa imekuwaje chama tawala mpaka kinaua watu ili kutafuta ushindi?
 
  • Thanks
Reactions: Ame

Omr

JF-Expert Member
Nov 18, 2008
1,160
99
CCM imekaa kimya ili wakuu wenu waendelee kuropoka bila ushahidi.
 
Ng`wanakidiku

JF-Expert Member
Apr 18, 2009
1,195
232
1. misitu imekuwa adimu sana siku hizi, hii inatokana na biashara ya mkaa.
2. je wewe unaushahidi gani kuwa ilikuwa CCM na sio CDM
3.Humu JF kuna watu wengi sana na wengine ndio hao unaotaka kuwaua sasa vipi unawaomba wajiunge na wewe.
4. CDM wanafanya uchunguzi wakati wao wenyewe ni washakiwa.
..utakuwa ni upunguani na kutokuwa na utimamu wa ubongo unapo wafananisha CDM kufanya haya mauaji. Kwa vyovyote CDM hawawezi na hawajawahi kuhusika kuua wapiga kura wao, bali ni CCM, na kuna matukio kazaa tu ya kudhibitisha, kumbuka CUF nini kiliwatokea, sema kilichowagarimu CUF ilikuwa ni suala la UDINI ambalo lilipandikiza na kuenezwa mpaka kwa mabwana wakubwa. Ila la CDM linasapoti kila kona ya dunia, na ni dhahili kuwa CDM ni chama makini chenye kulenga kutokomeza suala la rushwa na ufisadi na kuleta uwajibikaji ktk matumizi ya rasilimali za umma. Na CDM ni mwiba kweli hata wewe unafahamu (hata kama kimoyomoyo) ingawa unaweza ukapinga kwa kuropoka, lakini hakika inaeleweka CDM kilitufumbua macho sisi walala hoi juu ya uzandiki wa CCM.
 
STIDE

JF-Expert Member
Sep 1, 2011
997
349
Mpwa unachoongea ni sahihi kabisa nakubaliana na wewe ILA punguza jazba kidogo twende nao taratibu! Hatutaisha wote kabla ya saa ya ukombozi kufika! Wakati sasa u-karibu kuliko wengi wetu wanavyodhani ila nimeshangaa kuona ghafla CDM imepoa kidogo ninachotaka kuamini ni kua watakua wanajipanga! I will be there for the memory of those FIGHTERS, will you be there too? si kwa panga bali kwa hoja!
Ndg yangu Elli, binafsi nadhani sio jaziba, hawa Magamba watatumaliza tu! Hata ukitumia hoja ndo kabisaa unawachochea kuua! Heshima hamna Elli, yanatuibia, yanatunyonya, yanatudharau hata kutuua yatuue!!?? Kaka Elli husisahau auaye kwa upanga.....!!
Nasistiza tena CDM uchunguzi umefikia wapi, mnawaza nini? Tafteni hata mashirika ya nje yatusaidie!! Ahhh jamani!!!
 
Ame

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
4,815
3,114
....namkumbuka mtaalamu mmoja kutoka UDSM Dr Ng'wanza Kamata aliwahi kusema, wakala wa viongozi ni wabaya zaidi ya viongozi wenyewe. Sasa kwa hili la CCM, wanaofanya mauaji si JK, wala si Mukama, bali ni hao vijana wenye ndoto za kulambishwa ukuu wa wilaya na wanaopewa vi elfu kumi kumi, na wao hujisahau kuwa wanaowaua ni ndugu zao na ni binadamu wanaotegemewa na familia zao. Inasikitihsha sana, najua JK atakuwa na wakati mgumu sana ktk hili la Igunga, na atakuwa anashangaa imekuwaje chama tawala mpaka kinaua watu ili kutafuta ushindi?

Umesema kweli rafiki; utaona kuwa wakati mwingine bila busara kutumiwa na viongozi basi nchi inaweza kwenda kusiko namara vumbi likitua wanakuja kujigundua wamekuwa linked kuwa ni wahusika katika kusababisha haya.

Let me explain...kwenye ukristo tunasema siku ya mwisho bwana atabagua kondoo na mbuzi nao mbuzi wataambiwa nalikuwa mgonjwa na nilipofungwa hukuja kuniona; nalikuwa na njaa hukunipa chakula na nalikua uchi hukunivika na waupande wapili vile vile wataambia mlinipa chakula, dawa, mlinitembelea then kila ***** litauliza ni lini tulifanya haya...naye atajibu wowote wa wadogo hawa mliowatendea mlinitendea mimi.

Vivyo hivyo kwa viongozi wote wakuu wa vyama na serikali matamshi yenu yasipopimwa mara saba na kuaminiwa kuwa yafaa kutamkwa ipo siku hayo maswali ya "...nilini tuliyafanya haya?" Yatakapo kuwa ndiyo maswali yenu...Mnafanya mzaha kwa mambo ya msingi bila kufikiria consequences zake. Yes wewe utasema ukidhani wengine watachukulia in a positive way kama propaganda; lakini mkumbuke ma-opportunist wenu ndiyo watakao fanya kweli kwakudhani kuwa wakitekeleza haya mtawapa credit, kumbe wakati mwingine hayo yakitokea wana kuvictimize hata wewe.

La mwisho kama mwanasiasa mmoja alishawahi kusema kuwa; "...Ukiona kijana anakuwa mnafiki ujue uzeeni atakuwa mchawa". Hii ni valid statement kwani kijana anayekuwa mnafiki mara nyingi ni yule asiye na maono yoyote zaidi ya kutegemea kubebwa na mbereko kama mtoto mdogo; ambapo kwa tabia hiyo mara nyingi badala ya kukulia busara anakuwa kubwa jinga na hilo likitokea huko mbeleni anaanza ku-vitimize wale waliosimama kwa miguu yao waka excel to the highest ranks in life hapo ndipo sasa yeye anageuka kuwa mchawi... Vijana kataaeni kuwa puppet wa viongozi; fanyeni kazi kwa juhudi na maarifa kila mtu amepangiwa destiny yake na huko hakuna cris cross kwamba mwingine atachukuwa nafasi yako; nature haiko hivyo hata siku moja...

The fighters will always realised their destiny either earlier or late! Neno la Mungu la sema "....since the time of John the Baptist the Kingdom of God suffer the violence and the violent conqures it" Violence ya hapo ni ile ya kufanya kazi kwa akili mikono na kutembea kwa miguu yako, ukideka tu inakula kwako...msije mka interprete to surfice your evil needs!

I am the living testmony kwani pamoja na previllage zote nilizokuwa nazo yet niliamua kwa hiari yangu kufight on my own to reach my destiny....nilikuwa labled as mkorofi kwenye family (relatives and their friends); lakini leo hii mimi naheshimiwa sana kuliko wale waliowabeba na kubakia kuwa watumwa kwao hao relatives waliokuwa wanaji lable ni ma-god fathers wao! Hii ni principle ya nature kuwa kila anayekubeba hatapenda uwe zaidi yake hatasiku moja; hata neno la Mungu linasema "....the begger is subject to the lander..." ukikubali kubebwa kubali kuwa puppet milele! Lakini ukikataa unajenga confidance na unaweza ku-excel to the highest ranks hata zaidi ya watu wote duniani; kwani utajiri na heshima unatoka kwa Mungu na amelaaniwa mwanadamu anayemfanya mwanadamu mwenzake kuwa tumaini lake na kumbe moyoni amemwacha Mungu!

Swali la mwisho kwao hao ma-opportunist hivi can you give what you dont have? Kama baraka anagawa Mungu je aliyelaaniwa aweza kuwa baraka ama laana? Be wise and be yourselves!
 
STIDE

JF-Expert Member
Sep 1, 2011
997
349
unanoa panga kwenda wapi?????????????think twice,mambo mazri hayataki haraka kijana wangu
Nothing to think!! More than two guys are suspected on this but govnt still loitering with nothing action! Better to face my sword!!
 
Felixonfellix

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
1,672
180
Kuna haja ya kusikia nini msimamo wa wapiganaji
Mi ningetamani hata kusikia msimamo wa BAKWATA ati
Achilia mbali taasisi zingine za kidini
Si walishupalia suala la mkuu wa wilaya????
Vipi waliouawa na wanaouawa hawawahusu?
 
THINKINGBEING

JF-Expert Member
Aug 9, 2010
2,778
1,303
Hata mimi nasubiri MUONGOZO wa chama.
Viongozi wa CHADEMA wanapaswa kuwajulisha wanachama na mashabiki wao WHAT NEXT.
 
Hofstede

JF-Expert Member
Jul 15, 2007
3,576
1,090
Ndugu zangu wana jf, kila mmoja wetu nadhani atakuwa ameguswa vya kutosha kuhusiana na matukio mengi yaliyotokea ktk uchaguzi mdogo Igunga!
Ktk mengi hayo yaliyotokea, KUBWA zaidi ya yote ni MAUAJI YA KUTISHA ambayo yametukosesha ndg zetu tuliowategemea ktk familia zetu na Taifa kwa ujumla!!
Ktk mauaji hayo kila mmoja wetu anajua kuwa mtuhumia mkuu ni CCM, ambao mpaka sasa wamekaa kimya kana kwamba hawajui kilichotokea! "Hapa sisiti kusema UKIONA KIMYA UJUE NDIO!!"
Cdm, tafadhari narudia Cdm!! Tunahitaji kusikia msimamo wenu ktk hili!! Ndg zetu wanauawa na magamba kwa sababu ya ukombozi tena wanauliwa kwa dharau wakijua hatuna la kuwafanya!! Huu ni ukatiri ulotukuka!!
Cdm ninyi ndo viongozi wa ukombozi jamani nawaombeni tafteni njia mbadala ya kuwatia kitanzi wahusika maana hata huo upelelezi wanafanya wao Magamba usitegemee lolote!!
Bora watu tuingie hata msituni tulipize visasi tu! Hawa magamba wameshajua hawana lao tena sasa wameanza kutuua!! (NANOA PANGA SIKUBALI NDG YANGU AFE HIVIHIVI!! SAHAU!!)
Nasistiza jamani kiongozi yeyote cdm atujuze huo upelelezi umefikia wapi!!

Nafikiri CDM ina vichwa vinavyoona mile 1000 mbeleni. Unategemea CDM waseme nini?, The only way wanachoweza fanya ni kukusanya ushahidi na kuuweka ili ukifika muda muafaka utumike. Katika nchi inayosema inaongozwa kwa sheria usitarajie chama makini kama CDM, I mean CDM kama chama itoe tamko lolote kuhusiana na jinai iliyofanywa kwa wananchi wanaokiunga mkono, ambayo inaweza kusababisha au kuonekana ni ya kichochezi.

CDM wanajua kuwa kasi walioianzisha inatikisa wanajiaminisha kuwa ni wenye nchi, kamwe CDM haiwezi kutoa mwanya wa kisheria wa kuwafanya hawa wanaojiaminisha wenye nchi kuichukulia CDM kama ni Chama kilichotangaza vurugu, uasi and any type of unrest. CDM kwa kukaa kimya katika masuala haya ni pigo kubwa sana kwa wauaji, pia Politically kina-waprove kuwa they are wrong on their premises about CDM kuwa kinavuruga amani.

Wauaji wanaweza kuchochea reaction ya wananchi, kama wananchi waliochoka na uonevu, na siyo kusubiri reaction ya CDM kama chama cha siasa. Kama wananchi wataanza kujichukulia sheria mikononi kwa kutoona kuwa haki haitendeki, basi wa kulaumiwa ni vyombo husika pamoja na serikali nzima iliyo na authorities za kusimamia sheria.

CDM inachukua nafasi ya Chama Tawala ambacho kinaonesha uwezo mkubwa sana wa kuhandle mambo sensitive kwa mustakabali wa amani na utulivu wa nchi, kulicho chama chenye serikali kilichoasisi mauaji haya. Kama wauaji (I mean CCM) wamefanya hivi ku-provoke reaction ya CDM kama chama watakuwa very wrong, and for this case wanakuwa frustrated zaidi.

Ninawapongeza sana viongozi wa CDM kwa msimamo wao wa kuacha vyombo vinavyodhaniwa kikatiba vimepewa dhamana ya kushughulikia mambo haya. Cha muhimu ni kuwa CDM kimyakimya wakusanye ushahidi wote kwenye matukio haya for any possibility of future prosecution.

Ni wajibu wa CCM kwa kutumia vyombo vyao vya dola na si CDM kuonesha reaction yao katika matukio haya. Anything other than that will come to haunt them sooner or later.
 
harakat

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
2,888
1,326
Mi mwenyewe nasubiri kusikia kwamba watasema nini maana kilichotekea ilikua kama mauaji ya Arusha vile .
lakini hamna kilichoendelea kabineti imekaa kimnya mno ,masuala mengi ya kuzungumzia na mengine ya kuyafanyia kazi
kama ilivyo kwenye maisha magumu ,
na suala la dowans./.........................................
 
STIDE

JF-Expert Member
Sep 1, 2011
997
349
Nafikiri CDM ina vichwa vinavyoona mile 1000 mbeleni. Unategemea CDM waseme nini?, The only way wanachoweza fanya ni kukusanya ushahidi na kuuweka ili ukiika muda muafaka utumike. Katika nchi inayosema inaongozwa kwa sheria usitarajie chama makini kama CDM, I mean kama CDM kama chama itoe tamko lolote kuhusiana na jinai iliyofanywa kwa wananchi wanaokiunga mkono, ambayo inaweza kusababisha au kuonekana ni ya kichochezi. CDM wanajua kuwa kasi walioianzisha inatikisisa wanajiaminisha kuwa ni wenye nchi, kamwe CDM haiwezi kutoa mwanya wa kisheria wa kuwafanya hawa wanaojiaminisha wenye nchi kuichukua CDM kama ni Chama kilichotangaza vurugu, uasi and any type of unrest. CDM kwa kukaa kimya katika masuala haya ni pigo kubwa sana kwa wauaji, pia Politically kina-waprove kuwa they are wrong about their premises about CDM kuwa kinavuruga amani. Wauaji wanaweza kuchochea reaction ya wananchi, kama wananchi waliochoka na siyo kusubiri reaction ya CDM kama chama cha siasa. CDM inachukua nafasi ya Chama Tawala ambacho kinaonesha uwezo mkubwa sana wa kuhandle mambo sensitive kwa mustakabali wa amani na utulivu wa nchi. Kama wauaji wamefanya hivi ku-provoke reaction ya CDM kama chama watakuwa very wrong, and for this case wanakuwa frustrated zaidi. Ninawapongeza sana viongozi wa CDM kwa msimamo wao wa kuacha vyombo vinavyodhaniwa kikatiba vimepewa dhamana ya kushughulikia mambo haya. Cha muhimu ni kuwa CDM kimyakimya wakusanye ushahidi wote kwenye matukio haya for any possibility of future prosecution. Ni wajibu wa CCM kwa kutumia vyombo vyao vya dola na si CDM kuonesha reaction yao katika matukio haya. Anything other than that will come to haunt them sooner or later.
Right!! Lakini kaka hata hawa cdm wamekuwa kimya sana, bora basi hata watuambie kinachoendelea ili tubaki na matumaini kwamba wapiganaji wetu wanafuatilia! Lakini wamekuwa kimya kitu ambacho kinanifanya nizidi kunoa panga kwasababu sina tena msaada!!
 
Hofstede

JF-Expert Member
Jul 15, 2007
3,576
1,090
Right!! Lakini kaka hata hawa cdm wamekuwa kimya sana, bora basi hata watuambie kinachoendelea ili tubaki na matumaini kwamba wapiganaji wetu wanafuatilia! Lakini wamekuwa kimya kitu ambacho kinanifanya nizidi kunoa panga kwasababu sina tena msaada!!

Hapo nilipo Bold ndipo ambapo CCM wanataka kifanyike. sasa sijui kama wewe ni agent wao ama vipi ila kama unaona unaonewa mahakama zipo, Otherwise wewe kama mwananchi mwenye hasira unayetaka kujichulia sheria mikononi kama ambavyo wauaji unaowatuhumu walivyofanya utakuwa hauitendei haki Tanzania na watanzania walio na subira katika suala hili. Unanoa panga ili kulifanyia nini?.

CDM ni taasisi kubwa yenye uwezo wa kufikiria zaidi ya unavyotaka wewe wafikirie, ndiyo maana watu makini wote wana-lean towards CDM. Propaganda za kuihusisha na mapanga ita-fail mkuu. Labla jaribu something else, unavyoongelea kunoa panga unanikumbusha lile kundi la green guard la Igunga lilivurumisha mapanga siku ya kutangaza matokeo.

Wewe unataka nini hasa kutoka CDM kuhusiana na tukio hili?. Cool heads always prevail.
Nakushauri Noa Panga nenda Shambani ukafyeke msitu ulime hasira zako zielekeze kwenye positive outcomes mkuu
 
Chakunyuma

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
810
151
jamani ishu ya vifo imetolewa ufafanuzi na Benson Singu alitoa tamko hilo makao makuu mi niliona kupitia startv, lakini kama mnavyojua tv zetu summary mno mpaka hauwezi kuelewa full content ya tamko. lakini kwa kifupi amelaumu vyombo ya usalama kwa kukaa kimya hata kama chadema iliripoti matukio hayo. pia kuna thread inaonesha chadema imetoa ubani wa million moja kwa familia ya ndugu Masuod na kueleza watakuwa bega kwa bega mpaka haki ipatikane.
 
ismathew

JF-Expert Member
May 18, 2011
253
38
CDM haijawa kimya kwa haya mauaji ya Igunga, sauti yao imeshasikika na wanalifuatilia ili jambo kwa kina ili kuwabaini wale
wote waliousika kufanya vitendo hivi viovu. Kwa kauli wanafahamika ni viongozi gani wa Ccm waliotoa amri ya mauaji pamoja
na wale Green Guard walioagizwa na kutumia mikono yao kufanya hayo mauaji ya kutisha.
Cha msingi kilichopo ni ukusanyaji wa usahaidi, (Evidence) Kabla CDM kutoa kauli yake nzito kuhusu swala zima la mauaji ya
Igunga. Hili sio jambo la kulipiza visasi wala kuingia msituni inahitajika busara zaidi na vyombo vya sheria vifanye kazi yake,
na ingawaje vyombo vyetu vya sheria ni vyombo vya kuficha makosa lakini itambulike wazi kama haki ya waliodhulumiwa
maisha yao itatendeka, Kwa wana Igunga kila aliyekuwa na ushaidi wa mauaji hayo auelekeze CDM.
 
  • Thanks
Reactions: Ame

STIDE

JF-Expert Member
Sep 1, 2011
997
349
cdm haijawa kimya kwa haya mauaji ya igunga, sauti yao imeshasikika na wanalifuatilia ili jambo kwa kina ili kuwabaini wale wote waliousika kufanya vitendo hivi viovu. Kwa kauli wanafahamika ni viongozi gani wa ccm waliotoa amri ya mauaji pamoja na wale green guard walioagizwa na kutumia mikono yao kufanya hayo mauaji ya kutisha. Cha msingi kilichopo ni ukusanyaji wa usahaidi, (evidence) kabla cdm kutoa kauli yake nzito kuhusu swala zima la mauaji ya igunga. Hili sio jambo la kulipiza visasi wala kuingia msituni inahitajika busara zaidi na vyombo vya sheria vifanye kazi yake, na ingawaje vyombo vyetu vya sheria ni vyombo vya kuficha makosa lakini itambulike wazi kama haki ya waliodhulumiwa maisha yao itatendeka, kwa wana igunga kila aliyekuwa na ushaidi wa mauaji hayo auelekeze cdm.
pamoja mkuu!! Thanx.
 
Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,432
18,126
1. misitu imekuwa adimu sana siku hizi, hii inatokana na biashara ya mkaa.
2. je wewe unaushahidi gani kuwa ilikuwa CCM na sio CDM
3.Humu JF kuna watu wengi sana na wengine ndio hao unaotaka kuwaua sasa vipi unawaomba wajiunge na wewe.
4. CDM wanafanya uchunguzi wakati wao wenyewe ni washakiwa.
tungekuwa uarabuni mi mwenyewe nakung'oa kichwa bila maelezo halafu ndo utajua waliua watu ni cdm au ccm
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom