Mwanahalisi leo duh! Pinda naye jamani gogoro la CUF alitakia nini?

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
234
Wanajamvi: Mwanahalisi la leo ni fungakazi kuhusu sakata la CUF. Duh... kumbe mambo yamefikia hapo? Pinda naye!!!!
 
thanks for promo.........

hebu tuambie likoje kwa sie tulio kimanzi
 
Wanajamvi: Mwanahalisi la leo ni fungakazi kuhusu sakata la CUF. Duh... kumbe mambo yamefikia hapo? Pinda naye!!!!

Jitahidi kuleta kitu kamili, hii ya fung kazi tuieleweje? Tuache tuyafanyayo na hivyo tuzunguke mitaani kutafuta nakala za mwanahalizi?
 
usiwe kama vile unasoma gazeti la udaku hapa tunahitaji habari kamili
 
nunueni magazeti ili wengine walipwe mishahara alaaa mlioko interior muwe na subira mtapata magazeti after one week ''TUMETHUBUTU TUMEWEZA NA TUNASONGA MBELE ''
 
Haya mimi nimepata nakala yake. Naona mambo si mambo. Linatisha. Limechapisha mawasiliano kati ya Profesa Lipumba, Maalim Seif, Jussa Ladhu, Julius Mtatiro, Hamad Rashid na mwanachama mmoja wa CUF anayeishi Dubai. Hili gazeti ni kiboko leo.
 
wadau mnatunyima uhondo tuliopo ughaibuni.Mwageni mchele kwenye kuku wengi.
 
Back
Top Bottom