Ukifahamu jinsi wabunge wa CCM wanavyopatikana utajua pia wapo kwa maslahi ya nani. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukifahamu jinsi wabunge wa CCM wanavyopatikana utajua pia wapo kwa maslahi ya nani.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by M-pesa, Nov 14, 2011.

 1. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #1
  Nov 14, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Wengi tunafahamu mbinu chafu zinazo wabeba hadi wanapata ushindi kwenye chaguzi mbalimbali.
  Kuhonga wapiga kura
  Matumizi ya nguvu kupitia jeshi la polisi
  Vitisho kupitia vyombo vya habari
  Kununua vitambulisho vya wapiga kura
  Kuiba kura baada ya kuwa zimeshapigwa
  Kuchezea daftari la wapiga kura
  Kuchelewesha matokeo kwa makusudi kushinikiza watangazwe washindi

  Sasa ndugu yangu unategemea kwenye katiba mpya watakutetea ili wapunguziwe madaraka??? Tafakari mara mbilimbili utapata jibu.
   
 2. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #2
  Nov 14, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Pia kufanya kampeni wakiwa na MIBASTOLA viunoni na vitu kama hivyo.
   
 3. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #3
  Nov 14, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Asilimia kubwa ya wabunge wa CCM ni wabinafsi na walafi.
   
 4. LE GAGNANT

  LE GAGNANT JF-Expert Member

  #4
  Nov 14, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Time will tell, yana mwisho wake yote hayo! Nani aliyetegemea gadafi kupingwa na watu wake!
   
Loading...