Waziri Mkuu ahudhuria Mkutano wa World Food Prize -USA akiwa na Marais wa Zamani wa Kiafrika

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,779
IMG_6135.jpg


Waziri Mkuu Mh. Mizingo Pinda akihudhuria kongamano la Ufunguzi wa World Food International kwenye Hoteli ya Mariott De Moies, Ohio
October 12th and Oct 14th 2011; Wengine katika picha kushoto Rais wa Zamani wa Nigeria Olusegun Obasanjo, akifuatiwa na Rais wa Zamani wa Ghana John Kufour na Rais wa Zamani wa Msumbiji Joackim Chissano.

IMG_6173.jpg


Waziri Mkuu akiwa pamoja na Rais wa zamani wa Brazil Louis Lula.

** SWALI LANGU NI KWA NINI TUMTUME WAZIRI WETU ALIYE MADARAKANI? KWANINI TUSITUME EITHER MARAIS WASTAAFU AU MAWAZIRI WAKUU WASTAAFU WA SERIKALI YETU? INGEPUNGUZA ULINZI, NA MAANDAMANO YA WATU WA UJUMBE WA WAZIRI MKUU SABABU AMETOKEA BRAZIL INA MAANA WAJUMBE WENGI BADO YUKO NAO SAFAFINI USA.
 

TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
22,631
8,443
hii nafasi ilikua ya Mkapa wamembania tu.... we angalia wote retired yeye naye ndani, ndio obasanjo anamuangalia kama vile amezamia hivi
 

King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,802
24,505
lol! obasanjo has no manners! angekua karibu angem-poke on the ribs!
hii nafasi ilikua ya Mkapa wamembania tu.... we angalia wote retired yeye naye ndani, ndio obasanjo anamuangalia kama vile amezamia hivi
 

Arafat

JF-Expert Member
Nov 17, 2009
2,582
755
Obasanjo hajaelewa kabisa, lakini hata hivyo hao wastafuu wanasaidia nini katika kikao kama hicho wakati hawapo madarakani? au ni starehe tu na kuwapumbaza akili viongozi wa Africa!!
 

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,779
Obasanjo hajaelewa kabisa, lakini hata hivyo hao wastafuu wanasaidia nini katika kikao kama hicho wakati hawapo madarakani? au ni starehe tu na kuwapumbaza akili viongozi wa Africa!!

Ndio Maana Tanzania inatuma Ujumbe Mkubwa na Waziri Mkuu Wake? Was it really necessary? Angalia hata maji wanapewa bila Glasi kwanini tutume Waziri Mkuu aliye Madarakani na Ujumbe Mkubwa wa Kiserikali???
 

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,882
Pinda hana uzito huo hata hapa si analia lia tu mwacheni na yeye akaonekane huko maana ni one term PM so waacheni hawa jamaa na mipango yao .
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom