Tanzania tumo kwenye Jumuiya ngapi?

SubiriJibu

JF-Expert Member
Jun 26, 2009
1,803
1,863
Wandugu,

Kila mara tunaongelea kujiunga au kutojiunga na jumuiya moja ama nyingine. Inawezekana nina uelewa mdogo kuhusu jumla ya makundi tuliyojiunga nayo. Ninayoyafahamu ni yafuatayo:

1: Umoja wa Mataifa (UN)
2: Jumuiya ya Madola (CHOGM)
3: Umoja wa Afrika (AU)
4: SADEC
5: Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)

Saidia tujijue Tanzania imo katika jumuiya ngapi kwa kuongeza unayoyajua.
 
Badala ya kujadili jumuiya mi nadhani ni vizuri tukajadili hali na maisha ya watanzania, hasa wa hali ya chini. Vile vile ni vizuri pia tukajadili in deep inflation rates, na jinsi gani tunaweza kusaidia kuli solve. Kuwa members wa jumuiya inaweza kuwa sawa na wewe kuwa na hisa nyingi kwenye benki tofauti, which can not reflect your relationship na benki nyingine yoyote.
 
Huwezi kujadili maisha ya watanzania kwenye thread ya mwenzako ya jumuiaya, nakushauri anzisha yako unayosema.
 
Back
Top Bottom