Sun, Nov 6th, 2011
Sun, Nov 6th, 2011 | Tanzania
Mwalimu Julius Kambarange Nyerere
When Mwalimu Nyerere addressed attendants at the President's Forum in Claremonton California in early 1999...
Ndugu wanaJamvi
Jana niliongea na afisa mmoja wa ngazi ya juu wa polisi hapa Arusha,katika mazungumzo yetu afisa huyu alikiri kuwa bado polisi inaendelea kumtafuta Nanyaro ambaye ni Mwenyekiti wa...
Katika jambo ambalo Serikali ya Tanzania imepaza sauti na Kuungana na Nchi nyingine kama Ghana,Malawi na Uganda ni Kusema hapana kwenye suala la Ushoga dhidi ya David Cameron Waziri Mkuu wa...
Katika mtaa mmoja mjini Bukoba nimekuta mabishano ya nani anaweza kuhimili vishindo vya uchaguzi ujao(Ubunge Bukoba Mjini) kati ya hao wawili.Hawakupata mwafaka,kimsingi wamekubaliana kuwa wote ni...
Wana JF hivi karibuni kamati za Bunge zilikuwa zikipitia hesabu za mashirika na idara mbalimbali za serikali ila jambo la kushangaza ni kwamba kila Kamati ilipokuwa ikienda kesho yake nilishuhudia...
Published on: Saturday, October 21st, 2011
By Kizito Makoye in Dar es Salaam – Tanzania's anti-corruption bureau has at last released the state-of-corruption report amid mounting pressure...
Na Waandishi wetu
BUNDI mharibifu anazidi kuinyemelea CCM hali inayotishia mgawanyiko mkubwa miongoni mwa makada na wanachama wa chama hicho kikongwe nchini na barani Afrika.
Tangu kumalizika...
Tibaijuka ambana mwekezaji Mkinga
Imeandikwa na Mwandishi Wetu, Mkinga; Tarehe: 5th November 2011 @ 11:00
Habarileo
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka...
Kumekuwa na taarifa zinazotolewa na jeshi lapolisi kuwa kuna tishio la uwepo wa kundi la kigaidi la alshabab kila panapokuwa na shughuli za kisiasa hasa za harakati za ukombozi wa nchi hi.
Sasa...
Wandugu,
Kila mara tunaongelea kujiunga au kutojiunga na jumuiya moja ama nyingine. Inawezekana nina uelewa mdogo kuhusu jumla ya makundi tuliyojiunga nayo. Ninayoyafahamu ni yafuatayo:
1...
Karibu wiki nzima sasa ukienda madukani kuambiwa sukari hamna ni kitu cha kawaida. Out of 10 shops three hazina sukari. Out 4 petrol stations moja haina mafuta. Kama unaishi dar hali ikoje unakoishi?
Mkuchika aiandikia NEC kuitisha uchaguzi wa Madiwani Arusha
NA JOHN NGUNGE
5th November 2011
B-pepe
Chapa
Maoni
Hatimaye Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu...
PUBLISHED october, 10 TH 2011
Map
APA-Addis Ababa (Ethiopia) The Federal Ethics and Anti-Corruption Commission (FEACC) of Ethiopia and the Tanzania-based Kilimanjaro International Organization...
Uchaguzi wa madiwani wa kata tano za Jiji la Arusha utarudiwa tena Hawa ni madiwani walio enguliwa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMA,
Hili limenemwa na George Mkuchika Waziri ;-...
Having proper education is a major solution to many challenges facing women, Mama Awena, the wife of the Zanzibar First Vice-President, Seif Shariff Hamad, said on Saturday at the opening of the...
wakuu kama mnavyojua sasa hivi ni maandalizi ya sherehe za miaka 50 ya uhuru.hivyo wamechagua watoto wa shule za msingi mbao hivi sasa wanafanya mazoezi ya halaiki ili waje waonyeshe mgeni rasmi...
Kuna taarifa kwamba mgogoro kati ya BoT na Hazina umesababisha kukwama kwa malipo serikalini kwa zaidi ya wiki tatu sasa,na baadhi ya maeneo hata mishahara hawajalipwa.
Wanasema baadhi ya...
Current Position(s)
President | United Republic of Tanzania
Tanzania | 2005 - present
Member of Central Committee (CC) | Chama Cha Mapinduzi
Tanzania | 1997 - present
Lieutenant-Colonel...
Najua wapo watakao bisha lakini huu ndio ukweli. Kwasababu kunakata ambazo hazija fanya uchaguzi bado kumekuwa na zoezi linalo endeshwa na enyeviti wa vitongoji na mabarozi la kunua vitambulisho...