Upungufu wabidhaa za kila siku Dar

Semilong

JF-Expert Member
Mar 5, 2009
1,712
219
Karibu wiki nzima sasa ukienda madukani kuambiwa sukari hamna ni kitu cha kawaida. Out of 10 shops three hazina sukari. Out 4 petrol stations moja haina mafuta. Kama unaishi dar hali ikoje unakoishi?
 
Hii ni nchi ya kufikirika. Haina Rais ila symbol ya Ikulu.
 
heeee.!unashaNGAa about mafuta.?sisi hapa mbeya mjini ni takribani wiki ya pili sasa out of 10 p-stationz ni 2 tu utazikuta na mafuta,napo wanasema hawaweki zaid lita10 ila wote mpate.....
 
Karibu wiki nzima sasa ukienda madukani kuambiwa sukari hamna ni kitu cha kawaida. Out of 10 shops three hazina sukari. Out 4 petrol stations moja haina mafuta. Kama unaishi dar hali ikoje unakoishi?
Wenzetu walifanya bread riot baada ya mkate kuwa ghali na kuadikimika madukani, Tanzania tunasubiria mvua ya sukari kutoka mbinguni that y tumepumbaa kama makinda yaliyotayari kulishwa kila aina ya takataka.
 
Back
Top Bottom