Utanganyika/ Uzanzibari Vs. Utanzania: Tambua Tofauti Ya Hizo Identities Hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utanganyika/ Uzanzibari Vs. Utanzania: Tambua Tofauti Ya Hizo Identities Hapa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Vato, Dec 7, 2011.

 1. Vato

  Vato JF-Expert Member

  #1
  Dec 7, 2011
  Joined: Feb 15, 2009
  Messages: 230
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 33
  Hivi karibuni, kadri tunavyoikaribia tarehe 9 Desemba imeibuka kawaida/ kasumba ya watu kujitofautisha kwa misingi ya Utanganyika na Uzanzibari, wakati huo huo wengne wakijitambulisha kwa Identity ya Utanzania.

  Mjadala huu wa identity ipi ni sahihi umepelekea hata watu wengine kuhoji the question whose answer is very Obvious, kwamba tarehe 9 Desemba ni maadhimisho ya siku ya Uhuru wa Tanganyika au Tanzania Bara?? Kuna sababu nyingi kuelezea hali hiyo. Moja ya sababu hizo yaweza kuwa aina ya mtu.

  Mtu anayejiita Mtanganyika/ Mzanzibari au mtu anayedai Identity ya Utanganyika/ Uzanzibari ndani ya Muungano ana practice kitu kinachoitwa NATIONALISM. Mtu anayejiita Mtanzania na ana Practice kitu kinachoitwa PATRIOTISM. Nationalism na Patriotism vinatofautiana kwa misingi ya Outcomes zake mara zinapokuwa belief zinazo-underlie Matendo, Imani, Malengo na Maono ya watu.

  Nationalism ilipelekea wazungu wakaitawala Asia, Afrika, South America nk. Nationalism ilipelekea dunia ikaingia kwenye vita ya 2 ya dunia. Patriotism inapokuwa practiced mahali penye Vita inapelekea Amani, Undugu, Ushirikiano, Umoja, Mshikamano, Maendeleo na Ustawi wa Jamii husika.

  Patriotism ni imani kuwa binadamu wote ni sawa ktk kila tafsiri halali ya Usawa.
   
Loading...