Wadau wa JF,
muda mchache uliopita nimesikia ktk kipindi cha magazeti redioni(rfa) kuwa serikali inabadilisha mfumo wa shule za msingi kwa kiwango cha juu cha elimu ya msingi mwisho kuwa ni...
Nyie viongozi wa kisiasa wa Tanzania yaani nyie mnaoitana MAGamba na MAGwanda mnakowapeleka watanzania siko! wala hamjashtuka! kwa nini mnawagawa watanzania kwa sababu tu ya tamaa zenu? If you...
BY EDITOR
13th November 2011
Editorial Cartoon
South Africa's ruling party, African National Congress (ANC), on Thursday took stern measures against a defiant but influential Youth President...
The Citizen (Dar es Salaam)
Frank Aman
13 November 2011
Recent media reports said that some NCCR-Mageuzxi NEC members had accused their chairman of poor leadership and asked him to step down.The...
The Citizen (Dar es Salaam)
13 November 2011
Dar/Zanzibar and Dodoma - The process to write a new constitution was thrown into confusion yesterday with many people rejecting the government's...
Wengi tunafahamu mbinu chafu zinazo wabeba hadi wanapata ushindi kwenye chaguzi mbalimbali.
Kuhonga wapiga kura
Matumizi ya nguvu kupitia jeshi la polisi
Vitisho kupitia vyombo vya habari...
Mapema leo asubuhi nilipost thread kuhusiana na mtazamo wangu juu ya namna ambavyo mchakato wa mjadala wa muswada Wa mapitio ya katiba ulivyotekwa na kuathiriwa na baadhi ya watu "elites" kwa...
ndugu zangu inabidi mnivumilie kidogo kwa hili la kufurahia mlima kilimanjaro kushindwa kwenye maajabu saba ya Dunia.<BR>ninafanya hivi kwa nia nzuri kabisa nikizingatia kwamba hii itakuwa...
wadau kile kipengele cha kununua vifaa chakavu katika muswada wa manunuzi ya umma leo kinaelekea kupita na kuwa sheria. Magamba imemtumia mh Mnyika katika hilo, kwa kumkaimisha nafasi ya mh Zitto...
Kama kuna mwanajamii anaependezwa na yale yanayoendelea Arusha basi atakuwa na tatizo.Mambo si shwari hata kidogo tangu uchaguzi mkuu wa Oct.2010.Kimsingi vuta nikuvute hii haina tija kwa Wananchi...
Wadau!!!
Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na matukio yanayoonesha wazi kuwa serikali imekosa control juu ya utawala wa nchi. Matukio ya mapambano ya polisi na wamachinga mkoani Mbeya...
Katika sera iliyowaingiza ccm madarakani hakuna sehemu mnapoahidi kuandika katiba mpya. mmeshindwa nini kutetea sera yenu badala yake mmekubali kutekeleza sera ambayo haikuwaweka madarakani?
je...
Waziri Kombani adai wanaodai Katiba mpya ni watu 'wa barabarani'
Kauli ya Waziri wa Sheria na Katiba, Celina Kombani, kwamba wale wanaodai katiba mpya ni watu wa barabarani wasiokuwa na uelewa...
Manyanyaso yanayofanywa na serikali ya ccm dhidi ya watu wa kanda ya kaskazini hususan Arusha yanafanya watu wafikirie kupandisha bendera yao.
Vile vile kitendo cha serikali kukaa kimya kuhusu...
Wabunge wetu wanao iwakilisha Z,bar tokeni kwenye Bunge pindipo ukisomwa mswada wa katiba ya Muungano.Written by amini // 14/11/2011 // Habari // No comments
Munakumbuka wabunge wa...
Jamani tuweke tofauti ya vyama na itikadi ze2,ndio El amekumbwa na kashfa nying sana,but mkubali, mkatae Edward Lowasa alikuwa ni kiongozi muajibikaji sana mfano ni kule kujiuzuru(ieleweke alikuwa...
Inamaana Tanzania imefikia mwisho? Hakuna linalowezekana kupaisha hali za watanzania? Hii dollar inavyopaa inaonyesha utendaji mbovu wa Wizara ya Fedha na uchumi kushindwa kudhibiti mfumuko wa...
Asilimia ya kushauriwa Zanzibar ktk katiba ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ,Z,bar ina asilimia 4.5.Written by Hassan10 // 14/11/2011 // Habari // No comments
Jee cuf mumesahau...