Kikwete kama chama kimemshinda je inchi anaiwezaje?

dhahabuinang'aa

Senior Member
Aug 10, 2011
134
28
Magazeti mengi leo yametoka na habari kuwa
mwenyekiti wa taifa ccm anaundiwa mpango wa kumung'oa
ili wakinusuru chama chao ina maanisha hawana imani nae tena
je na sisi watanzania ambae hatuna imani nae tufanyeje?
na kama chama kimemshinda nchi ataiweza?

Na kama wana ccm wenzake wamekosa imani nae!
je watanzania wa kawaida hio imani itatoka wapi?
tuliangalie kwa umakini kwa maslahi ya taifa letu

Na jee watanzania tuacha lini kuchagua mtu bila kuangalia uwezo wake?
uwezo wa kikwete ni mdogo na hili lilijulikana toka mwanzo
ila ccm wenyewe wanadai hata wakiweka juwe eti lazma lishinde!

Kwa maana hio kila uongozi ni kwa matakwa ya ccm na sio wananchi
watanzania tubadiklike na tuwe na uchungu na nchi yetu!
 
PMNBuko

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
967
154
JK na CCM hawawezi kitu, avunje Bunge, uchaguzi ufanyike upya na yeye ajiuzuru.
 
Ame

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
4,815
3,113
magazeti mengi leo yametoka na habari kuwa
mwenyekiti wa taifa ccm anaundiwa mpango wa kumung'oa
ili wakinusuru chama chao ina maanisha hawana imani nae tena
je na sisi watanzania ambae hatuna imani nae tufanyeje?
na kama chama kimemshinda nchi ataiweza?
na kama wana ccm wenzake wamekosa imani nae!
je watanzania wa kawaida hio imani itatoka wapi?
tuliangalie kwa umakini kwa maslahi ya taifa letu

na jee watanzania tuacha lini kuchagua mtu bila kuangalia uwezo wake?
uwezo wa kikwete ni mdogo na hili lilijulikana toka mwanzo
ila ccm wenyewe wanadai hata wakiweka juwe eti lazma lishinde!
kwa maana hio kila uongozi ni kwa matakwa ya ccm na sio wananchi
watanzania tubadiklike na tuwe na uchungu na nchi yetu!

Unabii huu unakaribia kutimia...."Nalisikia sauti ya mtu ikitahadharisha hiyo ndege mnoyompandisha Rais ni mbovu itaungua mwambieni ashuke; wataalam wa ndege hiyo wakasema si kweli...sauti ikaendelea kulia jamani hiyo ndege ni mbovu wao wakaendelea kusema ndege yetu inapaa sasa...Nami nikaungana nao kusema mbona unajitaabisha kupiga kelele wakati hata mm naona iko fiti tu? Nikaambiwa subiri uone kitakachotokea ilikuwa chini ya dk 15 baada ya kupaa mara nikasikia mlio mkubwa angani....i dont remember what were my words there after...."

Msinilaumu jamani have been crying day and nite alerting you and u never listened to my small and fainting voice.....Lakini baada ya kulia sana na purukushani za hapa na pale mara nikaona TZ njema ikichomoza ndipo nami nikatambua kuwa kwa Mungu kuna wokovu. Mwenye sikio na asikie na mwenye macho na aone ..... Muda tu ndo rafiki wa kweli wengine wote waongo!
 
nzitunga

Senior Member
Oct 31, 2010
193
52
watanzania wamekuwa wakichaguliwa kiongozi kila wakati. Ndo maana CCM wanasema hata jiwe litashinda, kikubwa tu liwekwe na CCM. Wanapojitokeza kupiga kura majina yao hawayakuti, wale wenye ufahamu mdogo kwa ajili ya njaa wamejikuta shahada zao zikinunuliwa. Na wale waliojitokeza kupiga kura, wakachagua rais wao wanaemtaka, hawakuheshimiwa kwani Tume ya Uchaguzi tayari ilikuwa na mshindi wake ambaye kwa vyovyote vile lazima wamtangaze mshindi. Mtu mmoja alisema ili mbunge chama pinzani ashinde inabidi amzidi wa CCM zaidi ya kura 7,000 sababu mbunge wa CCM akisimama tu tayari ana kura kama 4,500 hivi kutoka tume ya uchaguzi.
Kama kweli tunataka mabadiliko katika nchi hii NI LAZIMA TUWE KATIBA MPYA. Hili nafahamu si geni hapa JF na Tanzania kwa ujumla. Lakini hofu yangu ni kwamba katiba mpya itapigwa danadana mpaka 2015, na hapo maana yake ni MIAKA MINGINE 5 YA MATESO NA MASUMBUKO KWA WATANZANIA.
Labda hili la kumtoa JK litawachanganya tume na usalama wa Taifa kiasi kwamba watatenda haki. Mie sijui.

My take is kumtoa JK ndani ya CCM kwa katiba ya CCM haiwezekani sababu yeye ndiye mwenye Chama na kumtoa JK urais kwa katiba ya TZ haiwezekani sababu yeye ndiye mwenye NCHI. Na sidhani kama hali imefikia hapo, ukizingatia so far JK amewalinda sana "wafadhili" wake.
Watu wasipoteze muda wao!
 
Butola

JF-Expert Member
Jan 19, 2010
2,290
748
Unabii huu unakaribia kutimia...."Nalisikia sauti ya mtu ikitahadharisha hiyo ndege mnoyompandisha Rais ni mbovu itaungua mwambieni ashuke; wataalam wa ndege hiyo wakasema si kweli...sauti ikaendelea kulia jamani hiyo ndege ni mbovu wao wakaendelea kusema ndege yetu inapaa sasa...Nami nikaungana nao kusema mbona unajitaabisha kupiga kelele wakati hata mm naona iko fiti tu? Nikaambiwa subiri uone kitakachotokea ilikuwa chini ya dk 15 baada ya kupaa mara nikasikia mlio mkubwa angani....i dont remember what were my words there after...."

Msinilaumu jamani have been crying day and nite alerting you and u never listened to my small and fainting voice.....Lakini baada ya kulia sana na purukushani za hapa na pale mara nikaona TZ njema ikichomoza ndipo nami nikatambua kuwa kwa Mungu kuna wokovu. Mwenye sikio na asikie na mwenye macho na aone ..... Muda tu ndo rafiki wa kweli wengine wote waongo!

...Uwa unanifurahisha sana unapotoa "Unabii" uliotoka kwenye yaujazayo moyo wako...
 
  • Thanks
Reactions: Ame

Simcaesor

Senior Member
Jul 15, 2011
112
8
tume nyingi zimeundwa zinaishia hewani tu mwacheni raisi aongoze nchi kwa amani khaaa!!!!!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom