Wabunge CHADEMA badilisheni mkakati-chukueni posho zenu jichangeni mkasaidie maendeleo vijijini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge CHADEMA badilisheni mkakati-chukueni posho zenu jichangeni mkasaidie maendeleo vijijini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nderingosha, Dec 7, 2011.

 1. n

  nderingosha JF-Expert Member

  #1
  Dec 7, 2011
  Joined: Mar 20, 2011
  Messages: 3,524
  Likes Received: 1,312
  Trophy Points: 280
  Kwa kuwa imeshadhihirika kwamba pamoja na kelele za chadema za kutaka posho zifutwe kugonga mwamba na matokeo yake ni posho kuwa zimezidi kuongezwa.......hii inadhihirisha kuwa wabunge wa ccm na spika wao wameamua kujali matumbo yao...huku wakijua kuwa come 2015 wengi wao hawatarudi bungeni hivyo bora wawavune watanzania kwa kipindi hiki cha miaka 4 iliyobaki kuelekea mwisho wao 2015.Inasikitisha na inaonyesha mkakati wa chadema wa kususa posho hauna tija tna hivyo.....ushauri wa tija kwa chadema ni:
  • Badilisheni mkakati -chukueni posho zenu zote na mkae chini mzipangie mkakati wa kuzitumia kuwasaidia wananchi vijijini. Hili linawezekana kwani posho ya laki 2 mkijichanga wote kwa vikao vya bunge vinavyokuja zinaweza kuleta tija sana vijijini.......haswa kule kwenye vijiji ambavyo bado chadema haijulikani vizuri mfano vijiji vya mikoa ya mtwara,lindi, ruvuma,dodoma....taboara n.k....(.nyie mnajua wapi mna wafuasi wachache).Kwa kufanya hivyo mtaweza kujitangaza kisera na pia kupata wafuasi tosha kuwa support come 2015.Mnaweza kuchagua sekta za kusaidia mfano:afya(kununua madawa au kujenga zahanati), maji(kujenga visima),elimu(madawati au baiskeli za waalimu),na pia mnaweza kujenga ofisi zenu huko.Haya mambo ni huduma za msingi kwa raia na vijiji vingi tz bado wana shida tele baada ya hii miaka 50......haya mambo mnaweza kuyafanya kimkakati.....tena kwa mda mfupi tu wa miaka 4 kuelekea 2015 mtakuwa mnawapiga bao kubwa ccm...maana wao wamekaa dar wakijaza matumbo yao....
  • Kama mtaamua kubadili mkakati wa posho na kuzichukua.....hamuhitaji wala kuweka foot prints kwa misaada yenu(maana ccm hawatakubali)......nyie kusanyeni hizo posho....fungueni mfuko(account) maalum benki....(mnaweza kuita chedema development fund).....alafu kila baada ya muda mnaamua kwenda mkoa fulani (e.g mtwara)huku mkitumia mikutano(operation sangara version).......mnaenda na misaada hii intact....msiende mikono mitupu....watu watawasikiliza na hakika mtavuna wafuasi wa kweli.........kwa kufanya hivi mtaonekana kwa kweli mnajali maisha ya watu vijijini kuliko kuendelea kugomea posho ambazo zitandelea kuchukuliwa na waganga matumbo wa ccm....these are important decisions people.........haswa viongozi wa chadema........just change the strategy...take the money and put it to people in the villages.....
   
 2. MANI

  MANI Platinum Member

  #2
  Dec 7, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,408
  Likes Received: 1,861
  Trophy Points: 280
  Jambo muhimu kama litatekelezwa vilivyo!
   
 3. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #3
  Dec 7, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Chadema wote walikuwa wanapingana na John Shibuda aliposema wabunge waongezewe posho, leo wote wamekamaa kimya huu ni unafiki mkubwa!
   
 4. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #4
  Dec 7, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  shibuda na wengine waliokuwa wanalalamika walitaka kwa ajili ya matumbo yao.kupokea hizi posho ni usaliti kwa wananchi.msimamo ni muhimu hata kama ni mgumu.kinachotakiwa ni kuzuia na si kutibu
   
 5. Godlisten Masawe

  Godlisten Masawe Verified User

  #5
  Dec 7, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 739
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sina cha kuongeza, una mawazo mazuri sana ndugu, CC kuu CDM kazi ndo hiyo from now.
   
 6. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #6
  Dec 7, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mnafiki ni wewe maana kama unafuatilia kwa umakini wabunge wetu wame-comment mfano

  "Nimeshtushwa sana na taarifa za kupandishwa kwa posho za vikao kwa Wabunge. Nimeshtushwa zaidi kwamba Posho hizi zimeanza kulipwa katika mkutano wa Bunge uliopita kabla hata Rais hajaamua maana maslahi yote ya Wabunge huamuliwa na Rais Baada ya kupokea mapendekezo ya Bunge kupitia Tume ya Bunge. Wabunge wote watambue kwamba kuamua kujipandishia posho zao bila kuzingatia Hali ya maisha ya mwananchi wa kawaida ni usaliti usio na mfano." Hiyo ni kauli ya Mh Zitto naibu katibu mkuu na Mbunge au hujaridhika kuna hii tena,

  “Msimamo wetu sisi tulishautoa tangu wakati posho zikiwa Sh70,000 wakati sisi tukipinga hizi posho waandishi wa habari na Watanzania mlichukulia suala hili kama ajenda ya Chadema, sisi wenyewe tupo wachache bungeni, tulichotaka ni kuonyesha jinsi fedha za Watanzania zinavyotumika vibaya,” alisema na kuongeza: “Achilia mbali hizo 200,000 za wabunge kuna watu huko serikalini wanalipwa mpaka Sh400,000 au Sh1 milioni kwa siku nyie ulizeni.”
  Huyo ni mwenyekiti wa cdm na mbunge Mh Mbowe
   
Loading...