Nape na ccm yako kwa hili hamuoni kuwa mmekosa haki ya kuongoza taifa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape na ccm yako kwa hili hamuoni kuwa mmekosa haki ya kuongoza taifa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Papa D, Nov 13, 2011.

 1. Papa D

  Papa D JF-Expert Member

  #1
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Katika sera iliyowaingiza ccm madarakani hakuna sehemu mnapoahidi kuandika katiba mpya. mmeshindwa nini kutetea sera yenu badala yake mmekubali kutekeleza sera ambayo haikuwaweka madarakani?
  je, Kwa mapungufu hayo tunaposema MLIIBA KURA ZA URAIS TUNAKOSEA? maana kama hamkuiba msengekuwa na wasiwasi wa kuingilia jambo ambalo halikuwaingiza madarakani!!!!!
   
 2. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #2
  Nov 13, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,067
  Likes Received: 1,805
  Trophy Points: 280
  jambo gani..? mkuu vipi mbona unatoa Povu! ...


   
 3. Papa D

  Papa D JF-Expert Member

  #3
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nimesema ccm wamekomalia katiba mpya ilhali jambo hili halimo kwenye sera waliyoinadi kwa wananchi hadi kuchaguliwa!!
  yaelekea wewe njiwa umesoma kidogo kisha ukarusha mbawa zako ili usipigwe manati!!

   
 4. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #4
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  CHADEMA ndo waliosema wakiingia madalakani watatengeneza katiba ndani ya siku 100,na ccm iliposhinda ikaanza kupanga mipango ya katiba mpya ndani ya siku 100 ambayo ni sera ya chadema.ccm hawana mipango thabiti. Wanajua kupanga jinsi ya kudanganya wananchi na kuwaibia.mia
   
 5. Papa D

  Papa D JF-Expert Member

  #5
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Tufikie mahali tuwakemee hawa jamaa kwa kufanya uhuni huu!!

   
Loading...