Nini hasa kifanyike kumaliza tatizo la Arusha? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini hasa kifanyike kumaliza tatizo la Arusha?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by J.K.Rayhope, Nov 14, 2011.

 1. J

  J.K.Rayhope JF-Expert Member

  #1
  Nov 14, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 316
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama kuna mwanajamii anaependezwa na yale yanayoendelea Arusha basi atakuwa na tatizo.Mambo si shwari hata kidogo tangu uchaguzi mkuu wa Oct.2010.Kimsingi vuta nikuvute hii haina tija kwa Wananchi wa Arusha na haileti maendeleo.Leo Arusha upo ubabe,umwamba,umimi zaidi kuliko wewe n.k. Sasa,kwa nia njema kabisa,mimi,wewe na yule hebu tujaribu kuwasaidia mawazo kwani najua wanapitapita humu,kwamba MCHOZI na MCHOKOZWA wafanye nini ili amani irejee Arusha.
  Nawasoma hapa hapa Jforum
   
 2. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #2
  Nov 14, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,255
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  ni kuwaadabisha magamba wote tu!
   
 3. K

  Kabonde JF-Expert Member

  #3
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 12, 2008
  Messages: 421
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Arusha hakuna tatizo bana.
   
 4. n

  nrashu Senior Member

  #4
  Nov 14, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Haki wapewe wanaostahili.
   
Loading...