Uwepo wa Al-Shabaab nchini ni ishara ya udhaifu wa vyombo vyetu vya Usalama

MBUFYA

JF-Expert Member
Aug 15, 2011
445
68
Kumekuwa na taarifa zinazotolewa na jeshi lapolisi kuwa kuna tishio la uwepo wa kundi la kigaidi la alshabab kila panapokuwa na shughuli za kisiasa hasa za harakati za ukombozi wa nchi hi.

Sasa hiyo inteligensia mbona haiwakamati hao magaidi badala yake uwepo wao unatumika kama silaha ya kuzimisha maandamano na mikutano ya kisiasa? mi nadhani kunaudhaifu hapa.

nawasilisha hoja.
 
Hawa watu Al-Shabaab wako kila mahali hata mtaa uliopanga wapo tatizo wako kimya kwa sababu hawajachokozwa na serekali au kiongozi kuingilia mambo yao.
 
Polisi hayo matamko yao hawajui wanaidhalilisha taasisi ingine serikalini?
Ingawa to them ni kama kisingizio!
 
Kama usalama wa taifa ndo wako busy na siasa unategemea kazi zao watafanya lini?
 
akili zako hazina akili kila kosa usalama wewe umeilinda vipi nchi yako hata kwa kutoa taarifa tu kwa hao usalama
 
nchi yoyote duniani kwanza inalindwa na wananchi wenyewe. tujiulize sisi tumesaidia vipi ulinzi huo
 
wataje hapa hao el shabab waliopo nchini ili usalama tuwaone kama watazembea kuwakamata tutakuwa mashaidi wa uzembe wao kwa taifa letu
 
Kama usalama wa Taifa walishindwa kuwafahamu na kuwakamata wale "Al-shabaab" na wanamgambo wengine Mkama aliosema wameletwa na CHADEMA, Je watawaweza hawa Al-Shabaab wenyewe? Ndoto
 
umefukuzwa kazi usalama wa taifa umeona uje upumulie huku kwa uongo hauna jipya ni kibwagizo kilekile
 
acha kuchanganya siasa za akina mukama na usalama wa taifa wapi na wapi kwani mukama ameajiriwa huko


Kama usalama wa Taifa walishindwa kuwafahamu na kuwakamata wale "Al-shabaab" na wanamgambo wengine Mkama aliosema wameletwa na CHADEMA, Je watawaweza hawa Al-Shabaab wenyewe? Ndoto
 
mbona jeshi la wananchi JWTZ na polisi wa ndani na Intapol huwajumuishi katika hilo au una chuki binafsi na chombo hicho
 
nachukia sana watu kama nyinyi mnaodhani kila tatizo la nchi ni la usalama wa taifa wa taifa husika na ndio maana vyombo na taasisi zetu nyingi zimelala usingizi kwa sababu makosa yao yote yanaelekezwa usalama wa taifa
 
aya yupo mchawi wa maendeleo yetu usalama wa taifa basi tuvunje taasisi zote ibaki usalama tu
 
mbona jeshi la wananchi JWTZ na polisi wa ndani na Intapol huwajumuishi katika hilo au una chuki binafsi na chombo hicho

jaribu wakati unaongelea masuhala ya usalama wa nchi yetu kufahamu kwamba ni wananchi wachache wataojitolea kutoa taarifa za wahalifu kutokana na rushwa iliyokithiri ktk taasisi zetu za usalama!
 
Vyombo vya ulinzi na usalama hapa Tanzania kazi wanayoijua ni kuhakikisha kuwa CCM inabaki madarakani kwa njia ya kuhujumu upinzani.
 
sparking the water up but when it really rumbles FYI you are dead
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom