Arusha: Hatimaye uchaguzi wa madiwani kurudiwa

Duble Chris

JF-Expert Member
May 28, 2011
3,481
564
Uchaguzi wa madiwani wa kata tano za Jiji la Arusha utarudiwa tena Hawa ni madiwani walio enguliwa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMA,

Hili limenemwa na George Mkuchika Waziri ;- TAMISEMI

source: Mtanzania

My take:- Mkuchika ndiye aliye wapa ofa hawa madiwani kuhudhulia vikao vyote na kulipwa sitahiki zote kama madiwani wengine wasio na migiogoro na vyama vyao akijua kabisa kuwa analo litolea maagizo lipo kinyume kabisa na sheria za nchi hii leo kunani tena anayalamba matapishi yake.

Ama kweli TZ tuna mawaziri wengi mno

Nawatakia Uchaguzi mema wa hali ya Amani na utulivu
 
Waziri kilaza asiyejua hata sheria na kanuni zinazohusika na wizara yake. Ama kweli, mpaka tufike 2015 tutayaona mengi kutoka kwenye serikali hii ya vilaza.
 
Ivi unafikiri mkuchika ana akili?huwa anafanya maamuzi kwa kutumia masaburi kama unataka kujua hili angalia kipindi alipokuwa waziri wa utamaduni na michezo aliporifungia gazeti la mwanahalisi,ukimfatilia kwa umakini utaona ni mtu wa kukurupuka sana.
 
Hatimaye waziri wa Tamisemi, George Mkuchika ametangaza kata nne za jiji la Arusha kuwa wazi na hivyo kutoa nafasi ya kurudiwa kwa uchaguzi katika kata hizo.

Source: Rfa
 
Uchaguzi wa madiwani wa kata tano za Jiji la Arusha utarudiwa tena Hawa ni madiwani walio enguliwa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMA,

Hili limenemwa na George Mkuchika Waziri ;- TAMISEMI

source: Mtanzania

My take:- Mkuchika ndiye aliye wapa ofa hawa madiwani kuhudhulia vikao vyote na kulipwa sitahiki zote kama madiwani wengine wasio na migiogoro na vyama vyao akijua kabisa kuwa analo litolea maagizo lipo kinyume kabisa na sheria za nchi hii leo kunani tena anayalamba matapishi yake.

Ama kweli TZ tuna mawaziri wengi mno

Nawatakia Uchaguzi mema wa hali ya Amani na utulivu

Kwani Mkuchika alishafuta ile Barua aliyoiandika "kuwarudishia uanachama" Madiwani waliotimuliwa na CHADEMA?
 
Hatimaye waziri wa Tamisemi, George Mkuchika ametangaza kata nne za jiji la Arusha kuwa wazi na hivyo kutoa nafasi ya kurudiwa kwa uchaguzi katika kata hizo.

Source: Rfa

Hivi Mkuchika alishafuta barua aliyoiandika ili "kuwarudishia uanachama" Madiwani waliofukuzwa na CHADEMA?
 
Jina lako linaonesha kuwa tatizo lako ni umri! Inaonekana umekutupa mkono na huna habari kwamba hizi sio enzi za zidumu fikra za mwenyekiti!
Mkuu huchukui angalau kata moja....hahahahahahaha
 
Back
Top Bottom