Nini hatima ya migogoro ndani ya vyama vya siasa hasa Chama tawala?

Simcaesor

Senior Member
Jul 15, 2011
111
9
Kumekuwa na migogoro mingi sana katika vyama vyetu vya siasa nchini hasa chama tawala hii ina mana gani, au hatima yake ni nini, wana JF naomba mwelekeo wa hii migogoro na hatima yake.
 
Ondoa hii kawaambie JF hawapimwi upepo .Hatutaki kujadili hatma ya CCM tunangojea life tulizike ndiyo hatma yake
 
hatima ni watu kadhaa kuumwa, kufa, na wengine kufilisiwa na kukimbia nchi kama kundi moja au lingine likishinda au kushindwa.cost itakua kubwa mwisho wa CCM utakua ndiyo huo. Hivi una akili gani unajua self destruction its practically a destruction of self..
 
Back
Top Bottom