Waziri wa JK Kumkimbia Lowassa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri wa JK Kumkimbia Lowassa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tanzaniaist, Dec 7, 2011.

 1. T

  Tanzaniaist Senior Member

  #1
  Dec 7, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 162
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  From Mwanahalisi...,
  Kutokana na JK kushindwa kufukuza mafisadi ndani ya CCM! Waziri na mbunge Machachari wa CCM yuko mbioni kukihama chama hicho na kuhamia chama pinzani kutokana na uwepo wa mafisadi hao kunaendelea kukishushia chama hivho hadhi na heshima mbele ya jamii...

  Vilevile ni kutokubaliana na dhana ya kuongozwa na Lowassa katika kinyang'anyiro cha uraisi 2015! Na imefahamika kwamba huyo waziri ana support kubwa kutoka kwa baadhi ya viongozi wastaafu pamoja na wabunge ndani ya chama hicho!

  Hii ni changamoto kwa CCM! Iwapo iendelee na dhana ya kujivua gamba kuepeusha mpasuko au kutovua gamba kumlinda EL
   
 2. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #2
  Dec 7, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Source?
   
 3. mfarisayo

  mfarisayo JF-Expert Member

  #3
  Dec 7, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 5,030
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 180
  Soma vizuri hapo juu kabisa from Mwanahalisi
   
 4. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #4
  Dec 7, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Ni Samuel Sitta.Akimbie zake ili atuachie executive wetu EL
   
 5. S

  SHIMBONONI Senior Member

  #5
  Dec 7, 2011
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 112
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Huyo asitusumbue na kutuumiza vichwa sbb hana jipya na hatkuwa na jipya kama kuna mtu anabisha "time will tell".
   
 6. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #6
  Dec 7, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Mmh maji ya bendera ya kijani nilidhani ni radhaless kumbe nayo yana utamu wake.
   
Loading...