Wanasiasa mtaangamiza Tanzania kwa tamaa zenu

Nzowa Godat

JF-Expert Member
Jun 15, 2011
2,783
819
Nyie viongozi wa kisiasa wa Tanzania yaani nyie mnaoitana MAGamba na MAGwanda mnakowapeleka watanzania siko! wala hamjashtuka! kwa nini mnawagawa watanzania kwa sababu tu ya tamaa zenu? If you will not arrest this political situation "haki ya nani" I tell you, you shall witness the civil war. People outside here are totally disappointed. Ninamwomba, kwa dhati ya moyo wangu, Yehova atuepushe na dhahama ya namna hiyo. BWANA Yesu Asifiwe sana.
 
kama kweli maneno haya yatoka moyoni,nakupa hongera,ila ukweli na uongo ni Petrol na maji japo wote wanamiminika.Tutausubiri unabii upate kutimia.
 
Kama haya ni ya kweli waambie CCM wawatendea haki watanzania katika uundaji wa katiba mpya,na waache ufisadi na kudharirisha utu wa mwanadamu.
 
Kama haya ni ya kweli waambie CCM wawatendea haki watanzania katika uundaji wa katiba mpya,na waache ufisadi na kudharirisha utu wa mwanadamu.

Nina uhakika SiSiEM wamepata ujumbe wako, labda kama kuna swali la nyongeza Mheshimiwa!
 
Back
Top Bottom