MWENYEKI WA CCM Mh.KIKWETE AWADHARAU NA KUWABEZA WANACCM WENZAKE!

UJIRA WA MWIHA

New Member
Oct 15, 2011
3
1
Kitendo cha mwenyekiti wa CCM kuwateua Mwantumu Mahiza na Joel Bendera kuwa wakuu wa mikoa wakati walioangushwa katika kura za maoni za ubunge katika majimbo ya mkinga na Korogwe Tanga ni kuwadharau na kuwabeza wana CCM wenzake!
Kama wanaCCM Wenzake waliowaona hawewezi uongozi tena Ngazi ya Jimbo iweje Mwenyekiti aone wanafaa ukuu wa Mkoa?
Huu ni mchezo Mchafu na Makosa ya mara kwa mara ya CCM!
 
figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
19,366
23,465
anatimiza ahadi.kipindi cha kura za maoni aliwahidi kwamba wale ambao hawakufanikiwa kupita anatawatafutie kazi za kiselikali/atawabeba.roger
 
Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,882
Ni rais mpole sana anawajali marafiki zaidi na CCM ni ya pili ya tatu then Tanzania ni ya mwisho kabisa .Kumbuka ni lala salama anataka angalau kukumbukwa na washikaji kwa kuwa hataacha lolote la kusemwa na Watanzania .
 
Pota

JF-Expert Member
Apr 8, 2011
2,018
705
....watakaoyumba kiuchumi tutagawana vya kwangu.....NDIYO MZEE... (prof. J)
 
Mpita Njia

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
6,998
1,156
Msaidieni basi kwa kupanga list ya watu wanaofaa kuwa wakuu wa mikoa na mikoa inayowafaa... anaweza kwuasikia na kuifanyia kazi
 
Alwatan

JF-Expert Member
May 19, 2009
409
126
Ukuu wa Mkoa na Ubunge ni nafasi mbili tofauti na zenye majukumu tofauti. Mmoja anaweza asiwe "mpiga domo" sana na "mgawa ubwabwa" akatoswa kwenye kura za maoni CCM lakini akawa ni mtendaji mzuri tu. Labda kama utanieleza walivyoshindwa kiutendaji siku za nyuma hoja yako inaweza kuwa na mashiko...
 
peri

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
2,581
1,162
Alwatan alichosema kina ukweli kiasi. Tusubiri tuone utendaji wao ili tujue kama wanaweza au vinginevyo.
 
mashikolomageni

JF-Expert Member
Jan 5, 2010
1,568
185
Hana mpango wakuwaletea maendeleo wa Tanzania ndiyo maana anatupa ma RC fake ambao hawawezi lolote wamekataliwa baada ya kutoperform vzr kwenye ubunge! HAIKUFAA RANGI ITAFAA CHOKAA!
 
Ng'azagala

JF-Expert Member
Jun 7, 2008
1,287
216
Kitendo cha mwenyekiti wa CCM kuwateua Mwantumu Mahiza na Joel Bendera kuwa wakuu wa mikoa wakati walioangushwa katika kura za maoni za ubunge katika majimbo ya mkinga na Korogwe Tanga ni kuwadharau na kuwabeza wana CCM wenzake!
Kama wanaCCM Wenzake waliowaona hawewezi uongozi tena Ngazi ya Jimbo iweje Mwenyekiti aone wanafaa ukuu wa Mkoa?
Huu ni mchezo Mchafu na Makosa ya mara kwa mara ya CCM!

Mkuu kwenye demokrasia neno sahihi ni kwamba kura hazikutosha si kwamba hawa jamaa hawafai, wanafaa lakini kwa sababu ya ushindani kuna wezao waliowazidi
hao walishindwa kwenye kura za maoni kuna wengine wa upinzani walishindwa kwenye kura za ubunge huwezi kusema hawana uwezo au kama wakipata kazi nyingine huwezi sema anayewapa kazi kawadharau wapiga kura!!!

tusiwe negative katika kila kitu
 
Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,877
6,830
Kaburu wa Afrika kusini hakuteleza ulimi aliposema kama ifuatavyo:

"By now every one of us has seen it practically that the Blacks cannot rule themselves. Give them guns and they will kill each other. They are good in nothing else but making noise, dancing, marrying many wives and indulging in sex. Let us all accept that the Black man is the symbol of poverty, mental inferiority, laziness and emotional incompetence

And here is a creature that lacks foresight. There is a need for us to combat him in long term projections that he cannot suspect. The average Black does not plan his life beyond a year."

Daffi Jr

JF-Expert Member
Jun 25, 2011
3,830
905
Uozo,unafiki,ushikaji,urafiki,na ufisadi ndo unaofanya hivi vyote!!watu wameshageuza nchi kana kwamba ni mali yao binafsi,hakuna mwingine anaye stahili!!!Jiulize inawezekanaje mtu ni mbunge,wakati huo ni mkuu wa mkoa!!!hakuna wengine wenye uwezo!!!wasomi wengi wenye uwezo wamejaa mitaani,kulikoni hawa watu!!!!
 
ole laizer

New Member
Oct 14, 2011
2
0
dah This quotaion is so embarasing and dispare
QUOTE=Candid Scope;2652493]Kaburu wa Afrika kusini hakuteleza ulimi aliposema kama ifuatavyo:

"By now every one of us has seen it practically that the Blacks cannot rule themselves. Give them guns and they will kill each other. They are good in nothing else but making noise, dancing, marrying many wives and indulging in sex. Let us all accept that the Black man is the symbol of poverty, mental inferiority, laziness and emotional incompetence

And here is a creature that lacks foresight. There is a need for us to combat him in long term projections that he cannot suspect. The average Black does not plan his life beyond a year."

[/QUOTE]
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

1 Reactions
Reply
Top Bottom