Inazihirisha wazi kuwa Wtanganyika wanaikalia kimabavu Z,bar bila ya ridhaa ya Wznzbar, | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inazihirisha wazi kuwa Wtanganyika wanaikalia kimabavu Z,bar bila ya ridhaa ya Wznzbar,

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kakke, Nov 14, 2011.

 1. Kakke

  Kakke JF-Expert Member

  #1
  Nov 14, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,797
  Likes Received: 389
  Trophy Points: 180
  [h=1]Asilimia ya kushauriwa Zanzibar ktk katiba ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ,Z,bar ina asilimia 4.5.[/h]Written by Hassan10 // 14/11/2011 // Habari // No comments

  [​IMG]
  [​IMG]Jee cuf mumesahau mauwaji ya 26/27 damu za Wzanzibar zilivyo mwagika?

  Wz,bar mpaka ktk mchakato wakuandika katiba ya Muungano basi Zanzibar(smz) ina asilimia 4.5% yakushirikishwa , mombo yote yako kwa JK,Celina Kombe na Ana Makinda?. Aibu hii smz.
  JEE HILI SUALA LA KATIBA YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR STILL LINA MKUBWA NA MDOGO? MAANA MAMBO YOTE YAMEKUMBATIWA NA WTANGANYIKA.
  Hivi sasa inaonekana hazarani kuwa viongozi wetu Boya mambo yote ya katiba yana shuhulikiwa na Watanganyika Raisi Kikwete spika wa Bunge la Muungano na Waziri wa sharia na Katiba Celina Kombe hawa wote niwa Tanganyika na mzanzibar hayupo hapa, ispokuwa tu eti tunaambiwa bada ya kwisha kuandikwa hio katiba Raisi Kikwete atamshauri waziri wake Shene na Kada wake wa chama.
  Hii ni hatari kwa Kizazi cha Zanzibar kukipa kibarua kigumu, tukiangalia kero za Muungano hupenyezwa vipi mpaka zikawa kero? Hupenyezwa kama hivi kuwa viongozi wetu wa smz kuwa kimya bila vishindo na badae Wtanganyika kufanya watakavyo kasha waka tufunga kwa vipengele vya katiba na Muungano fake.
  Hayo yote yanayo pitishwa ikawa kero za Muungano basi sikuwa viongozi wetu hawamo no, wamo lakini hubinya kimya kwa ulafi wao na unafiki wao wakuwa watifu mbele ya Watanganyika.
  Mimi hivi sasa nime disappoint na cuf kuwa wamo serekalini tafauti na walivyokuwa wakisema kuwa uwezo wetu ni mdogo kwa vile hatumo ktk Serekali kwa hio mumo hivi sasa mpona katiba inaandikwa na Wabara na kusimamiwa na wao nyiyi hamuna vishindo vyovyote?.
  Maana kama sio chadema kupiga kelele na kujitowa muhanga ktk katiba basi hata hio katiba ilio wasilishwa Bungeni awali ngepita, sisi Wzanzibar nguvu yetu ni kushirikishwa ktk mamuzi ya hatma ya Zanzibar kwa kura ya maoni lakini hilo hatupewi na mambo yote huyakumbatia wao smz hatakama nimazito kwao hawayawezi basi huyabeba tu kwa njaa zao.
  Maana chakushangaza na kusikitisha sana nipale Spika wetu Kificho alipo uzuwia yeye binafsi mswada wa Mh Jussa bila ya kupeleka kwa wajumbe wa Baraza , jee Kificho alikusudia nini kwa Wzanzibar?.
  Hatari yake ni hii leo kuwa Wtanganyika wanaikoga Katiba kama vile mali yao pekeyao, Na sisi kikubwa huambiwa na viongozi wetu kuwa itumieni vizuri itakapokuja fursa ya kukushanya maoni, sasa tusidanganywe Wzanzibar .
  Madamu sisi tumeshirikishwa kama mkoa wa pwani na sio nchi mbili basi maoni yetu hayato shinda maoni ya mkowa wa Murogoro ulio na watu zaidi ya million 2.
  Ingekuwa Wzanzibar tuna tume yetu wenyewe yakukushanya maoni ya Wzanzibar basi mambo yangetia sura na kuwa mazuri lakini Mungu mtu stafiru laah Kificho alilipinga hilo ktk mswada wa Mh Jussa . Jee alikusudia nini Kificho ?.
  Mimi nahisi hili Kificho ni ZOMBI na yako mengi hapa Zanzibar madudu haya ambayo kutokana na matamanio yao binafsi na ulafi wao wa madaraka basi hupenda kufanya kitu ili kuwafurahisha Wtanganyika eti waonekane Hiro kumbe huonekana machuchu yakufutia mavii.
  Zanzibar haimalizi na Tanganyika bali ni viongozi wetu ndio waimalizayo Zanzibar kutokana na kukosa uzalendo na kuwa watifu mbele ya Tanganyika, hivi sasa na cuf wameshakanyakishwa kinyesi maana viongozi wa ccm/smz wakiambiwa kitu husema na Cuf wamo serekalini na cuf wakiambiwa kitu husema hatuna nguvu ktk Serekali ya SuK, Basi kama hamuna nguvu tokeni washeni wenyewao wanafiki na walafi ccm/smz.
  Hivi sasa cuf wako kimya wanahisi eti 2015 ccm watawatunukia urais wa Zanzibar cuf kwa njia ya uchaguzi huru na wahaki yaguju. Watu wenye laaana ya M/mungu sirahisi kubadilika , ccm/smz nichama na watu wake walokwisha mwaga damu ya wajaa wa M/mungu unazani kuwa niwema na wenye imani?.
  Huwezi kuwa ccm/smz na ukawa mcha Mungu uchamungu na ccm nivitu mbali, cuf bado hamujasoma nyakati tu?. Hawa watu mikono yao ina damu na nikama wanyama wanaweza kufanya baya lolote bila kujali dini wala imani ya dini hivi ndivyo walivyo jengwa ktk chama chao.
  Huwezi kuwa mtu mchamungu na ukawa na imani ccm wakakutaka no way, ccm/smz niwanyama yani Mbwa mwitu wenye kula mizoga, ni Wzanzibar wangapi mazulumu tumeshawafukia? Au hamujuwi hili cuf.
  Kuweni mbali na washirikina cuf huenda kujipendekeza kwenu kuwa laini eti 2015 mutaukwaa uraisi sahauni tume ni ile ile ya ZEC ,viongozi ni wale wale wa Zec na mkuu wa Vitanbulicho ni yuleyule Juma Ame kwa hio nambie ni cuf matumaini yako wapi?.
  Kikubwa mumeingizwa ktk serekali ili muzimwe na muwe cool ndio hivi sasa kuna kundi zima la walafi wanao gawana wizara na ccm kula pamoja upinzani wa cuf umekuwa walio baki ni Jussa na backbencher wenzaki wasiomo kwenye serekali.
  Hii yote ni mipango kabambe ya Wtanganyika walio pangiwa ccm/smz kuwapangia cuf.
  Mungu tunusuru na Zanzibar kutoweka.
   
 2. Tony Almeda

  Tony Almeda JF-Expert Member

  #2
  Nov 14, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wazanzibar muda wa kuikana cuf na ccm ni sasa. jiungeni chadema kwa demokrasia makini, cuf hawana la kuwatetea walitaka madaraka washayapata!
   
Loading...