Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

"Minister Bernard Membe repeatedly said the government was intending to use the recovered money to build schools’ latrines and make various improvements in the education sector." - yaani pesa zote...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Waungana katika pitapita zangu nimegundua wana CDM hawafurahi TZ kusheherekea miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika. Dalili zimejoinyesha;- 1. Viongozi wao katika ngazi zote kutoshiriki vikao vya...
0 Reactions
101 Replies
8K Views
From Mwanahalisi..., Kutokana na JK kushindwa kufukuza mafisadi ndani ya CCM! Waziri na mbunge Machachari wa CCM yuko mbioni kukihama chama hicho na kuhamia chama pinzani kutokana na uwepo wa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
tanzania taifa ililopoteza mwelekeo, matumaini hayapo tena juu ya ​ 1;maisha bora, 2;huduma za afya bora, 3;elimu bora, 4;miundombinu bora, 5;nishati bora, 6;unafuu wa gharama za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, Tamko la Chama lilitolewa mwishoni mwa Novemba 2011 kuhusu mchakato wa katiba mpya ya JMT hili hapa. TAMKO LA CHAMA CHA NCCR MAGEUZI KUHUSU MWENENDO WA MCHAKATO WA KATIBA MPYA NCHINI...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Wandugu. Nimesoma kwenye baadhi ya magazeti kwamba serikali ya tanzania imeingiziwa chenji yake ya rada katika akaunti yake iliyopo London. Taarifa hiyo imeambata na tamko la Waziri wa fedha...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Dear Balozi, I send my congratulatory message following the bold step by the Country's leading exporter to trade its shares at Dar Bourse(DSE). It is an opportunity for Tanzanians to own part...
27 Reactions
60 Replies
8K Views
Hivi karibuni, kadri tunavyoikaribia tarehe 9 Desemba imeibuka kawaida/ kasumba ya watu kujitofautisha kwa misingi ya Utanganyika na Uzanzibari, wakati huo huo wengne wakijitambulisha kwa Identity...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa kuwa imeshadhihirika kwamba pamoja na kelele za chadema za kutaka posho zifutwe kugonga mwamba na matokeo yake ni posho kuwa zimezidi kuongezwa.......hii inadhihirisha kuwa wabunge wa ccm na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu zanguni, hapa tanzania viongozi hawana heshima kwa wananchi ambao ndio wamewapa madaraka, hapo nyuma kidogo wakati wa mugao mkali wa umeme kuna kiongozi mwandamizi wa tanesco aliyesema eti...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama akiwa katika mazungumzo na meya wa jiji la Hamburg Wolfigang Shmidth wakati wa kufungwa kwa mkutano mkuu wa Chama cha SPD cha Ujerumani. Aliyesimama katikati ni...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanajamvi: Mwanahalisi la leo ni fungakazi kuhusu sakata la CUF. Duh... kumbe mambo yamefikia hapo? Pinda naye!!!!
1 Reactions
36 Replies
5K Views
Jamani eeeh, tumekuwa tunalalamika bure kuwa Uingereza inatulazimisha kukumbatia ushoga, kule Zenj mbona miaka mingi tulikuwa tunasikia upo? Kuna wanaume wazima wanaoana kule na nimeshawahi kuona...
0 Reactions
16 Replies
9K Views
Nimesoma kwa masikitiko makubwa kile kilichoandikwa katika gazeti la habari leo la jana tarehe 5/12/2011 likimnukuu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali akiwalaumu watendaji mbalimbali wanaohusika...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
uhalisia wa dhana hii hapa kwetu n hadathi tu kwamba tuna amani nautulivu lakin dhahili yapo maonevu makubwa yatokanayo na uongoz mbovu wa serikali yetu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau: Jenerali wetu tena ametoka na hii kali -- hakuna cha maana cha kusherehekea miaka 50 ya uhuru. nakubaliana naye, mie nitakaa nyumbani kuomboleza kwa machungu -- hasa ukisoma...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
  • Poll Poll
NYUMBA YA JIRANI INAUNGUA, YETU INATEKETEA. Tarehe 9 Desemba 2011 tutasherehekea miaka 50 ya uhuru wa nchi ya Tanganyika. Kwanza nianze kwa masikitiko kwa namna vyombo vya habari vinavyojitahidi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana jamii, Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana na kwa miaka kadhaa sasa Makala za Generali Ulimwengu, na katika upembuzi wangu wa mambo japo kwa upeo nilio nao, nimejiridhisha kuwa, kwa hali...
0 Reactions
195 Replies
24K Views
Wadau nimepata hii habari imenistua sana, kama kweli systems zetu zipo makini kuchunguza wawekezaji au wafanyabiashara mbali mbali ambao wanakuja kuwekeza kama ni kweli wapo Genuine. Hii kampuni...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
leo kuanzia saa saba na nusu kwenye ukumbi wa Manor Hotel kutakuwa na kongamano la katiba mpya litakaloongozwa na viongozi wa chadema kutoka makao makuu...mnaombwa kufika
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…