Misaada ya Ujerumani kwa CCM okay, kwa CHADEMA nuksi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Misaada ya Ujerumani kwa CCM okay, kwa CHADEMA nuksi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Candid Scope, Dec 7, 2011.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Dec 7, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama akiwa katika mazungumzo na meya wa jiji la Hamburg Wolfigang Shmidth wakati wa kufungwa kwa mkutano mkuu wa Chama cha SPD cha Ujerumani. Aliyesimama katikati ni Olaf Schok.

  Chadema hakijaonyesha uwazi wa kujihusisha na tuhuma zinazotolewa na CCM kwamba wanafadhiliwa na chama cha Ujerumani, lakini leo tunashuhudia chama kinachofadhiliwa na vyama vya siasa vya Ujeruamni ni CCM na hata kualikwa kwenye mkutano mkuu wa chama cha SPD na kuhudhuriwa na katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama . Mwenendo huu na tuhuma za CCM zinachafua na kutifua zaidi vichwa vya watanzania. CCM ina wivu wa kupitiliza.
   
 2. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #2
  Dec 7, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,609
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Mkuuu me wala sishangai kabisa maana CCM wote ni vichwa maji na hawajui nini wanachofanya,na kila wanachofanya vyote sio sahihi vyote vipo kwenye maslahi yao wenyewe,wapo karibu na hao wagermany wana maana yao na wanajuwa nini wanafanya ndio maana....
   
 3. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #3
  Dec 7, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Mwache ajifunze mbinu za kujivua gamba kutoka kwa wenzetu,naona wanamwambia muraa ingekuwa ni huku kwetu hayo magamba yangekuwa historia
   
 4. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #4
  Dec 7, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Si ujerumani tu, hata Uingereza ya David Cameroon inawapa fedha nyingi sana serikali ya ccm. Mfa maji haachi kutapa.
   
 5. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #5
  Dec 7, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
  Speaker makinda akiongea na Balozi wa Ujeruamni nchini November 28, 2011

  Kabla Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama kwenda huko, CCM ilimtuma speaker Makinda kumwita Balozi wa Ujerumani nchi kuongea naye ili kumweka sawa Mukama kutokana na shutuma Bungeni kwamba Ujerumani inafadhilia machafuko nchini kwa kuichangia Chadema. Kikao hiki lilifanyika ofisi ya speaker makinda November 28.
   
 6. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #6
  Dec 7, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Si ujerumani tu, hata Uingereza ya David Cameroon inawapa fedha nyingi sana serikali ya ccm. Mfa maji haachi kutapa.
   
 7. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #7
  Dec 7, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,609
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Wapewe tu hizo fedha zote na watakuja kuzilipa mbele ya umma wacha wafurahi tu now....
   
Loading...