"Dikteta" Nyerere alipotua White House in a State Visit 1963 [VIDEO] | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"Dikteta" Nyerere alipotua White House in a State Visit 1963 [VIDEO]

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Jun 17, 2011.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  When President Kikwete was given an audience with President Obama.. it was made a huge deal although in fact it was not.. compared to what transpired between Nyerere and his friend Kennedy. Before this meeting there was ongoing discussion on the future of Tanganyika.

  The meeting was necessitated by the then growing situation in Southern Africa (South Africa and Angola) on which Nyerere had written to Kennedy asking for US's support in bringing it under control. In the letter (which I'll provide sometime next week) Nyerere articulated the reasons why he had to ask for the US's support. In his reply, Kennedy invited Nyerere to visit him and have a person to person conversation on the matter.

  This is part of the story.


   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  mku naona hii ni wiki ya mchonga aka dikteta siyo??
   
 3. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #3
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  of course kwa sababu mashambulizi dhidi yake yanakuja; subiri tu huko Bungeni na kwenye majukwaa yao. Si unajua madikteta wanavyochukiwa..
   
 4. NgumiJiwe

  NgumiJiwe JF-Expert Member

  #4
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Kipindi hicho viongozi wa Afrika inaelekea walikuwa wanaheshimiwa sana na Marekani..Naona Kennedy anakwenda mwenyewe uwanjani kumlaki Nyerere,siyo siku hizi Obama anawasubiria wajipeleke wenyewe WH halafu anawapa vidakika tu!
   
 5. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #5
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Ooh no.. Nyerere tu.. at the time.. his voice was unique and lone one!
   
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Jun 17, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Wamarekani walikuwa wanamuona nyerere kuwa ana nguvu ya ushawishi africa

  na wao walikuwa wanapambana na usssr kumbuka...

  Na kwa hiyo nyerere ali enjoy yote hayo

  sio hiyo ya 1963 na kennedy tu

  hata ile ya miaka ya sabini na jimmy carter ilikuwa ya heshima vile vile....

  Cold war ilipoisha,

  walikuwa hawajui kuwa kuna mtu anaitwa nyerere.....or atleast wali pretend sio muhimu hivyo...
   
 7. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #7
  Jun 17, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,067
  Likes Received: 3,999
  Trophy Points: 280
  heheheh, JK hakupandishwa chopper juzi ...
   
 8. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #8
  Jun 17, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Mwanakjj,
  Hii umeipata wapi? Naomba utafute na ile ya 1977. Just for comparison's sake, ziara ya Kikwete kukutana na Obama ilitugharimu $500k.
   
 9. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #9
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  your are wrong; Nyerere's stature grew even more after the cold war as he spearheaded another mission of his - debt reduction and removal. His contribution to Jubilee 2000 was unlike of no other leader!
   
 10. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #10
  Jun 17, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  wewe umekosa adabu tu pia siyo utu wema kumjadili marehemu kwa sababu hawezi kujibu tuhuma dhidi yake na walio hai hawana mamlaka ya kumjibia unless wawe na"lasting power of attorney" yaani ruhusa ya kisheria iliyo tolewa na marehemu kabla hajafa inayowapa mamlaka ya kumsemea.

  Hisia zangu ni kwamba wewe unasumbulia na udini, mipango ya watu wenye mawazo potofu kama wewe ni kuwachafua na kuwadhalalisha wenye imani tofauti na nyie ( wafu na waliohai) ili dini yenu ionekane bora na superior. Mpango wenu wa muda mrefu ni dini yenu kushika hatamu za siasa, serkali, uchumu, imani na hali ya maisha ya kila siku ya watanzania wote kama wanavyofanya huko misri, sudan, somalia nk

  Nyerere siyo kiongozi pekee wa ngazi za juu wa JMT ambaye ni marehemu, wapo akina Karume, Kawawa, Sokoinne nk. Iweje yeye tu ndo marehemu mbaya na dikteta. Vipi marehemu Karume yeye hakuwa dikteta?

  Tukirudi kwa waliohai, Mambo mengi yanazungumzwa juu ya Mkapa na ufisadi lakini hakuna anayetaja ufisadi wa Mwinyi, kwa nini? Wakati wa Mwinyi kulikuwa na ufisadi wa nguvu pia kama wa akina Chavda, Loliondo nk. Mbona Mkapa alianzisha tume ya Warioba ambayo ilibaini ufisadi uliokuwa umekithiri kwenye serkali ya Mwinyi, baadhi ya watuhumiwa pia walifikishwa mahakamani, lakini hakuna mtu anaongelea ufisadi wa wakati huo??? Mama Sitti hakutuhumiwa kwenye kashifa za kifisadi? Mch. Mtikila alipata misukosuko mingi kwa kutaja hadharani mafisadi, siku hizo akitumia msamiati wa magabachori

  MMKJJ huwezi kuyasema hayo kwa sababu yalitendwa na waungwana siyo? Wabaya ni JKN, BWM, EL, Sumaye, AC na RA aliyetolewa kafara ili kufunika kombe wanaharamu apite. Mnaipeleka nchi pabaya hasa kwa wale wenye imani tofauti na ninyi..
   
 11. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #11
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,047
  Likes Received: 3,080
  Trophy Points: 280
  Dare not to refer to Mwl. as a 'dikteta'...if Mwl was by then a dictator,none of his forecomers could be diktetaless... to this,we hence conclude that Tanganyika/Tanzania has gone since then through four ditctorial regimes to date...and therefore Tanzania should be remarkably put in a guiness record book by which a new history could be re-written for reference ...Nyerere a 'dikteta'?
   
 12. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #12
  Jun 17, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280

  nipo very right actually.....
  Tazama vizuri ....
  Sijasema nyerere stature ilipungua baada ya cold war...
  Nilichosema wamarekani hawakumpa umuhimu....
  Wapo viongozi wengi mno ambao wanaheshimika dunia nzima
  but wamarekani wanaweza kumu ignore huyo mtu
  au kujifanya hawaoni umuhimu wake...........

  Mfano mahathir mohammed...
  Na wengineo.....

  Husikii sana wala kuona kwenye american media hizo stature zao............
   
 13. F

  FJM JF-Expert Member

  #13
  Jun 17, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Mwanakijiji acha kunichafulia cv yangu tafadhali. Hapo ilikuwa Hyannis port Kennedy compound. Mimi ndie wa kwanza toka kwenye mji wetu kufika kwenye lile jumba jeupe! this is very personal, acha kuniharibia jina mjini!
   
 14. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #14
  Jun 17, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280

  mimi nilikuwa nafikiri mwanakijiji anamheshimu na kumsifia nyerere
  labda wewe hujamuelewa vizuri....
   
 15. shungurui

  shungurui JF-Expert Member

  #15
  Jun 17, 2011
  Joined: Sep 1, 2008
  Messages: 1,586
  Likes Received: 1,551
  Trophy Points: 280
  Heri mimi sijasema
   
 16. F

  FJM JF-Expert Member

  #16
  Jun 17, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Mkuu, soma taratibu hii article ya Mwanakijiji, iko a bit technical if you know what I mean!
   
 17. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #17
  Jun 17, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  He always think about Equality ...

  Those who know the truth are not equal to those who love it
   
 18. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #18
  Jun 17, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  inauma sana uchungu..... so hii yote itakua ni kuhamisha magoli au ?
   
 19. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #19
  Jun 17, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mkuu, you have missed MMM point, subiri utaona, mwanakijiji is just satirically lighting up the house and pre-empty a few bagels who usually come here for preambles and pH testing
   
 20. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #20
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Nimecheka si utani.
   
Loading...