Serikali ya umoja Zanzibar (CUF+CCM) itoe tamko kwamba ushoga umekuwapo Zenj kwa miaka mingi

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
234
Jamani eeeh, tumekuwa tunalalamika bure kuwa Uingereza inatulazimisha kukumbatia ushoga, kule Zenj mbona miaka mingi tulikuwa tunasikia upo? Kuna wanaume wazima wanaoana kule na nimeshawahi kuona picha moja ya ndoa ya ushoga.

Kwa nini serikali ya umoja wa kitaifa (CUF na CCM) ya huko Zenj isitoe tamko kwamba ushoga tunao Zenj kwa miaka mingi tu, na tamko la Cameron limechelewa sana?
 
Duh! Hii nayo kali, yangu masikio. Nimewahi kusikia kitu kama hicho ingawa naamini hakiungwi mkono na serikali.
 
Kumbe Marksman na wewe huwa unaongea pumba wakati mwengine. Tafadhali Bwana usijishushie hadhi yako.
 
Jamani eeeh, tumekuwa tunalalamika bure kuwa Uingereza inatulazimisha kukumbatia ushoga, kule Zenj mbona miaka mingi tulikuwa tunasikia upo? Kuna wanaume wazima wanaoana kule na nimeshawahi kuona picha moja ya ndoa ya ushoga.
Kwa nini serikali ya umoja wa kitaifa (CUF na CCM) ya huko Zenj isitoe tamko kwamba ushoga tunao Zenj kwa miaka mingi tu, na tamko la Cameron limechelewa sana?

Nasikiavyo hii zaidi ilitoka Pemba na kuingizwa Unguja, na bila shaka itakuwa watu wa CUF.
 
Kumbe Marksman na wewe huwa unaongea pumba wakati mwengine. Tafadhali Bwana usijishushie hadhi yako.

Unasema pumba? Hicho kitu kipo kabisa huko Zenj. Nimekaa kule mimi na nimeshuhudia mambo ya ajabu kabisa!!! Puuuu!
 
Ni kweli kitu hii iko kule zenj, lakini Mods ondoa hii thread haifai kabisa katika JF. Pia ondoa ile nyingine kuhusu Chadema na chama tawala cha Uingereza.
 
Ajabu kama ipi sema wewe kadamnasi hapa acha kuongopa. Unataka tu kuwachokoza Wazenj. Lakini chonde chonde Baba. Huwawezi hao.
 
Counterpunch. What do u counter. Wacha hii iwepo na sisi tutapata fursa ya kusema yale mliyo nayo kule kwenu madongo poromoka. Kwani hatuyajui . Tumeishi humko na tunayaelewa . Lakini sisi ni wastaarabu na tunajua kuheshimu watu. Tunakuheshimu Counterpunch na wenzio.
 
Na ndiyo maana tangu Muungano hakujatokea Mkuu wa majeshi ya ulinzi (CDF) kutoka Zanzibar.. maana isije ikawa kumbe ni *****! kwi kwi kwi kwi!!!
 
viongozi wabadhirifu mpaka wanatajwa kwenye ripotii za bunge ila bado wana madaraka na kudunda mtaani, bac nao serekali itoe tamko la kua ni i wajanja, usiwe mjinga wewe jadili vitu vya maana, unataka kusema bara hkuna shoga au? tatizo km hili hakuna anaependa ni mitihani tu hata kwako linaweza kuepo.
 
Jamani eeeh, tumekuwa tunalalamika bure kuwa Uingereza inatulazimisha kukumbatia ushoga, kule Zenj mbona miaka mingi tulikuwa tunasikia upo? Kuna wanaume wazima wanaoana kule na nimeshawahi kuona picha moja ya ndoa ya ushoga.

Kwa nini serikali ya umoja wa kitaifa (CUF na CCM) ya huko Zenj isitoe tamko kwamba ushoga tunao Zenj kwa miaka mingi tu, na tamko la Cameron limechelewa sana?

Hii ndio athari ya serikali kujenga shule za wendawazimu, wanapojua kusoma na kuandika hujaribu popote pale!
 
Unasema pumba? Hicho kitu kipo kabisa huko Zenj. Nimekaa kule mimi na nimeshuhudia mambo ya ajabu kabisa!!! Puuuu!

inawezekana wewe ndevu ndio ulikuwa unafanya hayo mambo ya ushoga na ukashugudia mengi zaidi ulipokuwa huko.

1993 serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar iliwafukuza mashoga wawili kutoka Mombasa kenya walipewa 24 hours kuondoka zanzibar au kwenda jela miezi sita halafu warudishwe kwao kwa force..
kitu ushoga Zanzibar ni haramu sana raia na serikali ya Zanzibar inapinga mambo hayo ya ushoga.

Mashoga wa kibongo wakiwa katika mitaa ya Dar es salaam 2010
mashoga+%282%29.jpg
mashoga.jpg
 
Yahe huku zenji kwetu,swala la ushoga ni cha kawaida,watu wapakatana huku.
 
Jamani eeeh, tumekuwa tunalalamika bure kuwa Uingereza inatulazimisha kukumbatia ushoga, kule Zenj mbona miaka mingi tulikuwa tunasikia upo? Kuna wanaume wazima wanaoana kule na nimeshawahi kuona picha moja ya ndoa ya ushoga.

Kwa nini serikali ya umoja wa kitaifa (CUF na CCM) ya huko Zenj isitoe tamko kwamba ushoga tunao Zenj kwa miaka mingi tu, na tamko la Cameron limechelewa sana?

Great thinker indeed! Unapiga mbiu kwa jambo iwapo ni jambo la sifa au ni nakama> Kwa hili la ushoga kuweko Zanzibar si sifa wala si nakama kwa Wazanzibari. Pengine ungejiuliza kina Auntis waliopo huko upande wa pili wa Muungano wa wamefikaje?
Au uliza kwanini watu wanaacha kazi zao za asili na kwenda Zanzibar kufanya hiyo kazi inayotaka wewe Serikali iache mambo ya muhimu na kushughulikia ujinga.
Hivyo hujuwi kuwa mtu hasifii mvua isipokuwa imemnyea? Pengine intrest yako inakusaliti.
 
inawezekana wewe ndevu ndio ulikuwa unafanya hayo mambo ya ushoga na ukashugudia mengi zaidi ulipokuwa huko.

1993 serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar iliwafukuza mashoga wawili kutoka Mombasa kenya walipewa 24 hours kuondoka zanzibar au kwenda jela miezi sita halafu warudishwe kwao kwa force..
kitu ushoga Zanzibar ni haramu sana raia na serikali ya Zanzibar inapinga mambo hayo ya ushoga.

Mashoga wa kibongo wakiwa katika mitaa ya Dar es salaam 2010
mashoga+(2).jpg
mashoga.jpg

Ama kweli kila kitu kinataka uzoefu! Ukila nguruwe ule alienona lakini hapa ni kujipaka hicho k i ny e si tu hapana hata cha mvuto.
 
Back
Top Bottom