migomo ya vyuo
Member
- Jun 14, 2011
- 58
- 18
ndugu zangu inabidi mnivumilie kidogo kwa hili la kufurahia mlima kilimanjaro kushindwa kwenye maajabu saba ya Dunia.<BR>ninafanya hivi kwa nia nzuri kabisa nikizingatia kwamba hii itakuwa fundisho kwetu, tuache tabia ya kuendesha mambo yaumma kibaba na mama sasa tuwape watu wanaoweza majukumu yaliyo nje ya uwezo wetu. nilisikitika sana kuona mama kikwete akikabidhiwa jukumu la kuhamasisha watu kuupigia mlima kilimajaro kura nikajua hapatakuwepo na ufanisi wowote. leo tuna watu wanaoheshimika na kusikilizwa kama kamanda mbowe, lema,zitto dr slaa na wale wote wenye hamasa katika jamii wangeweza kusimama na kuhamasisha na zoezi hili Hakukuwa na sababu ya kumtumia mtu kama mama Kikwete kwasababu hana mamlaka yeyote na sisi kama watanzania hatumjui na wala hatujawahi kumchagua katika nafasi yoyote na ndiye katuletea gundu tukashindwa kwenye kimyang'aanyiro cha maajabu saba ya dunia