Waziri Jiuzuru kwani umeshashindwa!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,577
8,596
Inamaana Tanzania imefikia mwisho? Hakuna linalowezekana kupaisha hali za watanzania? Hii dollar inavyopaa inaonyesha utendaji mbovu wa Wizara ya Fedha na uchumi kushindwa kudhibiti mfumuko wa bei.

Hivi ni kutokuwa na ubunifu mwingine wa kuokoa uchumi wa nchi hii? Nchi hii matumizi yamekuwa makubwa, hakuna uzalishaji hakuna umme wa uhakika, nchi inazidi kuzama wao wenye mpini wapo wanagombana na wapinzani badala ya kushirikisha wapinzani nakujadili njia sahihi ya kuokoa uchumi wa taifa hili!

Nawasipokuwa makini tutazama zaidi ya hapa fikiria nchi za nje zikiyumba kiuchumi Je Tanzania itakuwa kwenye hali gani?

Serikali ya awamu ya 3 dollar 1 ilikuwa kwenye tsh 900-1000! Sasa leo hii inafika dollar 1 sawa tsh 2000??
 
Kweli kabisa,

Ila sasa, kilaza anayeongoza nchi ameona kuwa Huyu waziri anafaa kabisa kwa kazi hii, unadhani kuna litakalotokea?
 
Back
Top Bottom