Jana wakati Bw. pombe anasaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo kasi Dar, alimuwashia moto Bw. Mkulo kuwa wizara yake inachelewesha malipo ya wakandarasi na kufanya miradi ichelewe...
Hbr. Wanajamvi.
Jana nilikuwa kwenye msiba, ambpo pamoja na utani wa makabila yetu, SIASA huwa ni ajenda mhimu watu wenye uelewa tofauti wanapokutana. Kati ya vitu tlivyoongea, kimoja kimenivutia...
Hiviii!!! Great thinkers wanatakiwa kujadili siasa tu? hivi hamuoni hii trend anayojadili Fredy Macha hapo chini inamaanisha by the time munapata hayo madaraka au viongozi unawapigia kampeni...
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
SALAAM ZA RAMBIRAMBI NA POLE KWA WANAFAMILIA NA WANANCHI KUHUSIANA NA JANGA LA MAFURIKO YALIYOKUMBA JIJI LA DAR ES...
Katika maeneo yaliyo na maji, mfano bahari na ziwa, kuna samaki wakubwa na samaki wadogo(dagaa), na samaki wakubwa siku zote huwaonea samaki wadogo kwa vitendo vya kuwameza. Kwa hiyo visamaki...
Na Saed Kubenea
MwanaHALISI
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimemtosa Jaji Joseph Warioba. Kimekana kumiliki kampuni ya CCM Trust ambayo imekuwa ikitajwa kumilikiwa na chama hicho kikongwe cha...
Mmeonesha uzalendo na kusimamia makubaliano ya katiba yenu kwa kufanya maamuzi magumu ambayo watanzania hawajazoea.ila bado kuondoka kwa kafulila si mwisho wa tatizo.unatakiwa kubadikisha siasa...
Mchana huu nilikuwa napita pale sinza vatican bondeni nikakuta msafara wa magari ya CDM wakiwa na Aikael. Sikuweza kusimama ila nimeona pickup zikiwa na mizigo ya vyakula kwa ajili wa wahanga wa...
Inauma kichwa kidogo. Inawezekana kweli mtu awe bosi wa mhimili lakini akawa hajui haki, wajibu na ukomo wake? Inaingia vipi akilini, eti, Spika wa Bunge, Anne Makinda, apitishe posho kwa wabunge...
HOTUBA YA M/KITI CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO CHADEMA TAWI LA CHUO KIKUU MWENGE-MOSHI BAADA YA KUSIKILIZA MAONI,MAPENDEKEZO NA USHAURI JUU YA AGENDA KADHAA ZILIZOJADILIWA NA WANACHAMA.KATIKA...
Nimesoma magezeti mengi tangu mafuriko ya Dar na mahali kwingineko, yanasikitisha sana. Zaidi ya yote nimefuatilia namna vile viongozi wa ngazi mbalimbali wanavyoshughurikia jambo hili na hata...
Jamani hii Xmas nakaribisha mwaliko kutoka kwa binti mrembo
mwenye mvuto au familia kwani mimi ni bachela
bila kuzingatia umri hata huyo binti awe wa miaka sabini lakini ni
mrembo poa tu
Posted on December 23, 2011 by zanzibaryetu
Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF); Professa Ibrahim Lipumba
Na Khalid S Mtwangi
Chama cha Wananchi, ama Citizen United Front (CUF), sio chama...
Written by amini // 24/12/2011 // Habari // 1 Comment
Friday, December 23, 2011
Makamu wa pili wa rais wa Zanzibar balozi Seif akipatiwa ufafanuzi wa ramani mpya ya utanuzi wa uwanja wa...
Aliekuwa* Rais* wa Jamhuri* ya Czeck Vaclav Havel alizikwa jana mjini Prague na maalfu ya watu ikiwa pamoja na wanasiasa mashuhuri kutoka duniani kote.
Rais Sarkozy wa Ufaransa alikuwa miongoni...
Thursday, 22 December 2011 21:43
A gold reserve. The government plans to re-establish a gold reserve at the central bank. PHOTO | FILE
By Ludger Kasumuni
The Citizen Reporter
Dar es...
Sheikh Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ametoa tamko la kupinga maandamano yaliyondaliwa na baadhi ya Taasisi za kiislamu kupinga MoU kati ya serikali na kanisa na kushinikiza mahakama ya kadhi.
Kwa...
Kila nikiuliza kwa nini Dar es salaam na miji mingine watu wanaishi viwanja visivyopimwa naambiwa gharama za upimaji wa ardhi kubwa serikali haina hela za kupima.
Nilikwenda Zanzibar nikauliza ni...
Kila nikiuliza kwa nini Dar es salaam na miji mingine watu wanaishi viwanja visivyopimwa naambiwa gharama za upimaji wa ardhi kubwa bajeti haipo.Nilikwenda Zanzibar nikauliza ni mpima ardhi gani...